Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Ya kweli hayo best...😉
nikuongopee ili iweje sasa
Ya kweli hayo best...😉
haya bhana
hatari tupu yeye ni sheria sheria na yeye kwa hili kabila ndio kabisaa
Ukute nawewe pia mwanasheria mkifika ndan napo sheria, utaanza kupangiwa hata tunda ukule kwa sheria, jamani nyie achani wanaume tuwe makin ktka kuoa,,
Rafiki yangu kamuacha mke tena msomi kisa hii ratiba ya kazi wote wanatoka na kurudi hm mwisho mwanamke kaanza kumwambia mke wake ukiwahi kufka pika chakula,, jamaa kuona hvo kamuulza hv kati yangu na ww nan kamuoa mwenzie, Mke kasema TUMEOANA, aaayAaaaa jamaa alipaniki balaa sa iv hawaishi pamoja japo ndugu wanafanya jitihada za kuwaunganisha tena!!
Best angu amekataa kabisa kurudiana nae na hataki tena kuoa mwanamke mfanyakazi.. Kazi kwenu wa dada...
Mzinga naona umepiga ikulu,jioni njema.We nae naona ubongo wako una kinyesi dada poa ww unaegawa nyuma ili uwe na maisha mazurii
Naona ni ujinga tu wa mwanaume asiyejiamini,
yaani mzazi wangu atumie pesa yake kunisomesha leo nimepata kazi nimuache aendelee kuishi kwenye tembe!!
wanawakd wasomi wana nafasi zaidi y kuolewa kuliko wasio soma lakini maajabu n kuwa ndoa nyingi ni za wasio na shule,wanajua kuheshimu,wanajua kulinda mapenzi,hawa wasomi huwez hata kusikia wanapanga la maana zaidi ya mitoko,aibu yenu
wanawakd wasomi wana nafasi zaidi y kuolewa kuliko wasio soma lakini maajabu n kuwa ndoa nyingi ni za wasio na shule,wanajua kuheshimu,wanajua kulinda mapenzi,hawa wasomi huwez hata kusikia wanapanga la maana zaidi ya mitoko,aibu yenu
Huyu hata kama akiolewa na mpenda vibovu kama yy ni lazma atumike n then tupwa kule
Hao hao wa la saba na form 4 mnaishia kuwanyanyasa na kuwaona hawana mchango wowote,wakifanya kitu cha tofauti mnaishia kuwadharau,mmezoea eeh... wasomi wameelimika na hawawez kukubali na cdhani watapenda kunyanyaswa wakati wengine wamesoma kwa shida,kuheshimiana na kupendana nd mambo muhim..
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough
hizi ndoa za kutesa watoto wa wanawake wenzenu nani anataka?....kama ni ukweli unafanya hiyo kweli umemshika masikio huyo ''baby'' wako!Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
Wanaoongoza kwa michepuko ni wale wanaotafuta wanaume wanaoona ndio wa level yao.
hizi ndoa za kutesa watoto wa wanawake wenzenu nani anataka?....kama ni ukweli unafanya hiyo kweli umemshika masikio huyo ''baby'' wako!