KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
FUNGASI ZA UBONGO HAZINA TIBA,MTU MZIMA ANAKAA ANA ANDIKA UTUMBO HUU!!!
jichanganya kulinganisha sala na pool table.frankly speaking hebu alinanishe salakwasala je wale kila siku ya mungu wanaoswali mara 5je utaita kupotexa muda.all in all mleta mada kama anaona mapungufu ya jumuia angeleta mada kuhusu jumuia na mapungufu yake tena angepeleka hulo jukwaa la dini.Hata mimi nimekubaliana na mtoa mada sema anavyoshambuliwa nadhani wengi hawaja muelewa
wewe inakuhusu na kukuuma nini kama utaratibu waliojiwekea na wao wenyewe hauwabugudhi weweunakuathiri vipi hebu eleea athari unayoipata.#Kumjengea mtu imani mpaka mzunguke kwenye majumba ya watu?Mjikusanye basi na muende mkahubiri injili kwenye masoko n.k kama kweli mko serious.
Yanayofanana na haya niliyoyaongea hapa hata Askofu Mokiwa leo kayaongea live kupitia TBC1 akizungumzia unafiki wa sisi wa umini kwenye mambo mengi tu ya kiimani.Yaani amecheza mulele nilikopita katika uzi huu na katika comment zangu kwenye uzi huu.
HAYA ndiyo aliyoyaongea baba askofu mokiwa.Yanayofanana na haya niliyoyaongea hapa hata Askofu Mokiwa leo kayaongea live kupitia TBC1 akizungumzia unafiki wa sisi wa umini kwenye mambo mengi tu ya kiimani.Yaani amecheza mulele nilikopita katika uzi huu na katika comment zangu kwenye uzi huu.
Hivi wiki ina week-end ngapi? "Walau mara moja kwa wiki" na "kila week-end" kuna tofauti gani? Nadhani kila weekend ni sawa na mara moja kwa wiki. Mmmmh!Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Nimetafuta alama ya kudislike nimekosa. Nina wasiwasi na akili zakoHivi hatuwezi kuishi pasipo kuwa na huu utaratibu wa kusali kwa jumuiya huku mitaani.Kusali makanisani hakutoshi mpaka tukutane kwenye majumba yetu siku za week-end na hata kila siku kwa baadhi ya maeneo kwa lengo tu la kusali kwa utaratibu huu wa Jumuiya?
Wanaocheza pool table wanatakiwa kukamatwa kwani wanapoteza muda wa kufanya kazi,je hawa wanaokutana saa 12 kila Jumamosi na kwa baadhi ya maeneo nasikia ni kila siku,huku si kupoteza muda wa kufanya kazi?
Hivi lengo la kusali Jumuiya si kukusanya sadaka tu?Nini kipya kinachofanyika katika hizi Jumuiya tofauti na makanisani kwetu?
Alafu hivi mtu unawezaje kushiriki kwenye Jumuiya hizi lakini ukashindwa kushiriki mikutano ya kijiji/mtaa kwa maendeleo ya kijiji/mtaa wako?
Kama hizi Jumuiya ni muhimu sana,kwanini adhabu hizi za kijamii tunazozitoa kwa watu wasioshiriki Jumuiya hizi pia tusizitoe kwa wale wasioshiriki mikutano ya maendeleo ya mitaa au vijiji vyetu kwani hata hii mikutano nayo ni muhimu pia?
Nyinyi mnaotetea Jumuiya hizi niambieni ni lini mlikutana katika Jumuiya zenu hizi na kisha mkaongozana huku mkiwa mbeba sadaka zenu na kwenda kuwahudumia wagonjwa au makelekezo sadaka zenu hizo kuhudumia yatima?
Utaratibu huu nimeuona hapa Dar leo hii nikakumbuka na huko mikoani hali ni hiyo hiyo hivyo nikajikuta najiuliza haya maswali.Alafu katika nchi za wenzetu mambo haya yanafanyika?Nina hakika miaka ijayo haya mambo yatakuja tu kutoweka maana sioni ulazima wake.
NB:Asante Baba Askofu Valentino Mokiwa umeweka wazi unafiki wetu katika imani kupitia mahubiri yako ya leo katika Ibada ya Kitaifa ya Pasaka iliyorushwa live TBC muda mfupi uliopita.
Mliokuwa mnatoka povu hapa mtandaoni naomba muitafue clip ya mahubiri ya Askofu itawasaidia kujua kwanini nasema sisi ni wanafiki sana katika swala zima la imani.