Nadhani huko kwako mpangilio ni tofauti, ila hii hapa naipesti, ikikugusa kumoyo shauri yako usinilaumu!!
Tatizo ni approach mnayotumia mkuu, mi naamini wanawake karibia wote (la saba sijui digrii) wana mitazamo mingi inayofanana, wana tabia nyingi zinazofafana, na pia wana priorities nyingi zinazofanana wakiwa ktk mapenzi ya kawaida au wakiwa ndoani, sasa ni jukumu la mwanamume kum-mold mke wako awe vile unavyotaka, sasa ukiona umefeli badili approach au ongeza approach juu ya approach nyingine. Sometinmes diplomasia peke yake haiendi. Wasomi wengi wanalewa shule, so kwa diplomasia peke yake unaweza kukwama. Kama jambo ni la muhimu ktk ustawi wa ndoa yetu au familia yenu, lazima kama mwanaume ulilazimishe lifanyike au lisifanyike.
Mwanamke ukimsikiliza asilimia 100 mambo hayaendi mkuu, yakienda ujue mtaangukia mtaroni!! Mungu hakukosea alivyosema sisi ndo tuwaongoze, sema tatizo sisi wenyewe hewa tupu!!