mimi wa darasa la saba na form 4 nn kuoa hata kuongea nae tu siwez zaid ya salam tu mana naona hata mitazamo tupo tofauti kwanza wanakuaga na uswahil mwngi sana. wengine ndio tunawapenda hao wnye degree zao. darasa la saba na form 4 wataolewa na walokataa shule wenzao na vinuka mkojo wenzao mana ndio wanaendana nao. kla mtu na chaguo lake. nani anataka kuzaa watoto vilaza! kilaza na kilaza mwenzie hata vitabu vya dini vimesema hvyo 😛uke:
Ah wapi tena huyu utamkuta mkali kweli kwa binti yake na dada zake kuhusu maswala ya shule.......hapa anasema tu....ulimwengu huu binti aishie la saba...ama form iv.....ni wazazi wachache sana wanafanya huu upuuzi wengi wao.....wanakazana wawezavyo kuwasomesha binti zao.....
tusali tupige magotiMkuu watoto wenu mnao wasomesha wataolewa na akina nani kama mnaendeleza kampeni ya wanawake walio soma wasiolewe muwaonee huruma hata wao wanahitaji wanaume wa kuwa sitili kama mwanaume unavyo tafuta mwanamke wa kuku sitili cha msingi ni kuwapa elimu ya uchamungu na kutofautisha elimu zao na ndoa watafanya zinaa mpaka lini, watatembea uchi mpaka lini sikuyamwisho tutajibu sisi wanaume mwanaume umepewa daraja kubwa na mungu mbele yao mambo wanayo yafanya kwa kiasi kikubwa tunachangia sisi wenyewe tumesahau majukumu yetu na ndo maana siku ya mwisho lazima tujibu wajibu mkubwa ulio pewa ni kumsimamia vilivyo awe mcha mungu akiwa mcha mungu mitihani tunayo ijadili juu yao isinge kuwepo swala la haki sawa sisi wenyewe ndio tunalisapoti wakidai wanamakosa? Na mungu hakuliweka mungu ni mjuzi zaidi yetu haya tunayo lalamika sasa hivi aliyaona na ndo mana hakuanzisha wala kuzungumzia swala la usawa wa jinsia cha msingi sisi wenyewe kwanza tuwe wacha mungu afu ndo tuwakalie vilivyo na wao wawe wachamungu tukifanikiwa hata uwe umemaliza chekechea yeye ni zaidi ya profesor atakunyenyekea ili apete radhi za muumba wake
Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.
na wanaume wanaopenda kulalamika wengi wanatabia za kike na wanaliwa kiboga ka mizoga...wanawake wasomi wanajitambue hawaendekezi ufala tena wanatunza familia bila kuteteleka
kweli kabisa huwezi kulioa janamke lina masters yake halafu ukampangia sheria nyumbani akakubali atataka kila kitu haki sawa
unajiolea zako wa 4m4 tabu hana yeye ndio mzee we ndio baba ake baby wako na kila kitu nyie wenye degree subirieni 30's huko mdandie waume za watu a.k.a michepuko
unajitetea eti teheeee teheeee acha danganya jf wewe tangu lini mke wenye elimu akawa mtiifu
degree moja mnajiona mamtoniiii,hehehe kumbe mnalea bngo
ya kweli kwa anayekufeel,tatizo humfeel,bwaaaaaaaaah
tatizo sio kuwamiliki hawa tunawamiliki kama michepuko yetu sio kuweka ndani ni majanga hawa wajuaji sana kila kitu kushindana wanapenda haki sawa ila kodi ya meza hawahusiki anajenga kwao
kila unachoambiwa na mpenzi wako heshimu
Huyu kaachwa wiki hii...haina haja ya kuumiza kichwa. Tena sababu ni kuwa na kibamia plus division five ni sheeedah
heee heee unalo bibi we! bora mie mwanamke na degree yangu kuliko we mwanaume na tigo yako haina rinda..shutuuu
Tatzo shule imepita kushoto sio kosa lako poleeee
Maneno ya msingi hasa kwa madogo wanaokurupuka kuoa