charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,001
Mmmh
Vidume vyako havijambo
We darasa la saba au una degree
H.o.e weee mfukunyukuuu haya wote hawajambo...mie dgree plus professionalz kibaoz
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .
Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.
Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.
Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.
Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?
Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
unajitetea eti teheeee teheeee acha danganya jf wewe tangu lini mke wenye elimu akawa mtiifu
wa form 4 na la saba wanapigwa matarumbeta kila wiki jijini,sahau wenye degree hahaha
kama ninachopanga hataki tufanyaje?
naoa 4m4 kisha anakaa nyumbani na mahitaji yake yote nitatimiza sio asubuhi tuamke wote mwisho wa mwezi maumivu kwa mmoja hiyo no big NO
Form 4 au darasa la saba kama Aunt Eze....au Mrs. Tanzania aka actress aka mrs madini..? Haya mambo hayana formula,wewe omba Mungu upate Mke bora,Mtu kuwa na Elimu au kutokuwa nayo hakumfanya awe mke bora au mke mbaya, Kuna watu hawana elimu wanawasumbua waume zao ile mbaya, tena wengine wana elimu kubwa bado wanasumbluliwa na wake zao wasio soma
kwa hicho kimshahara cha laki 2 unachokitegemea lazima ukimbilie wa form 4
nawasemea wenzangu mkuu
nawasemea wenzangu mkuu
sasa na wewe si ulete fact kukanusha ninayosema
Anahusu sababu hamtawaliki huenda huyo unamtawala.