Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?

Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?

Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa ^tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?

Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!

Mkuu hapo kwenye Blue ni typing error au? Nahisi ulitaka kuandika shule mzima tulkuwa mashoga.
 
Bilali+alikuwapo.JPG
 
Jamani ni kukosa heshima kuweka picha za watu bila idhini humu jamvini.....waweza kuchukuliwa hatua za kisheria.....tuwe waangalifu,please.
 
Duh!
Tatizo wanaogopa Ikialalishwa Mtajitokeza Hadharani na soon mtaanza kudai haki ya Kuoa na Kuoana then watoto manze kuadapt.

Hakika Mungu Hapendi.

Kwani unafikiri Mungu hatambui uwepo wa Shetani? Anajua ila ameamua kumuacha ili iwe mtihani kwetu na sio kuwa anashindwa kumtokomeza akiamua ni dakika chache shetani anapotea.
>> Fraction of second ;na sio dakika
 
Pum,, b&,, vu
jibu swali acha kutokwa povu, utasuport vipi kitu ambacho hushiriki??,mi najua unasuport coz unaona kina faida sasa kwa nini ussuport alfu usitumie faida za hiyo kitu unayoisuportia?
 
Mimi ni mpigania haki ya mashoga na wasagaji

Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na ardhi, akulaani wewe pamoja na mafirauni wenzio.

Wapinga ushoga na usagaji, wote nawaomba tuseme

AMEEN
 
Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na ardhi, akulaani wewe pamoja na mafirauni wenzio.

Wapinga ushoga na usagaji, wote nawaomba tuseme

AMEEN

Sio kazi ya MUNGU kulaani , yeye anatupenda wote na kututakia mema , usilazimishe watu kusema AMEEN,Utashangaa siku unanikuta peponi
Pole wewewewe
 
Sio kazi ya MUNGU kulaani , yeye anatupenda wote na kututakia mema , usilazimishe watu kusema AMEEN,Utashangaa siku unanikuta peponi
Pole wewewewe

Wafiraji, wafirwaji na watetea usenge wote hawatauona ufalme wa milele
 
Wafiraji, wafirwaji na watetea usenge wote hawatauona ufalme wa milele

Hee hiyo mbingu ya Baba yako wewe kama nani , kila mtu aliye hai bado anayo nafasi , jililie wewe nafsi yako na ujitakase
Acha kuwaona wenzio hawafai mwenyewe unayako , mabaya , machafu na yananuka , na unavumiliwa tu usijione msafii acha kuhukumu
 
Tuna haja ya kutetea uovu? Au kukubali udhaifu? Basi hata enzi za babu zetu tungeenda kuagua.
 
Tuna haja ya kutetea uovu? Au kukubali udhaifu? Basi hata enzi za babu zetu tungeenda kuagua.

Tatizo watu wengi hawajui mbinu za kuweza kutatua tatizo sugu , Kwenye hili swala nguvu sio ufumbuzi , nilisha sema ,
Kama ni ushetani je? Sheria kali inaweza kuangamiza Zambi? , nchi za kiarab zinawanyonga kila siku na bado wapo ,
 
jIANGALIE WEWE NA FAMILIA YAKO ACHAN NA NCHI NA MAMBO MENGINE WENGINE NI MASHARTI YA WAGANGA WA KIENYEJI.
 
Kwa hiyo kinachopingwa ni kuhalalishwa tu, siyo?

Sana tu kwa maana mtatusumbua sana nyie mkipewa uhuru ,binafsi katika mashoga niliwahi kuwaona in person sijamwona hata mmoja mwenye akili timamu!sasa mkiwa wengi itakuwa balaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom