Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Huo ni woga wa maisha. Wasio na elimu wanachangamoto zao na wenye elimu wanachangamoto zao. Itategemea unataka mke mwenye sifa ya kijamii (heshima) au kiuchumi(elimu na ajira). Maisha ni mipango usiogope changamoto
 
Saaafi sanaaa, Hawa wanaume wenzio wanataka mteremkoo ndo mana wanapandwa kichwaniii.....Huwezi kuuliza watoto wamekula kama hujaacha pesa, wale mawe au?

Wanaume wanaojitambua siku hizi ni wachache sanaaaa, waliobaki kazi ni kulialia na kupenda miteremko tu, basi tuolewe wote tujue moja.
 
Uko sahh kbsa mkuu yan mwanaume unakua muoga wa majukum yako mbka unaboa sifa ya mwanamke mbka kwenye maandko wameandka kua mke ni mtu wa kulea familia

Hawajui kuwa hao wanawake walioishia la saba wananyenyekea kwa sababu unyenyekevu wao ndo gharama ya wao kutunzwa, huwezi mnyenyekea mtu asiyekusaidia chochote, huo ndo ukweli...

Wanaume lazima wabebe majukumu yao ya kutunza familia hata kama mke ana kazi..

Waarabu wana msemo wao kuwa "Anayekusaidia in bwana ako" So ukiona mwanaume unauchungulia mshahara wa mkeo ujue ndo "Mumeo" huyoo, ukipangiwa masharti hamna kulialiaa...
 
Wanaume wanaojitambua siku hizi ni wachache sanaaaa, waliobaki kazi ni kulialia na kupenda miteremko tu, basi tuolewe wote tujue moja.

Acha tu....sasa kuna faida gani kuwa na mume wakati unajihudumia kila kitu, plus anakuongezea mzigo wa kumtunza yeye na watoto, ukiuliza umesoma, una kazi...

Khaaa kama issue ni nanhhiii hata maji ya moto yanatosha. (nawasubiri waje na mihasira yao)
 
Huo ni woga wa maisha. Wasio na elimu wanachangamoto zao na wenye elimu wanachangamoto zao. Itategemea unataka mke mwenye sifa ya kijamii (heshima) au kiuchumi(elimu na ajira). Maisha ni mipango usiogope changamoto

Babu Hawa wajukuu zako walokimbia jando ni shidaaa, kazi kulamba lipsi mjini ukiuliza mbebez ana kazi...ndo atalipa kodi ya nyumba na bili ya umeme...

Undeni tume ya dharura ya kunusuru hiki kizazi, ikiwezekana muwakamate muwarudishe kwa nguvu porini....(mbona JKT imewezekana)
Inatakiwa wakumbushwe kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na dushe, Mume yake majukumu...

Salaam babu
 
Iddy pili tunakula ubwabwa wa mtoto wa jirani yangu wa darasa la7 anaolewa! Kamuacha huyu anaejiona ni msomi wa yunivasiti anakodoa mimacho tu!
 
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!

bora umesema mkuu coz tabia ya mtu moja inawagenerelize watu woootee loool wenye master zetu tufiche vyeti au 😡
 
Acha tu....sasa kuna faida gani kuwa na mume wakati unajihudumia kila kitu, plus anakuongezea mzigo wa kumtunza yeye na watoto, ukiuliza umesoma, una kazi...

Khaaa kama issue ni nanhhiii hata maji ya moto yanatosha. (nawasubiri waje na mihasira yao)

Hahahaaa!! Huo ndio ukweli, watakuja waseme kisa tumesoma na maneno ya shombo sijui tutaishia kuwa michepuko na bla bla... kibao ila ukweli ndio huo!! Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu wewe(mwanaume) kwanza na uitambue nafasi yako kwa familia yako mbona utaenjoy tu, ila ndio mwanaume mwenyewe hujitambui alafu unalilia kuheshimiwa!! Acha wanaume waheshimiwe, wavulana endeleeni kulia, au tafuteni hao mtakaowapanda vichwani wawanyenyekee.

Mwanamke yeyote anaishi na mwanaume kulingana na mwanaume wake alivyo, hivyo mwanaume ukiona huheshimiwi na mkeo anza kwanza kujitathmini wewe kwana coz lazima utakuwa unatakiwa to man up.
 
Iddy pili tunakula ubwabwa wa mtoto wa jirani yangu wa darasa la7 anaolewa! Kamuacha huyu anaejiona ni msomi wa yunivasiti anakodoa mimacho tu!

Hiyo ndo dawa yao waache waendelee kutumiwa na kuwa michepuko.wanaume hatupendi kero ndani ya nyumba ili hali tuna mambo mengi ya kutafuta maisha.
 
Wanaume wanaojitambua siku hizi ni wachache sanaaaa, waliobaki kazi ni kulialia na kupenda miteremko tu, basi tuolewe wote tujue moja.

Umenena sista!! ila hapo mwisho ulivyomalizia loh!!
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.

Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.

Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?

Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Inakera pale unapoumwa na kichwa kwa ajili ya maendeleo ya watoto wako walio under 18 and then at the same time kuna kimtu kina above 30 nacho kinakusumbua ndani ya nyumba.

Kwa mtindo huu tutabaki na kauli mbiu ile ile kuoa mwisho form 4,degree wote michepuko
 
Back
Top Bottom