Kama hawa wanaokutana lisaa limoja tena weekend mnawakoromea hivi, vipi wanaosali sala tano kwa siku tena kila siku? Nao waingize shughuli za kijamii na kiuchumi? Kwa nini unataka wahamishie kwenye shughuli za kimaendeleo wakati wao wameamua kukutana ili kuimarishana kiimani and yes kusaidiana katika shida na raha? Mbona jumuiya hizi zinakuuma sana? Tatizo liko wapi?uko sahihi kabisa, Vipi kama huu utaratibu wa jumuia ukahamishiwa kwenye shughuli za maendeleo ya kijamii na kuinuana kiuchumi??
Ukweli ni kwamba kuna zaidi ya ujinga mwingi unaoendelea kwenye taifa hili zaidi ya hiyo Pool table, idadi ya wacheza pool ni ndogo kuliko wale wakutanao kwenye jumuia...
Kanisa ndo likupangie shughuli za maendeleo katika mtaa wako? kwa taarifa yako hapo jumuiya sio kusali tu hata shughuli za kimaendeleo uwa zinaongelewa na kupangwa lkn kwa waumini husika, kama unaona donge toroka uje hujazuiwaHuo muda wa kila-week end kukutana nyumbani kwa mtu ni bora tungetenga na muda wa aina hiyo tukutane katika mitaa yetu kwa shughuli za kiuchumi au kupanga mipango ya kimaendeleo katika mitaa yetu.
Kama hawa wanaokutana lisaa limoja tena weekend mnawakoromea hivi, vipi wanaosali sala tano kwa siku tena kila siku? Nao waingize shughuli za kijamii na kiuchumi? Kwa nini unataka wahamishie kwenye shughuli za kimaendeleo wakati wao wameamua kukutana ili kuimarishana kiimani and yes kusaidiana katika shida na raha? Mbona jumuiya hizi zinakuuma sana? Tatizo liko wapi?
Ni yale yale tu!kuwa nyumbu ni tatizo kubwa sana yaani kusali jumhiya unalinganisha na kucheza pool
hivi unajua jumhiya wanasali muda gani na siku gani we endeleakuzungusha mikono labda utazalisha umeme
Yanayofanana na haya niliyoyaongea hapa hata Askofu Mokiwa leo kayaongea live kupitia TBC1 akizungumzia unafiki wa sisi wa umini kwenye mambo mengi tu ya kiimani.Yaani amecheza mulele nilikopita katika uzi huu na katika comment zangu kwenye uzi huu.Nina wasiwasi kama wewe ni kati ya wasali jumuia. Kama una sali haya maswali yapeleke kwa m/kiti wako wa jumuia nae atakuelekeza pa kuyawasilisha. Kusali jumuia ni kusanyiko la kidini na mbali na kusali pia huongelea mengi ya kijamii, nayo haizidi saa 1.
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Mngekuwa watu wa-wise mngeshajiongeza kabla ya sisi kuja kuyasema hapa JF.Nini hasa logic ya kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end na wakati mwingine zaidi ya mara kwa wiki kwa baadhi ya maeneo eti mnasali jumuiya!Hata Mungu anawashangaa na hii kitu sijui aliagiza wapi ifanyike.Unaposema zisifanyike kila week end na badala yake zifanyike mara moja kwa week unakuwa na maana gani??
Maana kuzifanya kila week end ni almost mara moja kwa week.
Mara nyingine inabidi tujifunze kukaa kimya na kusoma threads za wengine ili kuficha aibu zetu.
Sasa naamini ule msemo usemao "Everyone is wise untill he opens is mouth"
Dini zenu na nani sema dini yako mwenyeweKilichobaki ni ushoga tu kukubalika katika dini zetu.
Uliongea lini na mungu akakwambia anashangaa? Si vizuri kuingilia mambo ya watu kama kati ya hao wanaosali jumuiya amekuja kuomba msaada kwako mkatalie usiiweke generalMngekuwa watu wa-wise mngeshajiongeza kabla ya sisi kuja kuyasema hapa JF.Nini hasa logic ya kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end na wakati mwingine zaidi ya mara kwa wiki kwa baadhi ya maeneo eti mnasali jumuiya!Hata Mungu anawashangaa na hii kitu sijui aliagiza wapi ifanyike.
Hawa wanaadhibiwa kisaikolojia kwa kuonekana kuwa si waumni wazuri.mkuu Salary Slip leo umeongea jambo la msingi sana. hz jumuiya zinazoendekezwa na wakatoliki kwa kweli zinakera sana. afadhali umesema wewe maana ningesema mimi ingekuwa nongwa. wakatoliki na hizi jumuiya zao za monday~monday zinachosha sana. kwa bahati mbaya sijawahi kuona amri yoyote katika zile kumi inayotamka kwamba kutosali jumuiya ni dhambi. wakatoliki waliomo humu watatusaidia.
halafu mkuu Salary Slip umesema kuwa wale wasiosali jumuiya huadhibiwaje? hili la kuadhibiwa ni jipya kwangu.
Mngekuwa watu wa-wise mngeshajiongeza kabla ya sisi kuja kuyasema hapa JF.Nini hasa logic ya kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end na wakati mwingine zaidi ya mara kwa wiki kwa baadhi ya maeneo eti mnasali jumuiya!Hata Mungu anawashangaa na hii kitu sijui aliagiza wapi ifanyike.
mkuu hiyo hoja inahusu jumuiya za katoliki. sasa CHADEMA inaingiaje hapa? kwani CHADEMA ni kigango, parokia au jimbo la katoliki?Kwa sasa chadema ni wodi ya vichaa...huyu ni mmoja wa waandamizi idara ya habari...na ameandika hivi kwa agizo la mwenyekiti taifa kulaani vijana kuzuiwa kucheza pool asubuhi...je kwa akili hii chama kinaelekea wapi?
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Asante kwa angalizo zuri mkuu. Nilitaka kuingia katika mdomo wa simba!Mkuu usiingie mtegoni.
Lengo la mleta hoja nikutaka kuchochea hilo la swala tano Kinyumenyume bila yeye kuliandika.
Tafadhali tujadili lile aliloliandika yeye yaani jumuiya....sio vema kuwadili ambao hawajatajwa katika kashifa hii ya wakatoliki