Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,862
- 183,141
Yule dawa yake maokoto tu🤣Hahahaha.. Yani wewe🙌🏿🏃🏿😆
Yule dawa yake maokoto tu🤣Hahahaha.. Yani wewe🙌🏿🏃🏿😆
kichwa cha uzi hakisanifu yaliyomokichwa cha uzi hakiendani na maudhui😂😂😂😂😂😂
Isingekuwa,usingekuwa📌Muda wote kuwaza Ngono tu!.
Kwa Yesu mbona haikuwa na imekuwa?Isingekuwa,usingekuwa📌
OohKwa Yesu mbona haikuwa na imekuwa?
Mbio kutizama waliwaji daah🙌
Nilikuwa nimeshaandaa miwani yangu ya macho kushuhudia waliwaji 😅Mbio kutizama waliwaji daah🙌
😂😂😂,ungewataja pia💃Nilikuwa nimeshaandaa miwani yangu ya macho kushuhudia waliwaji 😅
Done!wanaoongoza kwa kula ni wajanja wenye uthubutu na mitandao wanaotumia akili na fursa kujitajirisha kupitia jasho la wengine.
Wao hutumia mbinu za kutapeli kwa kuuza ahadi hewa za mafanikio ya haraka, kama uwekezaji wa upatu na kazi za mchongo, ili kuwanasa watu wenye tamaa ya maisha ya mteremko.
Nao wanaoongoza kwa kuliwa ni wale wanaotafuta njia za mkato (short cuts) za kupata utajiri wa usiku mmoja bila kufanya kazi kwa uvumilivu.
Kwa uoga wao wa kuthubutu na kukosa uelewa wa michezo ya kifedha, huishia kuingizwa mjini na kupoteza mitaji yao yote kwa kulipa ada za haraka na kununua matumaini yasiyo na uhalisia.
Niwataje ninawajua basi mjukuu😂😂😂,ungewataja pia💃
Nachoka mie😂
Oooh, utapata wakufanana nae😂Niwataje ninawajua basi mjukuu
Hapa nipo kumvizia mmoja aje anilee babu yenu katika Uzee nilionao tu 🤭
Nampata wapi wakati wajukuu wote wananikwepa babu yao kisa umriOooh, utapata wakufanana nae😂
Siamini,siwezi kuamini,na sitaki kuamini😂Nampata wapi wakati wajukuu wote wananikwepa babu yao kisa umri
Eti hawawezi kazi ya kuvumilia pambano la sekunde 29 🤪
Kweli tena, niliambiwa hakuna mjukuu ataweza kazi ya kuimba na maiki masaa 5 kuamsha kitu hakiamki hata akikesha anaimba tu 🤪🤭Siamini,siwezi kuamini,na sitaki kuamini😂
😂😂😂😂😂😂,nyau weeeh, wapo wengi humu,nawaona.Kweli tena, niliambiwa hakuna mjukuu ataweza kazi ya kuimba na maiki masaa 5 kuamsha kitu hakiamki hata akikesha anaimba tu 🤪🤭
Wako wapi hao, labda babu yenu sina bahati😂😂😂😂😂😂,nyau weeeh, wapo wengi humu,nawaona.
Nikugawie mmoja wa damu? Utawezana?Wako wapi hao, labda babu yenu sina bahati
Yaani kweli Mimi wa kutegemea joto la hizi Kiko nivutazo wakati kuna wajukuu humu 🤪
Kuweni na huruma na Wazee 🤭
Kama ataweza kazi ya kuamsha hii kitu masaa 5 nipo tayari mjukuuNikugawie mmoja wa damu? Utawezana?