Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
sio kweli nini ?
Wanaoolewa ni darasa la saba na form four
sio kweli nini ?
wacha wafu wazikane...mwanaume anashinda kijiweni mwanamke anashinda kibarazani anaimba taarabu.
wanaume wenyewe wa siku hizi wavivuuuu....unaondoka kwenda kazini unamwacha amelala, unarudi unakuta ndo anaamka anakuuliza leo tunakula nini. sasa mtu na degree yako hiyo si ni headache tu, ni heri uolewe na hiyo degree au masters walau itakuletea maendeleo kuliko hao ma-looser!
Wanaoolewa ni darasa la saba na form four
point ni kwamba hamhesimu wapenzi wenu
wengi wao wanaolewa ni darasa la saba na 4m4 sio wote
siwezi mmeo noma na ww unajua,ukizingua lazima uwe mahututi teh
wewe ndio unatabia za kiswahili katukana watu usiowajua
U
Umefikiria vyema basi binti zako wote, dada zako wote usiwapeleke shule kabisa hao wasiposoma ndiyo waatakuwa na market nzuri zaidi katika soko la kuolewa
degree moja mnajiona mamtoniiii,hehehe kumbe mnalea bngo
thanks,saluti,umeongea madiniAsilimia kubwa ya wasomi wanawake wasumbufu. Unaposema ulisomeswa, kwani mie sijasomeswa na wazazi wangu? Hio sio hoja ya msomi. Tatizo kukosa heshima na jeuri. Angalieni, wote walio anzisha vima NGO vya kutetea haki za wanawake, asilimia kubwa, wameachwa na waume zao. Na wana hasira mno na kila mwanaume, wana shindwa kujiangalia walipo jikwaa, wako bize kuangalia walipo angukia, yani kulaumi wanaume na mila na desturi zetu. They are failures in life.
tuko pamoja mkuu,michepuko wenye degree,wake zetu la saba au form 4
Si kweli ni tabia ya mtu kama umelelewa ktk maadili huwezi badilika baada ya masters hata kidogo.
lazima nimjue maana unapoumia naumia