Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Nilijua vichaa wapo milembe tu...

Ukimaliza wakatoliki utaanza na waislamu kwa nini siku nzima wanaswali swala tano

Hapa umechemka
Hata Trump anapingwa na kukejeliwa kwa kusema ukweli kuhusu Waafrika lakini baadae sisi wenyewe hukaa na kutafakari maneno yake na kujikosoa kimyakimya pengine tukimshukuru kimoyomoyo.
 
Hivi hatuwezi kuishi pasipo kuwa na huu utaratibu wa kusali kwa jumuiya huku mitaani.Kusali makanisani hakutoshi mpaka tukutane kwenye majumba yetu siku za week-end na hata kila siku kwa baadhi ya maeneo kwa lengo tu la kusali kwa utaratibu huu wa Jumuiya?

Wanaocheza pool table wanatakiwa kukamatwa kwani wanapoteza muda wa kufanya kazi,je hawa wanaokutana saa 12 kila Jumamosi na kwa baadhi ya maeneo nasikia ni kila siku,huku si kupoteza muda wa kufanya kazi?

Hivi lengo la kusali Jumuiya si kukusanya sadaka tu?Nini kipya kinachofanyika katika hizi Jumuiya tofauti na makanisani kwetu?

Alafu hivi mtu unawezaje kushiriki kwenye Jumuiya hizi lakini ukashindwa kushiriki mikutano ya kijiji/mtaa kwa maendeleo ya kijiji/mtaa wako?

Kama hizi Jumuiya ni muhimu sana,kwanini adhabu hizi za kijamii tunazozitoa kwa watu wasioshiriki Jumuiya hizi pia tusizitoe kwa wale wasioshiriki mikutano ya maendeleo ya mitaa au vijiji vyetu kwani hata hii mikutano nayo ni muhimu pia?

Nyinyi mnaotetea Jumuiya hizi niambieni ni lini mlikutana katika Jumuiya zenu hizi na kisha mkaongozana huku mkiwa mbeba sadaka zenu na kwenda kuwahudumia wagonjwa au makelekezo sadaka zenu hizo kuhudumia yatima?

Utaratibu huu nimeuona hapa Dar leo hii nikakumbuka na huko mikoani hali ni hiyo hiyo hivyo nikajikuta najiuliza haya maswali.Alafu katika nchi za wenzetu mambo haya yanafanyika?Nina hakika miaka ijayo haya mambo yatakuja tu kutoweka maana sioni ulazima wake.
mkuu jumuiya zenyew watu wanasali jmoc asubuh saa 12 mpk saa moja asubuh then wanaelekea kwe shughuli zao sasa ni mda gani hapa unaopotea?utafananishje na pool table ambalo watu wanacheza kutwa nzima? labda kama ungeongelea swala la sadaka maana hilo ndo linaonekana limekuuma sana....watu mnazini kila cku hamuon shida ila kwenda kusali jumuiya eti kunachelewesha maendeleo!!
 
kutumia mda wote huo kuandika mada kama hii ni kupoteza mda wako na wasomaji....huna tofauti na mfalme JUHA..
Wewe ni juha kwelikweli..
 
Mkuu kwa uboya wa mada yako huchelewi kuwaambia ndugu zangu waislamu kuwa SWALA TANO ni upotezaji muda na ni sawa na pool table. Wakati mwingine kukaa kimya ni bora kuliko kuongea magagulo gagulo kama haya yako
 
Hivi hatuwezi kuishi pasipo kuwa na huu utaratibu wa kusali kwa jumuiya huku mitaani.Kusali makanisani hakutoshi mpaka tukutane kwenye majumba yetu siku za week-end na hata kila siku kwa baadhi ya maeneo kwa lengo tu la kusali kwa utaratibu huu wa Jumuiya?

Wanaocheza pool table wanatakiwa kukamatwa kwani wanapoteza muda wa kufanya kazi,je hawa wanaokutana saa 12 kila Jumamosi na kwa baadhi ya maeneo nasikia ni kila siku,huku si kupoteza muda wa kufanya kazi?

Hivi lengo la kusali Jumuiya si kukusanya sadaka tu?Nini kipya kinachofanyika katika hizi Jumuiya tofauti na makanisani kwetu?

Alafu hivi mtu unawezaje kushiriki kwenye Jumuiya hizi lakini ukashindwa kushiriki mikutano ya kijiji/mtaa kwa maendeleo ya kijiji/mtaa wako?

Kama hizi Jumuiya ni muhimu sana,kwanini adhabu hizi za kijamii tunazozitoa kwa watu wasioshiriki Jumuiya hizi pia tusizitoe kwa wale wasioshiriki mikutano ya maendeleo ya mitaa au vijiji vyetu kwani hata hii mikutano nayo ni muhimu pia?

Nyinyi mnaotetea Jumuiya hizi niambieni ni lini mlikutana katika Jumuiya zenu hizi na kisha mkaongozana huku mkiwa mbeba sadaka zenu na kwenda kuwahudumia wagonjwa au makelekezo sadaka zenu hizo kuhudumia yatima?

