mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Mbona hakuna mhemuko mkuu au ume overlook.
Uhuru bila mipaka ni utumwa mkuu.povu limekutoka mkuu, pole sana lakini huo ndio ukweli kama huyo bonge ndio wewe basi jua kabisa unaharibu kipindi kwani hujui role yako kwenye hicho kipindi.
Wapo wawili ila pana mmoja kati yao ni mfurukutwa wa ccm hadi anatia kinyaa na kuharibu maana ya neno malumbano.Kipindi cha Malumbano ya Hoja kinaendelea hivi sasa ITV na mada ikiwa inasema : "MWENENDO WA BUNGE LA 11.JE,LINA AGENDA ZINAZOLIUNGANISHA KATIKA KUSIMAMIIA SERIKALI YA AWAMU YA TANO?"
Binafsi naona watangazaji wanaoongoza hiki kipindi hawako nuetral na nimepoteza imani nao.
Naomba mwenye nafasi ya kufuatilia nae afuatikie alafu awapime.
Kapalatu analeta ukada kwenye malumbano ya hoja. Bora wamurudishe hendry mabungo
ha ha ha jf bhana! "henry"Diva jamani "hendry mabungo" mbona naona kama kuna hitilafu kwenye hilo jina hujakosea kweli[emoji23] [emoji23]
Mkuu si anaitwa Hendry au nimechaganya madesa?Diva jamani "hendry mabungo" mbona naona kama kuna hitilafu kwenye hilo jina hujakosea kweli[emoji23] [emoji23]
Bawacha mnapenda mkaropoke halafu wenzenu wakapigwe faini?Juma Kapalatu anaharibu mijadala. Anaonekana ans hofu serikali kukosolewa. Anaingilia sana mijadala. Anazuia watu kujimwaga na kuwa huru kuchangia. Anataka useme anachotaka yeye. Anaharibu kabisa ladha ya kipindi!
Bawacha hata ufo saro mlikuwa mna msema vibaya...Juma Kapalatu hua haelewi kitu, anapenda aonekane lakini haelewi kua uwezo wake ni mfogo! Bora hata dada UFOO SARO.
Halafu watu wana sahau kuwa kama wakikosea TCRA wanawapiga fine na hasara kwao!Wale ni moderators, lazima wasimamie kipindi kutokana na miongozo waliyopewa. Hawawezi kuruhusu kila mtu kuongea ansvyojisikia. Pia, lazima walinde ethics za kazi na ofisi yao.
Niliangalia kipindi jana, kuna watu wengi tu walikuwa wanaongea mambo mengi nje ya mada, je mlitaka waachwe waongee wanavyojisikia? Mfano yule diwani, he was horrible, yani unajiuliza hivi huyu alijiandaa na mada tajwa au amekurupushwa.
Kingine, mule watu wameingia na makundi yao, wanajipigia makofi na kujisifu ovyo. Kambaya na Kapalatu wanaongoza kipindi vizuri sana, ni lazima walinde ofisi na kazi zao.
Mwisho, kama mliangalia malumbano yaliyofanyika Morogoro, mtaona tofauti kubwa. Watu wa moro walijikita kwenye mada, waliongea points as compared to wanadarisalama. Watu wa Dar nao wamekuwa na vijembe kama wabunge.
Hawa jamaa hawajui kuwa kama mtu ataropoka watakao pewa adhabu ni ITV!Kweli mkuu uko sahihi,tatizo watanzania tumejijengea kutokufuta sheria kanuni na taratibu..Au wao walitaka waachwe waongee hata kama wako nje ya mada.
Kapalatu anajua kuwa control walopokaji nyie hamjui adhabu ambazo wanapewa kwaajili ya uropokaji wenu! mnafikiri wakipigwa fine au kufungiwa kipondi hasara itakuwa kwa nani? Mnataka wacheze na kazi?Sio siri Kapalatu ni mzigo kwenye hicho kipindi, amekua kwanza akipoteza muda kuingilia mjadala.
Yani muachwe mropoke halafu wao wapigwe fine na TCRA?Mimi wananiudhi ku-interupt wachangiaji Mara kwa Mara na hawawapi nafasi ya kujitetea
Mabungo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji41]ha ha ha jf bhana! "henry"
Iwe Ruta bojo mbona unaogopa?Hawa jamaa hawajui kuwa kama mtu ataropoka watakao pewa adhabu ni ITV!
Inategema na upeo wake wa kuelewa jamboMimi nakerwa sana na aina ya maswali ya Juma Kapalatu. Kwa mtazamo wangu anauliza maswali ya kitoto sana
Amemrithi Ufoo.Saro ambaye naye alikuwa anaharibu kipindi. Sijui siku hizi yuko wapi na akina Fatma Nyangwasa ja Chiku Lweno. Wale wako kikazi zaidi.Juma Kapalatu anaharibu mijadala. Anaonekana ans hofu serikali kukosolewa. Anaingilia sana mijadala. Anazuia watu kujimwaga na kuwa huru kuchangia. Anataka useme anachotaka yeye. Anaharibu kabisa ladha ya kipindi!
Mkuu sisi hapa hatuongelei wale watu wanaoropoka ila tunaongelea hoja zinazojibiwa na kapalatu kazi yake sisi tunajua ni kuongoza mijadala iwe ya kisanifu na kama anataka awe anajibu hoja basi aache hiyo kazi ya uongozaji akae meza kuu ili awe anajibu hoja na sio kukatisha watoa hoja,,Hawa jamaa hawajui kuwa kama mtu ataropoka watakao pewa adhabu ni ITV!