MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Bigup gal. Wanaume wanapenda wanawake wakuonewa.
we ndio upo nje ya key kabisa hivi unajua maana ya kuonewa wewe? au unaropoka tu hapa ?
Bigup gal. Wanaume wanapenda wanawake wakuonewa.
mmeolewa na wenye nini?>[/Q
wenye dushelele
Lakini waume wanakiona cha moto huezi msemea atasifu tu
mmeolewa na wenye nini?>[/Q
wenye dushelele
lazima muolewe na wenye dushe ila mtu timamu hawezi kuoa mfanyakazi au anamwachisha tu
kama wew unakiona cha moto usidhani ni kila mtu jombaa
hapa hatuongelei maisha ya mmoja mmoja tunaongelea maisha ya jamii kwa ujumla ndio maana kuna neno wengi wao ni pasua kichwa ndio maana tunatolea mifano ya wengi wao sio wote sasa wewe unavutia kwako unataka wote waishi kama unavyoishi wewe ?
una uhakika wanao wamekula vizuri mchana na hao mahaouse girl mnaowaachia ?
Hela yako na wewe unajenga kwenu au haki sawa ?
Hivi watoto unawaleaje au ndio housegirl ?
Maana mwa mujibu wa mwenzio kazini kutoka saa 11 mpaka home ni usiku asubuhi saa 11 upo barabarani hao watoto unawalea wewe au housegirl ?
Huwezi ku generalize bila research ....maximum we can do ni kila mtu aje na life history yake...
Tuache kuwashuhudia watu uongo...
Kwanza kwenye jamii hao wanawake wenye degree ni asilimia ngapi mpaka liwe tatizo????
Pole sana kijana..badilika kwani hata huyo std 7 wako usipokuwa makini utachapiwa tu na wauza genge na urembo...
Maana kwa tabia hii mkeo lazima ajute kukufahamu ndani ya mwaka...
haki sawa ipo wapi ?
watoto wangu walelewe na house girl kisha mwisho wa mwezi hela haionekani.
kwa nini usibaki nyumbani ?
lazima muolewe na wenye dushe ila mtu timamu hawezi kuoa mfanyakazi au anamwachisha tu
nina uhakika hata darasa la 7 hujafika wewe.
acha kukariri wewe sio kila mtu anaamka saa 11 kwenda kazini na anarudi usiku kama hayo ndio maisha yako usidhai wengine wako hivyo.
Huwezi ku generalize bila research ....maximum we can do ni kila mtu aje na life history yake...
Tuache kuwashuhudia watu uongo...
Kwanza kwenye jamii hao wanawake wenye degree ni asilimia ngapi mpaka liwe tatizo????
Pole sana kijana..badilika kwani hata huyo std 7 wako usipokuwa makini utachapiwa tu na wauza genge na urembo...
Maana kwa tabia hii mkeo lazima ajute kukufahamu ndani ya mwaka...
mambo ya kuchapiwa ndio usioongee kabisa
mpaka unapata degree unakuwa na sugu huko chini hapa huwezi kukubali.
bado mabosi wale wa chuo kukumbushia viporo safari safari ndo usiseme
utata.Comments kama hizi huwa zinanipa raha sana...te te te...
Pressure inasoma ngapi sasa hivi?
Mnalo hilo...ukute wewe ni yule subordinate wangu...
Hasira za kuongozwa na KE...te te te...
Ukija ofisini heshima...dharau kwa huyo STD 7 wako te te te
Kama una hasira andika barua ya ku resign ule jeuri yako...te te te
mambo ya kuchapiwa ndio usioongee kabisa
mpaka unapata degree unakuwa na sugu huko chini hapa huwezi kukubali.
bado mabosi wale wa chuo kukumbushia viporo safari safari ndo usiseme