Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Wanafiki wakubwa nyie na ndio mnaoogoza kwa uzinzi na uasherati.Mnajidai kuheshimu imani zenu wakati matendo yenu bora hata ya mpagani.

Nasisitiza hizi Jumuiya za kila Week-end kuzunguka kwa mtu mmoja mmoja na kuchangishana ni miradi tu ya kukusanya pesa huku watu wakilazimizhwa kushiriki hizi Jumuiya.

Wengi wanashiriki kwa kulazimika tu kutokana na mashariti mlioweka ambayo hata kwenye Biblia hayapo.

Fanyeni kazi na si kukutana huko kwa mara kwa mara kwa ajili ya Jumuiya hizo kuliko pitiliza.

Jumuiya hazitawafikisha mbinguni.

Toomuch of everything is harmful!
Hizi bangi unazovutia chooni zinakupeleka kubaya.. Hakuna mtu analazimishwa kwenda jumuia kiazi ww..
 
Kusali kwenyewe mnasali kama fashion tu na mazoe ila matendo yenu ni bora hata wapagani!

Tumejijengea imani ya kipuuzi sana eti kuwa kusali swala tano na kwenda Kanisani ndio tumemaliza kila kitu wakati kitakachotuhukumu ni matendo yetu.

Unatoka Kanisani au Msikitini na gari lako una mkutana kilema njiani huku mvua ikimnyeshea unampita kama humuomi?

Unatoka kwenye sala yako dakika mbili baadae unaenda kuzini!

Sisi binadamu ni wanafiki wakubwa bora hata wanyama wasiomjua mungu kuliko sisi tuliopewa akili na mungu.

Watu ni mabingwa wa kutetea imani zao lakini ni mabingwa wakubwa wa kutenda dhambi kila kikicha tena pasipo hata kujutia dhambi zao!
Naona unabadili mada,baada ya upupu wa mwanzo kukosa weledi!!
kweli nimeanza kuamini uzeeni si ngozi tu hata akili hukunjamana!!
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa members wenye heshima kubwa hapa JF; tafadhali linda heshima yako. Katiba ya nchi imetoa uhuru wa kuabudu na kwamba ni suala la mtu/watu binafsi mbali kabisa na mamlaka ya/za nchi.

Huyo zumbukuku ana heshima gani?
 
Wanafiki wakubwa nyie na ndio mnaoogoza kwa uzinzi na uasherati.Mnajidai kuheshimu imani zenu wakati matendo yenu bora hata ya mpagani.

Nasisitiza hizi Jumuiya za kila Week-end kuzunguka kwa mtu mmoja mmoja na kuchangishana ni miradi tu ya kukusanya pesa huku watu wakilazimizhwa kushiriki hizi Jumuiya.

Wengi wanashiriki kwa kulazimika tu kutokana na mashariti mlioweka ambayo hata kwenye Biblia hayapo.

Fanyeni kazi na si kukutana huko kwa mara kwa mara kwa ajili ya Jumuiya hizo kuliko pitiliza.

Jumuiya hazitawafikisha mbinguni.

Toomuch of everything is harmful!
Hapa kuna kitu nahisi hakiko sawa kati yako na hizi jumuiya

mosi, kuna uwezekano kabisa kuna mtu unamfahamu anasali jumuiya kamgegeda nduguyo, so umekuja huku kutoa povu

pili, yawezekana wewe ni mwanajumuiya wamepanga wiki ijayo watasali kwako na wewe unakaa kwenye nyumba kama getto so hujapenda huo mpango.

Au basi yawezekana umri wako umeanzakukusaliti a.k.a kukutupa mkono akili zinarudi rivasi umeamua kupost usimbilisi wako hapa

PUNGUAN WAHED ( in faiza foxy 's voice)
 
uko sahihi kabisa, Vipi kama huu utaratibu wa jumuia ukahamishiwa kwenye shughuli za maendeleo ya kijamii na kuinuana kiuchumi??
Ukweli ni kwamba kuna zaidi ya ujinga mwingi unaoendelea kwenye taifa hili zaidi ya hiyo Pool table, idadi ya wacheza pool ni ndogo kuliko wale wakutanao kwenye jumuia...
 
Hizi bangi unazovutia chooni zinakupeleka kubaya.. Hakuna mtu analazimishwa kwenda jumuia kiazi ww..
KMtu atahudhuria kanisani pengine karibu kila Jumapili ila asiposhiriki hizi Jumuiya basi anaonekana mbaya mnatamani hata mumtenge wakati nyie wenyewe matendo yenu yanatosha kabisa kuwatenga na mungu japo yeye hafanyi hivyo.
 
Umesema wanakutana kusali halafu unauliza tena wanakutana kufanya nini?
Bangi unazovuta zitakupeleka pabaya
 
Hii mada
Nichukizo na kashifa kwa wahusika...nadhani wakatoliki ndio wanaoshambuliwa hapa

1. Jumuiya zinamajukumu yepi kwa wahusika?

- kufahamiana maana ni wanaoishi eneo moja, kanisani washiriki wanatoka jumuiya mbalimbali/maeneo tofauti/mitaa tofauti nk

-kupeana ushauri/mikakati katika kuishi na kupambana ilikutoka kimasha

-kusaidiana kwa hali na mali pindi mwanajumuiya anapopatwa na matatizo iwe afya, elimu, misiba, majanga nk

-Jumuiya ni ngazi ya awali hivyo ndiyo msingi wa malezi sahihi ya kiroho kwa watoto, waumini nk

-Nikutoka jumuiya mapendekezo yakimaendeleo kwa kanisa husika hukotoka ikiwemo michango, usimamizi nk.
 
uko sahihi kabisa, Vipi kama huu utaratibu wa jumuia ukahamishiwa kwenye shughuli za maendeleo ya kijamii na kuinuana kiuchumi??
Ukweli ni kwamba kuna zaidi ya ujinga mwingi unaoendelea kwenye taifa hili zaidi ya hiyo Pool table, idadi ya wacheza pool ni ndogo kuliko wale wakutanao kwenye jumuia...
Binafsi sion logic ya kuzunguka nyumba hadi nyumba kwa zamu kwa lengo eti la kufanya ibada.Kwani wakikutana mara moja au mbili kwa mwezi nini kinaharibika?

Watu wa aina hii hata vibustani vya mboga za majani majumbani kwao hawana lakini kila week-end jumuiya!

Hawa watu wakiambiwa washiriki ulinzi wa sungusungu kwenye mitaa yao hawaonekani.

Hawa watu wakitakiwa kushiriki mikutano ya ya kijiji/mtaa watakwambia wako busy!

Cha ajabu,pamoja na kusali pamoja kwenye hizo Jumuiya,wao kwa wao ndio wanapigana majungu,wengine hata vitu hawaazimani kwenye majumba yoa,majirani wengine humo humo kwenye hizo jumuiya hawapendani,watoto wao hawachezi pamoja,wengine wakimaliza jumuiya wananza ku-discuss waliyoyaona nyumbani kwako,n.k. Eti hawa ndio wacha mungu!! Upuuzi mtupu!
 
Utetezi wenu wengi ni zero.Sijaona sababu ya msingi ya watu kukutana nyumbani kwa mtu mmoja mmoja tena kila week-end kujadili mambo yale yale kwa kisingizio cha kufanya ibada.Ni wangapi kati yenu mnaotetea utaratibu huu mmetumia mikusanyiko hii kuchukua namba za simu za mabinti kwa lengo la kukiuka amri ya saba?

Ni lini tumewahi kutumia Jumuiya zetu hizi kukusanya michango ya kwenda kusaidi yatima au kuhudumia wagonjwa mahospitalini?
Huudhuriagi utajuaje?
Kwenye jumuiya yanafanyika makubwa zaidi ya kuwasaidia yatima na hao wasiojiweza.
Kuwajenga watu kiimani ni jambo kubwa kuliko kumpa hela.
Uwe unawaza mara mbili au zaidi usiwe unakurupuka.
 
Binafsi sion logic ya kuzunguka nyumba hadi nyumba kwa zamu kwa lengo eti la kufanya ibada.Kwani wakikutana mara moja au mbili kwa mwezi nini kinaharibika?

Watu wa aina hii hata vibustani vya mboga za majani majumbani kwao hawana lakini kila week-end jumuiya!

Hawa watu wakiambiwa washiriki ulinzi wa sungusungu kwenye mitaa yao hawaonekani.

Hawa watu wakitakiwa kushiriki mikutano ya ya kijiji/mtaa watakwambia wako busy!

Cha ajabu,pamoja na kusali pamoja kwenye hizo Jumuiya,wao kwa wao ndio wanapigana majungu,wengine hata vitu hawaazimani kwenye majumba yoa,majirani wengine humo humo kwenye hizo jumuiya hawapendani,wengine wakitoka wakimaliza jumuiya wananza ku-discuss waliyoyaona nyumbani kwako, n.k.Eti hawa ndio wacha mungu!!
CC: moghasa
 
Tunashuhudia

1. Vikundi mbalimbali kukutana kwa nia njema kila wiki au kila siku au kika mwezi kufanya mijadala ama majumuisho ama kukusanya michango nk ilikufikia malengo waliojiwekea kwa maana njema sio makosa.

Mfano
vikoba
Saccos
vyama vya kijasiliamali
makundi ya vijana wa maneo husika
makundi ya akina mama nk

2. Watu wa aina mbalimbali hukutana makanisan kila wiki au kila siku kusali, tuna manabii tunashuhudia kila siku wakiombea watu, wakisafiri kukusanya watu kila siku sehem mbalimbali duniani nk

Kushupalia wanaokutana kwenye majumuiya tena kwa maana nzuri sio sahihi maana hakuna uovu kama nilivyoeleza hapo awali.

Kuwalinganisha wacheza pool na wanaokutana kwa maana pana kimaendeleo nikukosa maono, kukosa hekima na pengine kupungukiwa busara.
 
E="haa mym, post: 15681032, member: 233965"]Mada mzuri mkuu ila tatizo wanaoenda jumuiya ni wavivu na wana IQ ndogo na ndio hawa wanaokushambulia hizo jumuiya zipigwe tu marufuku[/QUOTE]
Kweli vichaa tuko wengi siku hizi! Huku kwenye Jumuiya tunasali tusionacho na walionavyo; maprofesa wa vyuo vikuu na wasukuma mikokoteni; wenye IQ kubwa wanaoshinda JF na wenye IQ ndogo lakini wanajielewa nini kimewaleta Duniani. Tafakari, Chukua Hatua kwani Imani yako ndiyo itakuokoa!
 
Huudhuriagi utajuaje?
Kwenye jumuiya yanafanyika makubwa zaidi ya kuwasaidia yatima na hao wasiojiweza.
Kuwajenga watu kiimani ni jambo kubwa kuliko kumpa hela.
Uwe unawaza mara mbili au zaidi usiwe unakurupuka.
Kumjengea mtu imani mpaka mzunguke kwenye majumba ya watu?Mjikusanye basi na muende mkahubiri injili kwenye masoko n.k kama kweli mko serious.
 
Nivema tena busara kuepuka laana ya Mungu.

1. Jiepushe na kaa mbali usikashifu imani ya watu wengine maana Nichukizo kwa Mungu....kuita wanafiki sio kauli nzuri.

2. Unaweza kuona ukosahihi lakini nani anauthibitisho wa Mungu ninani? Yupo wapi? Anataka nini? Nk tuwaache wanaokutana kwa maana njema wajumuike kwa manufaa mapana ya taifa
Amani
umoja
baraka
malezi bora
ujirani mwema
kuonyana
kushirikiana
nk

Siku zote Sikio halizidi kichwa na ujuzi ukizid ndiyo yale tunaambiwa ngoma ikivuma sana mwisho wa hiyo ngoma umekaribia...........

Wasalaam
 
Kumjengea mtu imani mpaka mzunguke kwenye majumba ya watu?Mjikusanye basi na muende mkahubiri injili kwenye masoko n.k kama kweli mko serious.
Tatizo lako ni bangi unayovuta.Nimekuambia yanafanyika mengi ya msingi.
Wako wengi wasioweza kufika makanisani kuna vilema, wazee na watu wa aina mbalimbali wanaotaka huduma ya Kanisa na wanashindwa kuifikia kwa sababu nilizozitaja hapo juu hivyo uwepo wa jumuiya unawatimizia mahitaji yao ya kiimani.
 
Back
Top Bottom