Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

Kwa hiyo kuwachoma moto, kuwapiga , na kuwafunga , unataka niunge mkono ujinga, sipo tayari

Nani kawachoma, wapi na lini wamepigwa, wapi wamefungwa , ili uhalalishe huruma yako... Umeamua kutafuta Haki ya kutenda pasipo kunyanyapaliwa tu lakini si kwamba kuna mateso uliyoyaandika hapo juu
 
Pontless, huna sababu ya kupinga haki ya mtu, asiyekuhusu

Kwa akili hiyo wamaanisha watu wakiamuamua kufanya ngono popote iwe halali kwa kuwa wengine haiwahusu au ushoga pekee ndiyo wengine hauwahusu...unataka jamii isiwe na moral standard kwenye mahusiano ya kimapenzi ? Uwe muwazi juu ya dhamira yako, unapigania haki ya mashoga pasipo kueleza kama kwa ufaham wako wanayenda vema au lah, wadiriki kumsingizia Bwana Yesu wakati msimamo wake na mipango yake ili kuwa wazi, hakuwapenda kwa kuwa walikuwa wanapnewa Bali kwa kuwa walikuwa kama wagonjwa naye akiwa daktari kwao. Wewe kwako ikoje ?
 
Hayo ndiyo yanayo fanya watu kama sisi tuwatete kwanini umshushie kipondo
Bhanunu
Siku ukija kuta baba yako kashikishwa ukuta utamtetea basha wake au utafanyaje?
Tafadhali naomba utujuze .
 
Last edited by a moderator:
Bhanunu
Siku ukija kuta baba yako kashikishwa ukuta utamtetea basha wake au utafanyaje?
Tafadhali naomba utujuze .

Bangi ni mbaya sana , nimesema na tetea Mashoga bila kujali , title, nyazifa , nk
 
Last edited by a moderator:
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?

Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?

Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?

Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!

unataka kusema ushoga ni kilema ambacho m2 anazaliwa nacho?je na wewe ni shoga
 
Halafu unajiita String theorist, Sidhani hata kama umeielewa string theory labda umependezwa na jina Tu!
Mh, we ni shoga? Mwenzio si kaweka kifungu cha biblia hapo? Ndani ya moyo wako unatamani sana huo ushenzi uhalalishwe hapa
 
Wanapinga isiingizwe kwenye katiba au sheria za haki za binaadamu kwa hapa kwetu.
 
Na suport ndio lakini sishiriki ,na wala sihamasishi , waliopo wakubaliwe , na kama unawapinga basi ,
Busara itumike sio kuwachoma moto , kuwafunga jela , kuwazomea, nakuwapiga .
siku haya mambo yakíingia kwenye familia yako utajua maana ya huu ----- unaoutetea,watch out crful,usiongee tu kwa vile unataka ujaze mi-comment humu.
 
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?

Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?

Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?

Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!

ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuelewa mambo unayoyaona magumu,tafuta tu mfano mwingine rahisi halafu fananisha utapata majibu kiulainiii,mfano suala lako jiulize,ipo sheria inayokataza mauwaji au mtu kumuua mtu mwingine,lakini mauwaji si yapo tu toka unasoma shule ya msingi si unayasikia?sasa kama watu wanauwana kwahiyo tufute sheria turuhusu watu wauane?wianisha mfano huo na swali lako,kwahiyo kwa vile mashoga wapo hivyo ndio sheria ya kukataza ushoga isiwepo?turuhusu ushoga?

haya sasa jikite katika tafakari uuone ukweli wewe mwenyewe bila kushurutishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom