Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

ushoga ni kinyume na akili za kibinadamu.wanyama,ndege na wadudu hawafanyi!Kwa yeyote aliyezaliwa na baba (mwanaume)na mama(mwanaume) na awe wakwanza kudai haki ya kuzaliwanayo,ushoga.

ushoga ni jambo asilia ambalo huwa linajitokeza kwa mtu yoyote wa mahali popote, ama liwe limejitokeza genetically ama mtu kuona anavutiwa nao na kuanza kuwa shoga, hizo ndizo sababu kubwa za ushoga kwa binadamu.

Lakini pia hata kwa wanyama ushoga pia upo yaani pundamilia, simba, nyani( hasa kwa jamii ya bonubu), twiga na wanyama wengi wengineo.
ushoga kwa wanyama udhihirika pale ambapo midume inapandana ama majike yanaposagana ambapo kuna uwepo wa jinsia tofauti na yake, lakini huamua kulala na jinsia fanani hivyo hufanyika kuwa ni tabia ya kishoga.
 
Wala sio hamaki au hasira, wewe jiulize tu pale tundu la mavi linapogeuzwa kuwa kigegedo halafu utegemee watu wawe kimya...

Mkuu tundu la mavi la mwanaume ndo halifai ila la mwanamke tamu hiloo asikwambie mtu tuulize sie wateja wa uwanja wa fisi kwanini voda inapatkana hata kwa buku lakini tigo ukibahatika ya bei cheee ni buku teni. Hapana chezeya matopeni wewe!!
 
Kwa hiyo kama ushoga upo tusiupige vita!? Kama UKIMWI upo tusiupige vita, kama ujambazi upo siku nyingi tusiupige vita kwa kadri ya maelezo yako..!?

Unapotetea kitu jenga hoja za kushawishi unajua kabisa jambazi anapovamia analeta madhara kwa mtu/watu na hivyo vingine ulivotaja vinadhuru watu moja kwa moja. Haya tuambie shoga anapofanya yake anamdhuru nani?
 
Kwani mtu anapopata UKIMWI anamdhuru nani, kwa nini mnaupiga vita!?
 
Ww kama unataka ushoga nenda chadema wana mbunge shoga ambaye hata picha zake akitoa tigo zilionekana.
 
Hivi wewe kwa akili yako unaona ni sahihi kwa mwanaume mmoja kubong'oa na mwingine kuingiza uume wake kwenye tundu la kutolea mavi la mwingine???

Kama unaona ni sawa na unashindwa kutuelewa wale tunaokemea huu ufirauni basi anza nawe kuwabong'olea wenzako waharibu heshima ya makalio yako.
watu8 umemuelewa mtoa mada?!
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona najibizana na shoga aliye kubuhu , hongera Bhanunu kwa kukamata na kuitumia fursa iliyo nyuma yako.

Anapakatwa na kajizi kalikobambwa Mtaa wa pili jukwaa la Madawati na bulakibodi
 
Last edited by a moderator:
Hapo kinachotakiwa ni kuwapa elimu watoto zetu kuhusu madhara ya ushoga. na wazazi tunatakiwa tuwe wawazi ktk familia zetu,na nadhan huwezi kumwambia mvuta bangi kwa ghafla aache kuvuta bangi utkuwa unapoteza muda ni sawa na hawa mashoga mnavyowapiga,kuwachoma moto na kuupinga ushoga mnakuwa hamtendi haki kama hivyo basi muwaelimishe wale wanaowafanya na sio kutizama upande mmoja tu! Wao hawakupenda kuwa hivyo....
 
Kwani mtu anapopata UKIMWI anamdhuru nani, kwa nini mnaupiga vita!?

Mkuu Ushoga sio maradhi! Sitaki kuamini kwamba mtu ukiambukiza watu ukimwi huwapi madhara naamini unafahamu maradhi ya ukimwi yanavotesa watu either labda uwe umechanganya kupinga vita ya ukimwi na kunyanyapaa mgonjwa wa ukimwi!!
 