Utaratibu huu nimeuona hapa Dar leo hii nikakumbuka na huko mikoani hali ni hiyo hiyo hivyo nikajikuta najiuliza haya maswali.Alafu katika nchi za wenzetu mambo haya yanafanyika?Nina hakika miaka ijayo haya mambo yatakuja tu kutoweka maana sioni ulazima wake.
Mkuu ni maharage ya wapi umekula? Maana naona utumbo tuu umeuandika hapa... Hivi unajua maana ya jumuia? Nawasiwasi hata kanisani hauendagi ww... Acha viroba sio vzuri kwa afya ya akili yako.
 
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Salary Slip!! Ndugu yangu umejiacha uchi sana. Nilidhani umekaa vizuri upstairs lakini kumbe si hasa. Pole sana . Njia rahisi wewe kama ni mkristu/mkatoliki na hupendezwi na huo utaratibu unaweza tu kutafuta dhehebu jingine ambalo hutapata shida hiyo ya kijumiya. OK?
 
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Poa lot easier. with w kkkkkkj I was k k I juu jjj even job. It ijujj kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkokkkokokkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkookokkkk I I have oiiojooiioiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioooiooooiiioooiiooooiiiiiiiiiiioooooooiiiiiiiiiiiiiiojjj
 
Hata Trump anapingwa na kukejeliwa kwa kusema ukweli kuhusu Waafrika lakini baadae sisi wenyewe hukaa na kutafakari maneno yake na kujikosoa kimyakimya pengine tukimshukuru kimoyomoyo.
Katika yote usicheze na imani za watu za kidini. Trump pamoja na kuropoka sana anatamba yeye ni mtu wa dini sana na hatumii kilevi.
 
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Wewe utakuwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa... Umeitisha mkutano watu hawajaja unamalizia hasira zako jumuiya....
 
heshima ni kitu kizuri sana ktk jamii au mitandaoni,.....huwa unaheshimika kwa kujenga hoja na si vihoja kama hivi
mimi dini yangu huwa siendi jumuia jmos,....
ila ukija na kukejeli dhehebu flani la ukristo nakupinga hta kma sio muumini sikuelewi........
kwenda kumuabudu Mungu hakuchagui muda mkuu
ni mda wowote2 watu wanakusanyika na kusali kuutafuta uwepo wa MUNGU wa kweli......
kwa point yako hiyo unataka kusema na dini zinazosali mara5 per day zifupishe kuswali kisa maendeleo??????????????
dini tutaziacha duniani tutaenda kwa Mungu ni bora nisifanye kaz ila nwe na uhakika 100%
kwa MUNGU wangu.......
 
Niambienii kuna nini cha maana tunacho-achieve kama jamiii ambacho bila kukaa katija hizo Jumuiya kingeshindikana?

Nijibuni sio kutoka povu.
Labda ungesema kwanza nn tuna achieve kama jamii kwa kwenda kusali au kuswali.... Maana jumuiya ni sehemu ya kusali
 
Kanisa la kwanza duniani liliundwa na jumuiya ndogo ndogo.

Ukisoma kitabu cha matendo ya mitume utajua kwa nn kanisa la leo limeamua kuurudisha utaratibu wa kusali jumuiya ndogo ndogo.

Jumuiya ndio sehemu pekee ambayo wakristo wanaoishi umbali wa nyumba kumi wanakutana na kuendeleza uinjilishaji kama ambavyo mitume 12 walivyokuwa wakikutanika na kusali pamoja kila siku .

Kukutana huku kwa mitume wa Yesu ,kulimpendeza Mungu, naye akamtuma Roho Mtakatifu aliyewavuvia ujasiri wa kunena kwa lugha mbali mbali ambazo ziliwafanya mitume hao kusambaa duniani kote na kueneza ukristo.

Kwa mujibu wa swali lako wanaosali jumuiya leo hii wanatenda kazi ya uinjilishaji wa neno la Mungu.Kamwe jumuiya haitakaa ife labda binadamu aache kufanya kazi aliyopewa na Mungu ya kuendeleza uumbaji.

Pia elewa kuwa wakristo hususani Wakatoliki wanasali Jumuia kwa sababu ndio kundi pekee katika madhehebu ya Kikristo ambao wanatumia muda mchache sana kuisoma na kuichambua Biblia Takatifu. Kanisa linatumia Jumuia hizi walau kutuongezea muda kusoma na kulitafakari neno la Mungu. Ratiba ya Jumuia ina kipengele cha somo na pia inatoa nafasi kwa kila aliyeshiriki kutoa maoni yake kadiri alivyoguswa na neno la Mungu.

Ila wacheza pool table wanatenda kazi ya shetani.
 
Tatizo la watu wenye akili mbovu ni kuingilia masuala binafsi ya watu. Sioni tatizo hata wakisali mwaka mzima bila kufanya kazi wao wasali tu.
Kwangu Mimi siyo tatizo kama hawaingilii mambo yangu.
 
Back
Top Bottom