Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
naomba ukarudie maandiko yanasemaje, maana mm nijuavyo ni mwanaume ndiye anayeacha wazazi wake na si mwanamke. Pls Pls katizame vizuri maandiko.mwanamke atawaacha wazazi wake na tazama sio wawili bali wamekuwa mwili mmoja
hayo ndio maandiko au uko kinyume na maandiko ?