Amelaaniwa mfiraji na mfirwaji, sasa wewe tetea hiyo unayosema ni haki. Pia ungejaribu kufikiri in the long run sheria ikipitishwa unaweza hata wewe mwenyewe jamaa akakutaka na ukimkubalia mkeo nae akaanza kulalamika kuwa umemnyima haki yake ya ndoa. Hiyo ni laana taka usitake na hata anae tetea haki hiyo amelaaniwa. Sio umbile la mwanadamu mume kumuingilia mume mwenzake. Umeumbiwa mwanamke kwa sehemu mahsusi kabisa. Lakini haya pia yalikuwepo zamani kwa wasomao vitabu sodoma na gomora waliishia wapi? Waliangamizwa na Mola alieumba. Tusitetee na tuwaonee wenzetu huruma ktk suala hili. Jamani kama ni sawa mbona wanajiita anti fulani na sio anko fulani hii ina maana ushoga ni kujibadili kuwa mwanamke.
 
Hili sio jambo la kujadili eti mtu anajifanya anataqka kuelimishwa, acha upuuzi ushoga umeshasema unaufahamu tangu unasoma shule sasa wewe unafikiri una faida? hilo ni jambo chafu sana halina mfano hapa duniani. mtu yeyote anayefanya kitendo cha mapenzi kinyume na maumbile basi siku ya hukumu (kiyama) atakujafanya hivyo hivyo mbele ya Mungu na atapata hukumu kali sana. na kama hilo jambo likiendelea kujadiliwa na watu hapa duniani basi tutapatwa na majanga mabaya sana ambayo hatutapata majibu
 
ushoga ni jambo asilia ambalo huwa linajitokeza kwa mtu yoyote wa mahali popote, ama liwe limejitokeza genetically ama mtu kuona anavutiwa nao na kuanza kuwa shoga, hizo ndizo sababu kubwa za ushoga kwa binadamu.

Lakini pia hata kwa wanyama ushoga pia upo yaani pundamilia, simba, nyani( hasa kwa jamii ya bonubu), twiga na wanyama wengi wengineo.
ushoga kwa wanyama udhihirika pale ambapo midume inapandana ama majike yanaposagana ambapo kuna uwepo wa jinsia tofauti na yake, lakini huamua kulala na jinsia fanani hivyo hufanyika kuwa ni tabia ya kishoga.

Points

Hapo kinachotakiwa ni kuwapa elimu watoto zetu kuhusu madhara ya ushoga. na wazazi tunatakiwa tuwe wawazi ktk familia zetu,na nadhan huwezi kumwambia mvuta bangi kwa ghafla aache kuvuta bangi utkuwa unapoteza muda ni sawa na hawa mashoga mnavyowapiga,kuwachoma moto na kuupinga ushoga mnakuwa hamtendi haki kama hivyo basi muwaelimishe wale wanaowafanya na sio kutizama upande mmoja tu! Wao hawakupenda kuwa hivyo....
 
Amelaaniwa mfiraji na mfirwaji, sasa wewe tetea hiyo unayosema ni haki. Pia ungejaribu kufikiri in the long run sheria ikipitishwa unaweza hata wewe mwenyewe jamaa akakutaka na ukimkubalia mkeo nae akaanza kulalamika kuwa umemnyima haki yake ya ndoa. Hiyo ni laana taka usitake na hata anae tetea haki hiyo amelaaniwa. Sio umbile la mwanadamu mume kumuingilia mume mwenzake. Umeumbiwa mwanamke kwa sehemu mahsusi kabisa. Lakini haya pia yalikuwepo zamani kwa wasomao vitabu sodoma na gomora waliishia wapi? Waliangamizwa na Mola alieumba. Tusitetee na tuwaonee wenzetu huruma ktk suala hili. Jamani kama ni sawa mbona wanajiita anti fulani na sio anko fulani hii ina maana ushoga ni kujibadili kuwa mwanamke.

Hapo ndo Binadamu mnapo jidanganya , zambi za sodoma na Gomorrah zilikuwa nyingi , kama unavyo zifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom