Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Well said,huko mtaani kweni walioolewa ni la saba na form 4,na mleta hoja amesema wanaoolewa ni la saba na form four
hivyo wewe umethibitisha alichokisema mleta hoja.
Niseme kuwa wapo wasomi wachache wenye kuheshimu waume zao lakini majority akishasoma kuolewa ni celemonial
wengi siyo wife material.Ndo maana hata mtaani kwenu walioolewa wengi ni la
saba na form 4.
mwanamke mwenye degree au zaidi si mke[/
Umenena mkuu, nmekupa na ka like. Bla shaka umekaona
Eti mke wangu anaingia home SAA sita usiku katoka kwenye seminar Mara kazi zilikuwa nyingi ofisini. Hii ngumu sana kumeza, tutakomaa na form 4 tu
mmm kakupuliza ukiwa na degree?
kweli kabisa mke ni wa nyumbani sio ofisini kama ofisi muhimu akaolewe na ofisi
ha ha ha ha ha ha ha
wazee wa Zamani wasema
mwanamke hata awe na mali kiasi gani asipokuwa na mume kazi bure
hivi unajua sijawahi kukuomba hata shiling mia ?
proved
mwanamke asiyeolewa ana kisirani
ha ha ha ha ha ha
hatupo kutangaza mali kashindane na le mutuz
Maneno ya mkosaj mpoteze uyooo kwa taarifa yake ckiz akuna mwanaume anaeoa asie mfanyakaz ao wa lasaba na form for wanaishia kuolewa na madereva bodaboda uckute nae ni dereva bodaboda
Hawezi.hata kidogo maana anajua umuhimu wa elimu......na ukute ana mpango wa kumsomesha hata mkewe zaidi..........
mweeh umemaliza tumboo kumbe napotezapo muda bure na dereva wa boda boda ye ajua bei ya mafuta tu
Kwa comment hii nimekubali kuwa wanawake wengi hamjitambui.Yan unajamini kabisa kwakusema kuwa hata leo ukiamua unaolewa eti kisa wanajigongagonga!Kwa akili hii ni halali kwenu kutumiwa na hatimae kuzeekea nyumban
Mkuu wengi wao degree wamepewa ofa tu na professor. Si unaona akli zao, pilipili tupu.
Huo uzushi tu na wife wako standard seven mkubali usitafte justification ya kuponda degree
sina dem usinisingizie kabisa!
Huo uzushi tu na wife wako standard seven mkubali usitafte justification ya kuponda degree
mi sikuweziKumbe huna? Ndo maana ukaja na lithread hili linaloreflect stress zako...?
Basi njoo unioe mimi jamani....hii degree wala isikutishe kwanza nlikuwa nadesa tu chuo...unadhani nina akili sana basi? wala usiogope degree....
Upweke unakusumbua....!
Taratbu mama,bado nponpo sana! Hata nkitaka kuoa ntakuwa mbali na videgree vyenu hvo. Maana hadi umekapata kadegree hako gar ishasoma miles kibao