Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wakishasoma wanaanza kuigiza mapenzi, uzungu mwingiii, bora hawa wa form 4 na la saba wanajielewa sana kuliko hawa waliosoma hadi vyuo vikuu. Sio wote lakini .
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.

Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.

Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?

Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Weee chooo kabisa ! Mjinga mkubwa utabaki ivoivo! Kaowe la saba wako tatizo hujasoma unataka kuowa msomi
 
Mwanaume mjanja hawezi oa mwanamke msomi ni wasumbufu mkizinguana kidogo mnavunja familia wanawake wa kuoa ni darasa la saba na form four fullstop
 
Mwanaume mjanja hawezi oa mwanamke msomi ni wasumbufu mkizinguana kidogo mnavunja familia wanawake wa kuoa ni darasa la saba na form four fullstop

So una maana kuoa mwanamke asiyesoma ndo ujanja au.?mtot wa kiume ww jiamin na upambane acha mawazo potofu...nyie ndo mnaopenda kulelewa
 
Mwanaume mjanja hawezi oa mwanamke msomi ni wasumbufu mkizinguana kidogo mnavunja familia wanawake wa kuoa ni darasa la saba na form four fullstop

Umekosea sio mwanaume mjanja sema mwanaume muoga huwa anaoa std 7 na form 4 ila mwanaume mjanja anaoa msomi na ana mmanage vizuri sana bila wasiwasi. Tofautisha ujanja, uoga na ujinga
 
Duh!hapa pana kibarua kigumu na mantiki ya wanasema kuwa kuoa degree au std 7 tukubali kuwa kila mmoja hapo ana advantage na disadvantaged yake.Kuoa degree kunaweza kukufanya mwanaume uendelee zaidi kama hiyo degree itajitambua na kuelewa mipaka yake. Vinginevyo kama mwanaume hutakuwa imara ni majanga plus majanga.Hao la saba kiukweli wengi wanakuwa na nidhamu ya uoga that's why unaona ndoa zinadumu ingawa wapo pia pasua kichwa hawasomeki!cha msingi ni kumuomba mola akupe mke mwema lakini sio kwa akili zetu hawa watu hawatabiriki"u neverl know with woman.
 
Degree za BRN zisiwasumbue akili jamani. Bora wale waliosoma zamani hawa wa kuanzia 2013 hawa taabu tupu
 
Degree za BRN zisiwasumbue akili jamani. Bora wale waliosoma zamani hawa wa kuanzia 2013 hawa taabu tupu

Mmmh bado na mashaka na upeo wa mwanamke mkuu usimuamn sana mwanamke
 
Mmmh bado na mashaka na upeo wa mwanamke mkuu usimuamn sana mwanamke

Mimi hizo degree zao za Chupi na Matokeo yao ya BRN na hizo Haki Sawa zao, mara upendeleo sijui wnjnj nini huwa hata siangalii.
 
Degree za BRN zisiwasumbue akili jamani. Bora wale waliosoma zamani hawa wa kuanzia 2013 hawa taabu tupu

mkuu degree za BRN bado ndo zinataraji kuingia mwaka wa pili mwezi wa kumi
 
mkuu degree za BRN bado ndo zinataraji kuingia mwaka wa pili mwezi wa kumi

Mkuu BRN zao lake lilianza kuanzia darasa la saba, form two, form four, form six, hadi chuo pia
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.

Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.

Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?

Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

dah, umeandika kwa hisia kali sana lakini ujue umewagusa watu hapo.
 
Kosea njia utaelekezwa,ila sio mke,,,ambao bado hatujaoa tumuombe sn Mungu atupatie wake wema walio na hofu ya Mungu,,
 
mwanamke wa darasa la saba au form iv failure hawafai? nawashauri wanawake hao hawafai kwa maisha ya sasa. mwanaume ukikwama kidogo,labda kazi kusimama jua na wewe na watoto wako mmekwama, bora ukwame wewe. ila watoto wanakuwa machokoraa au makahaba, cha muhimu sasa ni kusikilizana na kusaidiana majukumu zama za kuowa mwanamke kwa kazi moja tu ya kutanua miguu imepitwa na wakati.

wanawake hao ndio wale hata vitu vya kisasa unakuta kaharibu ni headache. wengi wameshindwa nawashauri oweni wanawake wanaojitambua wenye elimu ya kutosha na mnapendana. usiowe mwanamke kwa ajili ya kunyenyekewa huko kunyenyekewa kutakugarimu
 
Hizi degree na mambo ya 50/50 na wanawake kujifanya na wako watafutaji na vidume kujifanya ukisasa na kudai eti unaoa ili msaidiane majukumu ya kutunza familia hasa ktk kutafuta mahitaji ya familia ni ujinga kabisa kwa mtu anayetambua kazi za Mungu maana Mungu hana ukisasa wala ukizamani na kwa kufanya hivi mara nyingi tunamkosea Mungu sana kwamba Mungu alikukosea kukupa hayo majukumu...kumbuka hilo si jukumu la mwanamke tangu enzi za akina adamu majukumu ya mwanamke yanafahamika na ya mwanaume yanafahamika sasa sisi kwa kujitia upofu na kujivika ukisasa ndio maana siku hizi maadili yapo hovyo kabisa maana yake mama ni kama baba na baba ni kama mama wote wapo bize hakuna ata mmoja anayeweza kufuatilia familia yake kwa ukaribu muda mwingi familia ipo na house girl unashangaa tu mtoto wako wa kiume ni shoga yaani mambo yapo shagharabaghara hovyo hovyo bora liende akina sie tunajificha katika kivuli cha ukisasa mmh maana mwanamke nae siku hizi anauwezo wa kuoa yaani na yeye ana nyumba ndogo(serengeti boy) kaipangishia uko na anaisomesha. Mungu atusaidie kwa kweli eti kidume kabisa unasema naoa msomi ili nikifirisika yeye ndio aiendeshe familia financially duh kweli nimeamini ndio maana ushoga siku hizi unakuja kwa kasi zote watu hawajiamini na ni waoga mno
 
Back
Top Bottom