Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Kabla sijaanza kukushushia kipondo nataka kujua jee na wewe ni miongoni mwa mashoga au ni mtetezi wao?
Papason unauliza majibu? wewe mtu keshasema "hajui wanaopinga ushoga wanapinga nini"ni dhahiri yeye haupingi ,yumo na anauunga mkono.
Masuali kama hayo ni specifically kwa mabwabwa tu!
 
ndio maana wakaumbwa wanaume na wanawake sasa iweje midume mjifanye wanawake
 
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?

Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?

Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?

Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!

Kijakazi ina maana wewe ni shoga na unaushabikia ushoga. Nahisi wewe ni manyouk yaani shoga anaegegedwa. Unatoa bure au unauza. K.M.MK
 
Kwa hiyo kinachopingwa ni kuhalalishwa tu, siyo?

Kinachopingwa ni laana ya kujitakia kumbuka majanga yanyowapata wazungu pamoja na elimu na maendeleo makubwa Malaysia kupotea siku zote hizi bila kuonekna sio jambo dogo tafakari!
 
jambo ovu halikalalishwi tu kwasababu liko mtaani linafahamika jambo ovu husimamiwa kwa aghabu kali
 
Ushoga ni ushaitwaani na ulaanifu usohitajia tafsiri itoshe tu kufahamika hivyo.

Wanawake wamezidia wanamume mara tatu na kuendelea....
Sasa kikusabishienicho hadi kuoana jinsia moya ni kipi... ?!!

Kama pana nchi/mji/taifa lilopungukiwa wanawake lijieke hadharani na lipunguziwe.

Laana ziendelee kuwamiminikia wale woote wenye kuutetea ushoga hata kwa mlango wa nyuma ili kupata/ kukidhi zao haja.

Kama yalowakuta wale aalize LUUTWI basi ziada iwafike wanaofanza mambo na harakati za kuhalalisha jambo OVU kama hilo.
 
Kila jambo liko 'neutral'...suala ni namna mtu mmoja mmoja anavolichukulia...hata huko nchi za magharibi walioruhusu ushoga sio kwamba kila mtu anausapport...hapana...wengine wanapinga lakini wengi wanaunga mkono hivyo kisheria imeruhusiwa..kwa hiyo kama hapa kwetu Afrika pia wengi hatuutaki, basi sheria itungwe ya kuuzuia na wale wamagharibi wasituzingue kwa madai ya kufuata maoni ya kundi dogo la mashoga wakati na wao hawakufuata maoni ya kundi la wapinga ushoga nchini mwao..
 
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?

Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?

Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?

Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!

Wanaogopa kufirwa, we vipi huogopi?
 
Nenda http://www.facebook.com/LGBT VOICE TANZANIA utawakuta wamejaa tele tena wana asasi yao ya kudai haki zao. Taaaratiibu ndio huko wanakoelekea kwa gia ya kupewa misaada. Yalianza makanisa, vyama vya siasa mashirika yasiyo ya serikali yanayojihusisha katika utetezi wa jinsia na haki za binadamu, sasa wazungu wanataka haki za -------, mabasha na wasagaji. Na wabongo wameshaiona fursa na wameidaka kwa kigezo cha misaada ya nje. Hawa jamaa zamani walikuwa wakijulikana kama wezesha ofisi zao ziko Tabata na Contact Person wao ni James Wandera, S.L.P 7873, DSM, simu +255 766 334 419, link yao ingine hii kama ya facebook haipatikani http://www.wiser.org/organization/view/9f6aea4492a5b28b1604d31b834f22a0. Njaa kitu kibaya sana
 
Hivi hakuna hoja za kupinga ushoga bila kusema 'mungu hapendi, sji dhambi,ushetani' na kauli kama hizo zilizokaa kiimani za kidini...maana sheria mama ya nchi inatambua kuna kundi la waaminio dini,imani za asili na wasio na dini.. Sasa ukimuambia shoga 'mungu hapendi' wakati haamini habari za mungu bila shaka ni upuuzi kwake na tayari sheria inatambua imani yake kwa hiyo amelindwa na huwezi mshtaki wal kumpa stress..
 
Laana ya mungu ipo kwako tangu kukubali kwako mpaka sasa na mpaka ufe ama labda utubu na sio sisi tunaopinga mungu atatulinda laana ya mungu ikushukie wewe na hao majuha wenzio
 
Napenda kuona watu wakinukuu kamstari kwenye biblia kuhalalisha chuki na nia mbaya kwa binadamu wenzao. Kumbuka wazungu walikuwa wakinukuu mistari ya biblia kuhalalaisha kuchinja, kuua na kuwafanya watumwa watu weusi. Google ' descendants of Ham', halafu pia jaribu ku research vitabu vingine vya Koran jinsi vinayvoongelea watu weusi. Take it with a grain of salt, times have changed huwezi kuenda kuchinjwa watu kisa 'kitabu kinasema...'. Live your life, mengine mwachie mungu wako.


Mungu anasema "Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo SANA. Lazima wauawe" (walawi 20:13)

HAO NI WATU WA SHETANI NA WAMEJAA MAPEPO YA KILA AINA". KUWAACHA WATU KAMA HAO NI KAMA KURUHUSU MAPEPO YAWE NA HAKI ZAO.
 
du pole sana, hiyo heading inaonyesha wewe hupingi ushoga unatushangaa sisi tunaopinga. kwa maana nyingine wewe tayari ni shoga unataka nini tena?
 
Tukubali tukatae ushoga na mashoga wapo/vipo ndani ya jamii yetu kama ilivyo kwa uzinzi,ulevi mateja nk, mtoa mada ameeleweka vibaya sio kwamba anatetea hayo au na yy ni shoga nakataa, tunapinga ushoga sawa lkn ndani ya jamii zetu dini zote mashoga, makahaba,mateja,walevi, wauza unga na watenda maovu mengi yamchukizayo mwenyezi mungu na jamii nzima wapo ndani yetu, kama kweli tunataka jamii yenye kumfuata mungu tuanze ndani ya familia zetu tuwaokoe waliopotoka Katika nyanja zote sio kinafiki tunajifanya hadharani tunapinga ushoga lkn tunafanya kinyume na maumbile na mademu tunaobeba barabarani, tunateketeza jamii kwa kuwauzia cocaine na mengine mengi, sihitaji matusi tujadili kwa hoja , nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom