Mi nadhan waongozaji wa kipindi wawe ni watu wa kusikiliza tu na sio wachangiaj waache kukosoa wachangiaji kama anavyo fanya kapalatu wao ni wanahabari hawatakiwi kujionesha pande wanazo simamia hasa anapokuwa kwenye live coverage,wao waongoze kipindi tu badi na sio kukosoa ama kufafanua lolote na ndio maana huwa wanaita meza kuu kwa kazi ya ufafanuzi, kapalatu anaharibu sana kipindi , anasahau kama yeue ni mwanahabari hatakiwi kujionesha upande anao simamia kisiaasa ,yeye aongoze kipindi tu ndio hasa jukumu lake.