kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
Kihelehele si ungewasha ile isiyo na pesa ya kurusha live bungeLAMECK anajtahdi awe netral, lakn ni tim lowasa
Kihelehele si ungewasha ile isiyo na pesa ya kurusha live bungeLAMECK anajtahdi awe netral, lakn ni tim lowasa
Mkuu naona umekosea sana kuja huku great thinker hoja hazijibiwi hivyo naona na wewe ni mshabiki wa kisiasa sana na ni kweli usiopingika juma kapalatu amekuwa sana mpinga hoja inayotolewa na watoa hoja papo hapo na sio kazi yake kufanya hivyo na ndo maana kukawa na meza kuu kukusanya hoja zote na kuzijibu na kazi yake kapalatu ni kuongoza mijadala ili iwe ni ya kisanifu na sio kujibu hoja za watoa hoja na amekuwa ni mtu wa kuitetea sana serikali namuomba tu ajirekebishe na afanye kazi yake kwa ufasahaAnzisha TV yako weka watangazaji utakaokuwa Na imani nao
Naamini hapa umenilenga mimi sababu ndiye niliye jadili hili. Mara nyingi kifalsafa unapotaka kutoa conclussion ya kitu lazima kuwe na premisses zinazosupport conclusiion yako. Kama ulifuatilia in details reaction ya mtangazaji huyu kila pale mchangiaji alipogusa hoja ya Bunge live alikuwa akiclush kwa namna moja au nyingine mpk ilifika mahali Barile akaintervene. Lakini pia nimemfuatilia sna huyu bwana kwa vipindi kadhaa mpk nikagundua kwamba kuna msukumo fulani ambao unampelekea yy kuact hivyo. Ni kweli mimi nina chama ambacho nakisupport lakini akinizuii kuwa huru pale napojadili suala lenye maslahi ya Taifa. Mimi ni mjinga kweli ndio maana nimejiunga JF ili nipate kujifunza. Nafikiri hata ww uichokiongea hapo ktk critical thinking tunaiita ni Falacy, sijajua umelenga kutusidiaje sasa wajinga kama sisi. Kaka elimu ni mkusanyiko wa ideas ambazo ni tofauti sasa ww ulipaswa kutoa tafsiri yako kwa hoja za Kapalatu badala yake umefanya persinal attackChadema hata mtu akimuuliza swali la kumchalenji katika hoja yake anaita ni kupingwa..... Hovyo kabisa.....
Mfano swala la bunge live, Kapalatu anamchalenji mtu kwamba mbona miaka ya 80 bunge halikuwa live na maendeleo yalikuwa yana patikana! Sasa mtu badala ya kutetea hoja kuonesha tofauti ya miaka hiyo na sasa ili mjadala uendelee kunoga yeye anakimbilia huku kwamba Kapalatu anapinga hoja zao.... Ujinga!
Wana element za uoga kwa serikali.Kapalato abakie kusoma habari za saa tu....mimi naona hakimudu kipindi....hata hivyo kama inawezekana uzeni kiendeshwe na Mzee Makwaia au Jenerali Ulimwengu.
Huyo jamaa hovyo kabisa ni yule kapalatu nadhani hajitambui na anajaribu kufananisha na Kenya masikini ya Mungu kumbe hajui hata kinachoendelea Kenya na huyo pia ni mwandishi wa habari!!!???Huyo jamaa mwenye tai sijui kuna cheo anavizia yani mwanahabari mzima anatetea bunge kutokua live
Mbona na nyie mlitandika kanga na kupiga pushup? Huyo fisado si mumkamate? Au hskamatiki_? Au yupo nje ya nchi?Mkuu mini naona wewe ndiyo hujitambui ungekuwa unajitambua usingekubali kudekishwa barabara ili fisadi apite.
Nikuletee mahari mkuu.Vipi leo Kipima Joto..yupo mkongwe mwenyewe au Binti yangu Jackline....???
Mkuu usimshangae huyo Dr.hao ndio wasomi wetu tulionao wako wengi sanawa aina hiyo anasema yeye anadhani kazi ya mbunge ni kujadili matatizo ya jimboni kwake tu yale ya kitaifa kama UGUMI na mengineo waachiwe wabunge wa kitaifa sijui hao wanapatikanaje??tusisahau utafiti wa hivi karibuni kuwa Watanzania ni waongo na wanafki sana duniani hakuna tena.Nimemshangaa sana huyu "Dr Ave Maria" eti anashangaa wabunge kujadili EPA, Lugumi n.k. eti wanasahau mambo ya majimboni kwao!!!! Hivi hajui uhusiano kati ya ufisadi nz maendeleo majimboni? Inasikitisha sana! Na huyu Kapalatu mtu akiikosoa serikali anapanic sana. Mara unamsikia akisema huo sio msimamo wa itv mara anauliza irrelevant questions za kuikinga serikali. Itv tafadhali tafuteni waendesha kipindi wenye upeo mpana na ambao ni critical km Masako. Watu waachwe wazungumze cha maana wasitukane! Tafadhali itv. Tunakipenda sana kituo chetu!
Watu waogaoga hawapaswi kuendesha vipindi vya km malumbano ya hoja! Wao muwaache tu watusomee taarifa za habari na kuwa maripota!
Haya ndio maajabu ya waongoza kipindi!Hivi unaweza kuzungumzia mwenendo wa bunge bila kugudia makando kando yake km kuoneshwa live?
Kipindi cha Malumbano ya Hoja kinaendelea hivi sasa ITV na mada ikiwa inasema : "MWENENDO WA BUNGE LA 11.JE,LINA AGENDA ZINAZOLIUNGANISHA KATIKA KUSIMAMIIA SERIKALI YA AWAMU YA TANO?"
Binafsi naona watangazaji wanaoongoza hiki kipindi hawako nuetral na nimepoteza imani nao.
Naomba mwenye nafasi ya kufuatilia nae afuatikie alafu awapime.[/
Juma uliboa jana mpaka nikaukosa mvuto wake niliouzoea, kwa vitu vya kawaida wacha watu waseme ndio malumbano sasa mnazuia zuia kama vitu vipo mahakamani halafu nyinyi ndio mnatoa majibu japo kiujanja ujanja, malumbano gani sasa hayo
Hahahaha wapi hao tulipo tandika kanga,au umejaribu kutunga uongo kama kawaida yenu.Mbona na nyie mlitandika kanga na kupiga pushup? Huyo fisado si mumkamate? Au hskamatiki_? Au yupo nje ya nchi?
Mkuu nimemjibu mpumbavu kutokana na upumbavu wake mwenyewe.Nawe umerukia wapi sasa kama sio nje ya mada!!??