Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,944
- 858,874
- Thread starter
- #21
Money Heist (iliyojulikana kwa Kihispania kama La Casa de Papel) ndiyo inayosadifu mambo haya kwa uhalisia mkubwa zaidi.Hii ni tamthilia maarufu duniani ya makosa ya jinai na unyang'anyi inayopatikana kwenye mtandao wa Netflix. Hadithi hii inamuhusu mtu mmoja wa ajabu anayejiita "The Professor" (Profesa), ambaye anakusanya kikundi cha wahalifu wanane wenye majina ya bandia (kama vile KENZY, chai ya rangi, Espy_ ) ili kufanya wizi mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia.Daaaah!!!
Humu humu JF watu wanaonana kwa haya 😲😲😲