MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Hahahaha pole sana dada najua Umekatishwa tamaa ya ndoa datz y unaropoka.Ucjali ipo cku utampata mpenda vibovu kama ww,All the best
ha ha ha ha ha ha ha ha
Hahahaha pole sana dada najua Umekatishwa tamaa ya ndoa datz y unaropoka.Ucjali ipo cku utampata mpenda vibovu kama ww,All the best
mkuu hili linatukana kama mishangingi ya magomeni eti ndio wife material labda ya bia hizi ni michepuko material
Hahahahaha mi mjanja kama Mandela. Siuziwi kibudu kwenye kiroba.
pole naona yamekukuta! Life is how you make it! Huyo Wa degree unampangia majukumu tu! Mambo kusaidiana!
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .
Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.
Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
Hahahaha pole sana dada najua Umekatishwa tamaa ya ndoa datz y unaropoka.Ucjali ipo cku utampata mpenda vibovu kama ww,All the best
Huyu hata kama akiolewa na mpenda vibovu kama yy ni lazma atumike n then tupwa kule
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa
ha ha ha ha ha ha ha ha
hawa wengi wao huishia kuoa maana atataka kuolewa wa kuoa hakuna hiyo atatafuta mume wa watu atamsaidia wengi wa wanaowapata wanakuwa wameyumba kiuchumi maryoo ndio zao au wanakuwa michepuko material sio wife material
kwanza wengi wao sura mbovu shepu mbovu
Huyu hata kama akiolewa na mpenda vibovu kama yy ni lazma atumike n then tupwa kule
chako je sio kibovu? maana naona unataka nikufanyie promo hapa...nimestuka sifanyi hiyo kazi
hee heeee heee unaringia shepu na suraaa....kweli ww si rizki