Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Degree/masters haitunzi mume. Kuna ukweli ktk mtazamo wa mtoa mada lkn bado ipo % ya wadada wasomi wanao jielewa
 
Ila kuwahandle std seven ni shida nimeshawahi kuwa nao watatu kwa muda tofauti yaani ni slow learner hata kwa kitu kidogo
 
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!
Mkuu una bahati sana huyu shemeji am sure 100% ametoka kwenye familia ambayo ina malezi mazuri ya baba na mama
 
Kuna tatizo katika uwakilishi wa mada, au niseme kutawaliwa emotions hii hupoteza maana uliyokusudia.

Nilichoshudia mimi kinaweza kuwa tofauti na uzoefu wako. Mapenzi mpaka ndoa ni zaidi ya darasa la saba, form four au degree kunamengi siwezi kusema yote ila kuu ni upendo wa kweli.

Ni kweli mfumo tulio nao unatutafuna, hii habari ya usawa na slogani ya kujitambua kwa baadhi ya KE vimewalevya na kujikuta wanakuwa too selective and over confident na kudhani wanaweza kuiongoza taasisi ya ndoa kwa degree aliyonayo hili ndio tatizo la wengi ingawa si wote, na siwalaumu ila wamewezeshwa na ufahamu wao.

Kuna nafasi ya mwanaume ambayo kwa wanaoitekeleza kwa ukamilifu hawapendi ipokonywe eti tu kwa sababu za kiufahamu.

Mwanaume ataendelea kuongoza taasisi yake ya ndoa kwa usaidizi wa mkewe no matter how educated she his. Lakini nachoona hapa ilikuwa ni kulaumu jitihada za mwanamke darasani zilizo fanya kufika walipo. Mi ntaendelea kuwa sisitiza vijana ambao bado hamjaoa muoe wasomi ikiwa mtaridhiana msiwaogepe. Tumewalea na kusomesha wenyewe na sasa tunavuna tulichotarajia, wasaidizi wenye uelewa mpana.

Tena ujue hawa wasomi watakuzalieni watoto wenye bongo kama za mama zao zinazo chaji barabara (asante baba kwa kuoa mwenye ufahamu mkubwa), ila ukimpata wa la7 au 4m4 mkakubaliana oa ila usinange wote wanamapungufu na mema yao.

Ni wasikivu na wanyenyekevu kama mama yangu alivyo kuwa kwa baba.
 
Back
Top Bottom