Tatizo unahamaki, inaelekea una Hasira sana, angalia usije ukajiua Tu, Siku Ushoga ukibisha Hodi Nyumbani kwako!
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?
Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?
Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?
Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!
https://www.youtube.com/watch?v=RmSggYqp-6ANaomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?
Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?
Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?
Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?
Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?
Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?
Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!
NN, Kijakazi na Bhanunu mh!
Kweli siwqelewi!
Dah hyo aunty mudi ni wazaman sana kafa cku nyng....umenikumbusha tulivyokuwa tunamshangaa
JIHAD YA WAiSLAM IHAMIE KWA "MASHOGA" BADALA YA WAAMINI MOLA WENZAO
Kwa hoja yako inaonesha unakubali ushoga na kama unakubali ushoga unaukubali kwa vigezo vipi?viweke hapa halafu na sisi tukueleze tunaupinga kwa nini?
Mimi ni mmoja wa wapinga ushoga tena kwa dhati kabisa ila kwa wanafiki kama wewe napendelea wanapojifafanua kwanza ndipo nawaelekeza.
Wanaume ndio chanzo cha yote. Kila tundu tunataka kupitisha tupu zetu. Tuliumbiwa mbele, tukahamia nyuma sasa hivi tuko mdomomi na muda sio mrefu tutahamia masikioni trust me.
Kwa hiyo kinachopingwa ni kuhalalishwa tu, siyo?
Kila dini kuna mashoga , kunashoga , shelkh , padri, waziri, mbeba zege, mkaanga chipsi, baunsa
daktari, mwanasheria, mwanajeshi , polisi yaani mapaka Gaidi , shoga yupo
ushoga ni kinyume na akili za kibinadamu.wanyama,ndege na wadudu hawafanyi!Kwa yeyote aliyezaliwa na baba (mwanaume)na mama(mwanaume) na awe wakwanza kudai haki ya kuzaliwanayo,ushoga.
Wewe upo kwenye fani kati ya hao..!?
Kwa hiyo kama ushoga upo tusiupige vita!? Kama UKIMWI upo tusiupige vita, kama ujambazi upo siku nyingi tusiupige vita kwa kadri ya maelezo yako..!?