Wanaongoza kipindi cha ITV cha Malumbano ya Hoja sina imani

Mimi nakerwa sana na aina ya maswali ya Juma Kapalatu. Kwa mtazamo wangu anauliza maswali ya kitoto sana
Maswali ya kiutu uzima ni yapi. Kuna wengine hatuna umeme kwa sasa, fafanua zaidi!
 
Juma Kapalatu anaharibu mijadala. Anaonekana ans hofu serikali kukosolewa. Anaingilia sana mijadala. Anazuia watu kujimwaga na kuwa huru kuchangia. Anataka useme anachotaka yeye. Anaharibu kabisa ladha ya kipindi!
 
Hawa jamaa wanaharibu kabisa ladha ya kipindi
 
Hasa huyu bonge sikuhizi ndio Kapalatu hivyo kabisa!...
 
kapalatu tembelea huku wana jamvi wankufafanua njoo utengue hoja najua humo ndani umemaliza pindi binafsi umepyaya
 
Nlijua tu Kapalatu ataongelewa sana humu... Kwa sababu anayatwanga maswali machadema kwa kuleta uchama pale...

Hebu fikiria mtu mada anaiona kabisa alafu anaanza kumsifia Kubene na Mnyika, hiyo ni akili matope?

Kile kipindi ni kipimo tosha cha jinsi Watanzania wasivyo na uwezo wa kujenga hoja...na ndio watu haohao walioko hata huku JF.....tabu sana..
 
Naona wanapiga makofi tu. Ila kuna watu wenye mawazo ya ajabu sana. Eti wanatetea bunge kutoonekana live!
Kama yule aliyesema " yaani tumeletewa jembe John John John...." nimemuona kama bwabwa vile [emoji15] [emoji16]
 
Nlijua tu Kapalatu ataongelewa sana humu... Kwa sababu anayatwanga maswali machadema kwa kuleta uchama pale...

Hebu fikiria mtu mada anaiona kabisa alafu anaanza kumsifia Kubene na Mnyika, hiyo ni akili matope?

Kile kipindi ni kipimo tosha cha jinsi Watanzania wasivyo na uwezo wa kujenga hoja...na ndio watu haohao walioko hata huku JF.....tabu sana..
Wee nae ni Nil kabisa hakuna kitu! Mbona mimi sikuona aliyejitambulisha kua ni Chadema pale za ya misukulu flani kujiita kua ni wanaccm badala ya kujadili hoja wanatukana na kusifia upuuzi.
 
Kuwa mkweli ndugu yangu. Kwa mfano mtu anaongelea habari ya bunge kurushwa live yeye anamuuliza mbona miaka ya 80 bunge halikuwa likioneshwa? sasa kweli unaweza kukosoa kitu kwa mfano dhaifu kama uo? Hivi kweli sababu miaka hiyo tulikuwa tukitembea kwa mguu Dar Moro basi hata karne hii ya maendeleo ya Teknolojia tuendelee kutembea kwa miguu.
Hakuna kitu tunakosea hasa sisi tunaojiita magreat thinker kwa kufikiri kwa mlengo wa kichama. Tuwe na mawazo huru ili tulisaidie taifa kwenda mbele. Siasa zinaongoza maisha yetu na vizazi vyetu hivyo hatuna budi kuziendesha kitaalamu, na tukizifanya kishabiki kama Simba na Yanga ni hatari sana.
 
Hawezi kua mkweli, kwani maisha yake yote amezoea kupotosha.
 
Wadau, naangalia kipindi cha malumbano ya hoja ITV hivi sana. Mmoja wa wachokoza mada ni Dr. Avemaria Semakafu.
Dr. Avemaria anasema wabunge wanaacha kuongelea mambo ya majimbo yao badala yake wanaongelea mambo tofauti kama issue ya Lugumi.

Binafsi nimemshangaa huyu Dr. Avemaria. Hivi kama kweli kila mbunge akijishughulisha na mambo ya jimbo lake tu, nani atawatetea twiga wanaopandishwa ndege? Dr. Avemaria anasahau kuwa mojawapo ya kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali. Au kama kila mbunge akisimamia jimbo lake nani ataihoji serikali kuhusu kashfa ya Lugumi? Kwakweli Daktari wa falsafa anaweza kuwa mvivu wa kufikiri kiasi hicho?
Hao wakina Dr Avemaria wanatia kichefu chefu.Bora wakae kimya.
 
Watangazaji wanaogopa kuikosoa CCM.Bora wasingeleta hiyo mada.
 
Wee nae ni Nil kabisa hakuna kitu! Mbona mimi sikuona aliyejitambulisha kua ni Chadema pale za ya misukulu flani kujiita kua ni wanaccm badala ya kujadili hoja wanatukana na kusifia upuuzi.
Utaonaje wakati unazungusha mikono? Hukumuona hata yule dada aliyejitambulisha kama naibu Katibu bavicha Tanzania bara?
 
Kuwa mkweli ndugu yangu. Kwa mfano mtu anaongelea habari ya bunge kurushwa live yeye anamuuliza mbona miaka ya 80 bunge halikuwa likioneshwa? sasa kweli unaweza kukosoa kitu kwa mfano dhaifu kama uo? Hivi kweli sababu miaka hiyo tulikuwa tukitembea kwa mguu Dar Moro basi hata karne hii ya maendeleo ya Teknolojia tuendelee kutembea kwa miguu.
Hakuna kitu tunakosea hasa sisi tunaojiita magreat thinker kwa kufikiri kwa mlengo wa kichama. Tuwe na mawazo huru ili tulisaidie taifa kwenda mbele. Siasa zinaongoza maisha yetu na vizazi vyetu hivyo hatuna budi kuziendesha kitaalamu, na tukizifanya kishabiki kama Simba na Yanga ni hatari sana.
Mkuu hayo ni maswali ya kuchalenji hoja na wala sio swali la kupinga....
 
Balile nae akiwa meza mkuu eti anasema kauli kuwa kuna watu wanamuhujumu raisi ni kauli inayoweza kuligawa Taifa!!Binafsi Kanishangaza kusema hivyo.

Hata mimi hilo niliona nikashangaa kidogo, sasa kama kuna watu/viongozi wanao muhujumu Rais wasisemwe?
 
Back
Top Bottom