Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Eee!@Bha_n'u_n'u walah umekuja na huku?kutetea upuuzi na ushoga PUMBAFU!

Lazima uwakubali na uwe rafiki wao sasa kuwatenga ndo kutatua tatizo ? Mkiwapiga,na kuwaua utakuwa niufumbuzi au
 
chinjaaaa mashoga....jitokeze uone

Najua lengo lenu ndio maana na simama kuwatetea na haitokuja tokea , wewe mwenyewe unamabaya yako
Lakini Mungu anakuvumilia, sasa kwa nini uchinje shoga ,
 
Ushoga upingwe na upigwe vita ikiwemo kuwatafuta na kuwaua mashoga popote walipo

Je? Utakuwa ndio ufumbuzi wa tatizo , au mbona sodoma naGomorrah Mungu aliwaangamiza ,
lakini badoo wapo , sasa basi huwezi tatua kwa njia hiyo tumia busarah , na hekima utafika
 
Mi sijui unauliza au unabisha kua ushoga haupo au upo ?
By the way ushoga upo ila sisi tunachopinga ni kua ushoga iko against na our culture na ata hao mashoga hawakuzaliwa hivyo bali wamejifunza kwa kukopi, swali ni kuwa kwann uwe shoga kama kweli umekamilika.

''IF OBAMA WANTS ME TO ALLOW GAYS IN MY COUNTRY I SHOULD MARRY HIM FIRST''. PRESIDENT MUGABE.
 
Anataka tumuhalalishe humu,ana beep huyo!!!
 
Ushoga umekatazwa kiimani na ki sayansi/kiafya. Sasa mashoga wanatumia vigezo gani kuhalalisha uchafu huo!
 
Amelaaniwa mfiraji na mfirwaji, sasa wewe tetea hiyo unayosema ni haki. Pia ungejaribu kufikiri in the long run sheria ikipitishwa unaweza hata wewe mwenyewe jamaa akakutaka na ukimkubalia mkeo nae akaanza kulalamika kuwa umemnyima haki yake ya ndoa. Hiyo ni laana taka usitake na hata anae tetea haki hiyo amelaaniwa. Sio umbile la mwanadamu mume kumuingilia mume mwenzake. Umeumbiwa mwanamke kwa sehemu mahsusi kabisa. Lakini haya pia yalikuwepo zamani kwa wasomao vitabu sodoma na gomora waliishia wapi? Waliangamizwa na Mola alieumba. Tusitetee na tuwaonee wenzetu huruma ktk suala hili. Jamani kama ni sawa mbona wanajiita anti fulani na sio anko fulani hii ina maana ushoga ni kujibadili kuwa mwanamke.




HUYU JAMAA BHAN'UN'U NI SHOGA MASHUHURI TENA NI MNYAKUSA! Mapata ushungu anti Bhanunu walahi

Mwongo mimi sio shoga , usipotoshe , nimejitoa kutetea mshoga sijaona sababu ya kuwahukumu,
Ikiwa na wewe una yako machafu mengi tu na Mungu anakuvumilia mpaka mwisho
 
Last edited by a moderator:
Ushoga umekatazwa kiimani na ki sayansi/kiafya. Sasa mashoga wanatumia vigezo gani kuhalalisha uchafu huo!

Hata kuvuta sigara kumekatazwa ki sayansi na kiimani lakini watu bado wanavuta ,,,, pumba hizooooooo
 
Hivi hakuna mambo mengine ya kuyazungumzia zaidi ya ushoga. Me naona kadri tunavyouzungumzia ndio tunazidi kuupa promo.
Kwa mleta mada ukitaka kujua raha ya ushoga subiri uzae mtoto wa kiume halafu aje akutambulishe mchumba ake ambae ni lijibaba la miraba minne! Ndo utajua raha ya hiki unachokipigia debe leo.
 
Ok washajua kama wewe ni shoga watakufuata pm.hope wanunua mashoga watakuwa wameifurahii hii taarifa.
 
Hata kuvuta sigara kumekatazwa ki sayansi na kiimani lakini watu bado wanavuta ,,,, pumba hizooooooo
Kwa hiyo kaka shoga umekubaliana nami kwamba ushoga umekatazwa kiimani na kisayansi/afya. Sawasawa?.
 
Umeona changu tu , mnunuzi yuko wapi? Huo ndio uzaifu ninao upinga , mnampiga anti na kumwacha Basha

hapawezi kuwa na basha kama hamna anti.
If you want silence and you cant have it then you have to eliminate source of noise
 
Nataka niende shule ya chadema japo nijue kichaga na nimjue yesu kristo vizuri.

usiwe kama msukule au mtu aliyelishwa unga wa ndere wewe na akili zako ulishindwa kung'amu kama ile picha watu wameedit.??? Zakuambiwa changanya na zako.
 
Ushoga umekatazwa kiimani na ki sayansi/kiafya. Sasa mashoga wanatumia vigezo gani kuhalalisha uchafu huo!

mbona uzinzi umekatazwa kiimani lakini hatuoni serikali ikikemea vikali
 
usiwe kama msukule au mtu aliyelishwa unga wa ndere wewe na akili zako ulishindwa kung'amu kama ile picha watu wameedit.??? Zakuambiwa changanya na zako.

Za kuedit zilifuata baadae ila za mwanzo mtu kaliwa. Ww baki na akili barafu zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom