Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

pointless kumbe wewe waumia mtu akijenga kwao? we sio mzima kabisaaa.. kwa hyo ukiwa na binti hutaki akujengee kisa kaolewa?

Sio awe anaiba hela zangu ajenge kwao .tangiapo mke ni wangu nammiliki hata mshahara wake ni wa kwangu
 
sema mkeo usiwachanganye wote..humu wanaume wa ukweli kibao wake zao wasomi na wanaheshimiana

Msomi akienda semina au training sehemu nje ya nchi ni chumba kimoja na boss wake au mfanyakazi mwenzake.


Yani ni kujiachia
 
upeo wa mwanamke wa darasa la saba/4m4 hauwezi kulingana na aliefika degree wanaume semeni mnaogopa challenge tu

Kuna wanawake hawajasoma na wana upeo na maisha balaa dada.

Elimu ya maisha ya mtaa ndio inayotakiwa na sio ya makaratasi.

Kukariri theory sio kujua practical.
 
Yani kweli kuna umuhimu wa kurudisha jando, wanaume mmesahau wajibu wenu....
Kwanza hamna kuoana, mwanaume anaoa na mwanamke anaoleawa....mwanaume ndo mtenda na ana wajibu wa kumtimizia kila kitu mkewe....

Hebu fikiria, tunaamka asubuhi tunaenda wote kazini, nirudi nikupikie, nikufanyie usafi, usiku unimong'onyoe, tena kwa kunibinua staili zote, na huku unataka mauno ya kufa mtu.....mimba nibebe mie na kwa uchungu nizae....
Mimi ndo niangalie watoto na kutunza nyumba...we ukitoka kazini unapitia baa au unarudi nyumbani uko busy na tv....
Halafu mwisho wa mwezi unausarandia mshahara wangu.....hahaaaa!

KwA hiyo tendo ww hulifaidi ila ni karaha kwako mana unachukia kugeuzwa style zote na kubinuliwa
 
mie kila siku babangu alikuwa ananiambia mwanangu soma usije kunyanyasika kwa wanaume.....yaan nlikuwa napiga buku ka sina akili nzuri kila nilipokuwa nikikumbuka maneno yake

Nataka nimprove wrong babako mwenye tabia ya kuwanyanyasa wanawke kisa hawana elimu.
Mie nakuoa na ninakunyanyasa kama kawaida.
Na ndo mana mnashindwa kunyenyekea mwanaume mana mnajiona kama manyanyaso kwako.
Kutii mmeo hakuna ni manyanyaso
 
mwanamke wa darasa la saba au form iv failure hawafai? nawashauri wanawake hao hawafai kwa maisha ya sasa. mwanaume ukikwama kidogo,labda kazi kusimama jua na wewe na watoto wako mmekwama, bora ukwame wewe. ila watoto wanakuwa machokoraa au makahaba, cha muhimu sasa ni kusikilizana na kusaidiana majukumu zama za kuowa mwanamke kwa kazi moja tu ya kutanua miguu imepitwa na wakati.

wanawake hao ndio wale hata vitu vya kisasa unakuta kaharibu ni headache. wengi wameshindwa nawashauri oweni wanawake wanaojitambua wenye elimu ya kutosha na mnapendana. usiowe mwanamke kwa ajili ya kunyenyekewa huko kunyenyekewa kutakugarimu

Ttzo ujui usumbufu wao hao waliosoma

mmi bnafsi mke wangu anafanya kazi shule y kata lkn pesa yake amejipangia vtu anavyochangia kma bili maziwa ya wtto na mavazi yake yye na mavazi ya mtoto wetu mdgo wa pili tena kila cku analialia nmpunguzie majukumu
Wakati mmi ninatoa Mara 3 yake kma ela ya pango chakula ada ya shule y watto 2 mfanyakazi wa ndan na chakula kila cku ssa hapo kuna usawa unavyoona wwe mm hapo nanufaika na nn:what:zaidi ya wanangu kulelewa na watu baki
 
