Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

mie kila siku babangu alikuwa ananiambia mwanangu soma usije kunyanyasika kwa wanaume.....yaan nlikuwa napiga buku ka sina akili nzuri kila nilipokuwa nikikumbuka maneno yake

Tena wababa wanasisitiza kweli binti zao kusoma.....baba yangu aliniambia hata matembele na nyanya nitauza sokoni...ili tu binti yangu upate elimu.....namshangaa sana mleta mada......atuambie mtoto wake wa kike ataishia la ngapi...
 
Mke darasa la saba

Mchepuko degree......

Mamy tumekumisije kwenye kijiwe chetu....

Na dhumuni la mchepuko ni kuondoa stress njia kuu.....sasa mchepuko una degree na yeye degree zamsumbua sasa sijui anafwata nini uko.....kha
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

ndio utaozea nyumbani sasa!!!
 
Si wote banhaaa.Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni wajibu wake vinginevyo labda uwe mariyooo ndo utalalamika mpk povu likutoke.Na pia inategemea na maelewano ndani ya nyumba kama mi siujui mshahara wako ni sh ngapi why nikuoneshe wangu?

hivi baada ya ndoa kuna maelewano mwisho wa mwezi mishahara ichanganywe majukumu ni yetu wote watoto ni wetu nyumba ni yetu wote iweje nijenge peke yangu huku talaka ikija unataka tugawane ?

Zamani mama ndio alikuwa anatunza familia asubuhi shamba kikivunwa kinaliwa nyumbani tu.
ila siku hizi cha baba cha wote ila cha mama chake na familia yake bora ubaki nyumbani sio kuongozana bila faida
 
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough

Is marriage life all about legs spreading?!!!
 
Mkuu, ina maana ukioa huyo la saba/F4 na mkabahatika kupata mtoto/watoto wa kike, utawasomesha hadi form 4 mwisho?

Thubutu yake....tena ndiyo atasema sitaki uishie form iv kama mama yako....hapa anajifurahisha tu....
 
Mamy tumekumisije kwenye kijiwe chetu....

Na dhumuni la mchepuko ni kuondoa stress njia kuu.....sasa mchepuko una degree na yeye degree zamsumbua sasa sijui anafwata nini uko.....kha

Nimewamiss pia nimebadili number kwa mda nitakutafuta ......

Si ndio hapo badala waoe watu roho inapenda wanaoa darasa la saba halafu kutwa kutafuta wenye degree....
 
Huu mjadala ni mkali,ngoja niendelee kuchungulia tu unavyoenda.
 
Back
Top Bottom