Wanaoongoza kuliwa, wanaoongoza kula JF...!

Wanaoongoza kuliwa, wanaoongoza kula JF...!

Money Heist (iliyojulikana kwa Kihispania kama La Casa de Papel) ndiyo inayosadifu mambo haya kwa uhalisia mkubwa zaidi.Hii ni tamthilia maarufu duniani ya makosa ya jinai na unyang'anyi inayopatikana kwenye mtandao wa Netflix. Hadithi hii inamuhusu mtu mmoja wa ajabu anayejiita "The Professor" (Profesa), ambaye anakusanya kikundi cha wahalifu wanane wenye majina ya bandia (kama vile KENZY, chai ya rangi, Espy_ ) ili kufanya wizi mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia.

Nilisha angalia 🤗
 
Sheee langu sio la bandia🤣
 
wanaoongoza kwa kula ni wajanja wenye uthubutu na mitandao wanaotumia akili na fursa kujitajirisha kupitia jasho la wengine.

Wao hutumia mbinu za kutapeli kwa kuuza ahadi hewa za mafanikio ya haraka, kama uwekezaji wa upatu na kazi za mchongo, ili kuwanasa watu wenye tamaa ya maisha ya mteremko.

Nao wanaoongoza kwa kuliwa ni wale wanaotafuta njia za mkato (short cuts) za kupata utajiri wa usiku mmoja bila kufanya kazi kwa uvumilivu.

Kwa uoga wao wa kuthubutu na kukosa uelewa wa michezo ya kifedha, huishia kuingizwa mjini na kupoteza mitaji yao yote kwa kulipa ada za haraka na kununua matumaini yasiyo na uhalisia.
Mods hebu badilisheni title 😇
Nimekuja mbio mbio kumbe holaaa🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mods hebu badilisheni title 😇
Nimekuja mbio mbio kumbe holaaa🙆‍♂️🙆‍♂️
Twende msibani kwanza shee
519a4b7d-493e-4153-8e4a-948812449d34.jpeg
 
Nilishakuja na mafile yangu tuanze kuungurumisha kesi walioliwa walipwe stahiki zao 😹😹😹
 
Nilishakuja na mafile yangu tuanze kuungurumisha kesi walioliwa walipwe stahiki zao 😹😹😹
Ankal una nini lakini..🤣🙌🏿 mada isingekuwa hai mpaka sasa
58d92eba-2a66-4fb1-be1b-fcc76911b815.jpeg
 
Back
Top Bottom