Hizi degree na mambo ya 50/50 na wanawake kujifanya na wako watafutaji na vidume kujifanya ukisasa na kudai eti unaoa ili msaidiane majukumu ya kutunza familia hasa ktk kutafuta mahitaji ya familia ni ujinga kabisa kwa mtu anayetambua kazi za Mungu maana Mungu hana ukisasa wala ukizamani na kwa kufanya hivi mara nyingi tunamkosea Mungu sana kwamba Mungu alikukosea kukupa hayo majukumu...kumbuka hilo si jukumu la mwanamke tangu enzi za akina adamu majukumu ya mwanamke yanafahamika na ya mwanaume yanafahamika sasa sisi kwa kujitia upofu na kujivika ukisasa ndio maana siku hizi maadili yapo hovyo kabisa maana yake mama ni kama baba na baba ni kama mama wote wapo bize hakuna ata mmoja anayeweza kufuatilia familia yake kwa ukaribu muda mwingi familia ipo na house girl unashangaa tu mtoto wako wa kiume ni shoga yaani mambo yapo shagharabaghara hovyo hovyo bora liende akina sie tunajificha katika kivuli cha ukisasa mmh maana mwanamke nae siku hizi anauwezo wa kuoa yaani na yeye ana nyumba ndogo(serengeti boy) kaipangishia uko na anaisomesha. Mungu atusaidie kwa kweli eti kidume kabisa unasema naoa msomi ili nikifirisika yeye ndio aiendeshe familia financially duh kweli nimeamini ndio maana ushoga siku hizi unakuja kwa kasi zote watu hawajiamini na ni waoga mno

Uko sahh kbsa mkuu yan mwanaume unakua muoga wa majukum yako mbka unaboa sifa ya mwanamke mbka kwenye maandko wameandka kua mke ni mtu wa kulea familia
 
Mtu yeyote anaebisha kua mwanamke aliesoma sana ni msumbufu ndani ya ndoa anabisha tu kutimiza wajibu,hili liko wazi kwa nchi za wenzetu nidhamu haiondolewi na wote elimu lakini kwetu 100% ni balaa tupu
 
Uko sahh kbsa mkuu yan mwanaume unakua muoga wa majukum yako mbka unaboa sifa ya mwanamke mbka kwenye maandko wameandka kua mke ni mtu wa kulea familia

Binanadamu wa leo wanajitoa ufahamu wanasoma maandiko lakini tunajitia upofu kwa kujiingiza katika usasa lakini tunashindwa kujua hayo maandiko matakatifu hayana usasa wala uzamani majukumu ya baba na majukumu ya mama ndani ya ndoa yanabaki vile vile ndani ya maandiko hata karne na karne. Aya mambo ya wanawake kujifanya vichwa ndani ya familia sisi tunayapokea tu kutoka nchi za ng'ambo na ukiangalia uko tunapoyapokea tunaona maadili yalishapolomoka kabisa na sasa ndio maadili yetu nayo yanaelekea kule tunapoiga hii system. Kila mmoja ashike la kwake sasa maana muda haupo kabisa
 
Duh hii mada inagusa baadhi ya dada ninaowafahamu na wako humu humu. Hope hamchukulii Jf too serious
 
kweli kabisa,na juzi jumapili ndio nimeamini ukweli wa huu uzi.
Kuna mdada mmoja nilisoma naye O-Level,nikaja kukutana naye Mlimani miaka mitano baadaye wakati huo yeye alikuwa anachukua shahada ya pili. Mimi nilikuwa na kidato changu cha sita tu,kwani niliingia zangu kwenye biashara nikaachana na shule.
Nikavutiwa naye na nikampa mistari,lakini cha kushangaza alinitolea nnje sababu kubwa ikiwa ni tofauti yetu ya elimu. Kusema ukweli,yule dada nilimpenda sana sana na nilikuwa tayari awe mke wangu.
Sasa Jumapili ya juzi nikiwa na familia yangu ufukwe wa Coco,nikakutana naye akiwa na rafiki zake wakishuka garini nami nikiwa nachukua magazeti garini.
Tukasalimiana pale na kuonyesha kufurahi sana kuniona.Akaniambia kwa sasa ni Dkt. fulani (PhD).
Nikamuuliza ni mrs nani sasa,akasema bado hajaolewa eti alikuwa ananisubiri mimi,nikamwabia mimi si alinikataa kisa sijasoma,akasema alisikia kuwa nilirudi shule na sasa nina elimu fulani.
Nilichofanya ni kumshika mkono na kumpeleka sehemu ilipo familia yangu na kumtambulisha. Mbona mdomo ulitaka kumdondoka,na akabaki kujibaraguza mbele ya wife kuwa hata yeye amekuja peke yake mumewe kasafiri.
Kwa hiyo nyie wadada mliobahatika kuona milango mingi ama vyumba vingi vya kujifunzia,msipokuwa na unyenyekevu,kamwe mtabaki kugegedwa na kuwa michepuko tu.
Huyo mdada yupo katika "early 40s".
 
Nataka nimprove wrong babako mwenye tabia ya kuwanyanyasa wanawke kisa hawana elimu.
Mie nakuoa na ninakunyanyasa kama kawaida.
Na ndo mana mnashindwa kunyenyekea mwanaume mana mnajiona kama manyanyaso kwako.
Kutii mmeo hakuna ni manyanyaso
Mi sijibizanagi na vitoto..
 
Tokea kuumbwa kwa dunia Mungu alimuumba adam akaona si vema kua peke yake akamuumba msaidizi kupitia ubavu wa adam
Sasa basi dunia imelaniwa kutokana na ahadi y Mungu walivunja na Mungu akasema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu.
Matukio makubwa yakutisha wanawake wamekua wakishiriki kutokana na ushawishi walio nao asilimia 80 ya wanaume wamekua wakipendwa na wakwe %20 wakichukiwa
WAnawake walio olewa asilimia 95 wakichukiwa na ndugu wamume wakiogozw na mawifi.
Haya yote yanatokea kwa kua wanaume wamepoteza urijali hadhi msimamo
Mwanaume kamili n yule mwenye uwezo wa kujali familia na mwenye kuhakikisha wato wote waliochini yake wana haki sawa mkubwa aheshimu mdogo na mdogo aheshimu mkubwa usitke kueshimiwa wakati wewe umepoteza uwezo na huna heshima.
Familia bora mwanaume ukifika ndani usiwe unakimbilia kumkumbatia mkeo wakati kafanya madudu ndani muulize watoto wamekula watoto nao waulize kama unajua msosi upo tena umeleta wewe mulize nichangieni mb nimalizie...........
 
Wanaume wengi ni waoga, mwanamke mwenye elimu ya juu ni sawa na mwanamke mwenye elimu ya chini. Tabia mbaya haina elimu. Ila kiburi hujengwa na MTU mwenyewe bila kujali elimu
 
Tokea kuumbwa kwa dunia Mungu alimuumba adam akaona si vema kua peke yake akamuumba msaidizi kupitia ubavu wa adam
Sasa basi dunia imelaniwa kutokana na ahadi y Mungu walivunja na Mungu akasema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu.
Matukio makubwa yakutisha wanawake wamekua wakishiriki kutokana na ushawishi walio nao asilimia 80 ya wanaume wamekua wakipendwa na wakwe %20 wakichukiwa
WAnawake walio olewa asilimia 95 wakichukiwa na ndugu wamume wakiogozw na mawifi.
Haya yote yanatokea kwa kua wanaume wamepoteza urijali hadhi msimamo
Mwanaume kamili n yule mwenye uwezo wa kujali familia na mwenye kuhakikisha wato wote waliochini yake wana haki sawa mkubwa aheshimu mdogo na mdogo aheshimu mkubwa usitke kueshimiwa wakati wewe umepoteza uwezo na huna heshima.
Familia bora mwanaume ukifika ndani usiwe unakimbilia kumkumbatia mkeo wakati kafanya madudu ndani muulize watoto wamekula watoto nao waulize kama unajua msosi upo tena umeleta wewe mulize nichangieni mb nimalizie...........

Saaafi sanaaa, Hawa wanaume wenzio wanataka mteremkoo ndo mana wanapandwa kichwaniii.....Huwezi kuuliza watoto wamekula kama hujaacha pesa, wale mawe au?
 
Back
Top Bottom