Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

NImecheka sana aisee

Jamaa kaona ameshamjulia mkuu wa nchi... wacha aimpress, aweke namba hapo ili atafutwe badae apewe shavu... kwikwikwikwi!!

I respect JPM efforts mno, na he is doing well, ila post kama za huyu nyangarika mleta hoja kwakweli imeniacha hoi

Niliifungua nikijua kuna some serious content... kumbe kaput kabisa
hahahahha awamu hii njaa ilivyo kali kila mtu anatafta njia angalau mkono uingie kinywan.
 
Rais Magufuli hana ugomvi na wafanya biashara halali. Rais Magufuli ana ugomvi na wale wanaoidanganya Serikali kwa kupitia kwa marafiki zao wenye madaraka serikalini. Kwa mufano Jamaa kwa sababu ya power na connection aliyokuwa nayo, anachukuwa mkopo kutoka kwenye mufuko wa Akiba ya Wafanyakazi (NSSF) mabillion, anatumia pesa hizo hizo kununua share kwenye jumba la serikali, anapata share kwa mukataba ambao ni mbovu ambao haumusaidii Mtanzania wa kawaida ambaye kodi zake zimetumiwa. Huyu jamaa overnight anakuwa tajiri mfanyabiashara mukubwa na ndiye anapiga kelele kuhusu demokrasia. Deni alilokopa halipi, kodi halipi na jumba ni mali yake sasa hii ni demokrasia ama ni wizi wa kimacho macho?
Asante nsubhati kwa kunielewesha...alafu nimefurahi kuona jinsi unavyotumia kiambishi awali cha mu=m
mufano=mfano
mufuko=mfuko
mukataba-mkataba
haumusaidii=haumsaidii

Olele mama Obama giyo!
 
Mkuu Moderator naomba um verify huyu muanzisha uzi huu ili tuweze kumjibu mtu sahihi na sio ghost... Hii ni kwa mjibu wa TCRA.
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
5. Yeye mwenyewe.
 
Mkuu Moderator naomba um verify huyu muanzisha uzi huu ili tuweze kumjibu mtu sahihi na sio ghost... Hii ni kwa mjibu wa TCRA.
Wewe acha kuogopa na kuanzisha propaganda kama mtu ambaye hajaenda shule? hoja hujibiwa kwa hoja unaomba msaada wa nini? Kwa kuwa imeku touch au
 
Mkuu Moderator naomba um verify huyu muanzisha uzi huu ili tuweze kumjibu mtu sahihi na sio ghost... Hii ni kwa mjibu wa TCRA.
Acha kuweweseka wewe jibu hoja zangu unaogopa nini ??? Wewe si bingwa wa kujibu hoja leo unashindwa nini mpaka unaomba msaada! Naamini umepata ujumbe kwenye hii andiko itakusaidia kuacha kukurupuka
 
Wahanga wa tetemeko la ardhi uko Kagera wamelala nje siku 3 amna msaada wowote wa serikali,ata mahema ya kujisitiri wameshindwa kuwapelekea.
Halafu mtu anakuja kusema Rais anahujumiwa?
Pesa za UKUTA zipo hata chadema wakififua UKUTA mda huu Pesa ya kuvunja ipo lakini Pesa za maafa hakuna licha bajeti kupitoshwa miezi mitatu iliyopita ambapo Ofisi ya waziri Mkuu walipewa Pesa za maafa , hizo Pesa zimeenda wapi mpaka wachangishe watu ?
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Good..japo utatukanwa hapa kama nini lakini umenena kweli
 
Hazina wana Pesa za kupambana na Ukawa na upinzani Kwa ujumla lakini Pesa za maafa hakuna, mfano Leo hii Ukawa wakitangaza UKUTA wiki ijayo utasikia Pesa za maandalizi ya kupambana na UKUTA zinamwagwa Kila kona, bunge la bajeti walitenga Pesa za maafa mbona hazionekani zimeenda wapi ? Kila mwaka wa bajeti Pesa maafa hutengwa tena wakati mwingine huwa hakuna maafa lakini Pesa inayeyuka tu na hawairejeshi Hazina , hiyo michango napo lazima kutatokea Ufisadi na malalamiko kibao punde maana viongozi wetu wanapenda kauli ya kufa kufaana , watapiga humo humo .
 
Asante sanaaa mkuu kwa kuongezea hili ata na Mimi andiko langu limesema " WAFANYABIASHARA WASIOPENDA KULIPA KODI" lakini hapa imegeuzwa sanaa etii MAGUFULI ana ugomvi na wafanyabiashara kwanini waogope kumalizia " WASIOLIPA KODI"? hapa ndipo napatwa na ukakasi Mkubwa juu ya vijana hawa ambao hawana upeo wa kufikiria kwa undani, demokrasia yenyewe wanayoidai hawajui ata maana yake lakini wanaweka propaganda nyingi lakini kwenye ukweli lazima tuseme na hatutamuogopa mtu ata kidogo!!!

USIJALI PENYE UWONGO UKWELI UNAJITENGA. WANAOSEMA WENGIWAO HAWAELEWI UCHUMI UNACHUMWAJE. MALI TULIYONAYO NI YA SISI WOTE NA SIYO YA WATU WACHACHE. WANAOPIGA KELELE HAPA KUHUSU RAIS MAGUFULI SIYO WALIOKUWA WAKIKALA KWENYE SAKAFU MUHIMBILI, SIO WALE 650 WALIOHAMISHWA MAGOMENI NA KUVUNJIWA NYUMBA ZAO, SIO WALE WALIKUWA WAKIWEKWA NDANI NA WATU KWA KUWA WANA PESA, SIO WALE WATOTO WAO WALIKUWA WAKIKAA CHINI, NI WALE WALIKUWA WAKIUGUWA WANAENDA APPOLO HOSPITAL INDIA, NA KODI YA MASIKINI INALIPA, NI WALE WALIOKUWA WAKIVUNJA SHERIA NA HAWASHITAKIWI, NI WALE WALIOKUWA WANAIBA FEDHA ZA UMMA HAKUNA WAKUWAKEMEA SASA JASHO LINAWATOKA NA KUMUUITA RAIS MAGUFULI DICTATOR WANAMUDANGANYA NANI, RAIS MAGUFULI NI MPENDA HAKI KWA WATANZANIA WOTE. HAKUNA TOFAUTI KATI YA WATOTO WANGU NA WA RAIS NYERERE, KWA KUWA WATOTO WAKE NA WANGU WOTE WALISOMA SHULE MOJA, WALIENDA HOSPITALI MOJA HUYU NDIYE ALIKUWA RAIS WA WATU NA NDIYO MUFANO WA RAIS MAGUFULI. MUNGU AMUKINGE RAIS WETU KWA WALE WASIOPENDA HAKI.
 
Nafasi za ukurugenzi nadhani zimejaa,labda uatapewa u V.EO.Hebu tupia C.V yako kwanza.
 
Marais wengi walikuwa hawalalamikiwi kwasababu waliwafumbia macho wezi, wapiga deal na wasiolipa kodi. Wananchi wengi wa Tanzania ni masikini hawana hata sauti za kulalamika wala hali za kuingia kwenye mitandao na kupiga kelele. Wanaopiga kelele ni watu alioiba pesa nyingi serikalini na wako tayari kufanya lolote kuiangusha serikali ya Magufuli lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu watashindwa.
Walikula Pesa za Escrow, kivuko chakavu, mabehewa feki, chenji ya Rada , Lugumi nk bado wapo humo humo mnao wanapigaje kelele ?
 
USIJALI PENYE UWONGO UKWELI UNAJITENGA. WANAOSEMA WENGIWAO HAWAELEWI UCHUMI UNACHUMWAJE. MALI TULIYONAYO NI YA SISI WOTE NA SIYO YA WATU WACHACHE. WANAOPIGA KELELE HAPA KUHUSU RAIS MAGUFULI SIYO WALIOKUWA WAKIKALA KWENYE SAKAFU MUHIMBILI, SIO WALE 650 WALIOHAMISHWA MAGOMENI NA KUVUNJIWA NYUMBA ZAO, SIO WALE WALIKUWA WAKIWEKWA NDANI NA WATU KWA KUWA WANA PESA, SIO WALE WATOTO WAO WALIKUWA WAKIKAA CHINI, NI WALE WALIKUWA WAKIUGUWA WANAENDA APPOLO HOSPITAL INDIA, NA KODI YA MASIKINI INALIPA, NI WALE WALIOKUWA WAKIVUNJA SHERIA NA HAWASHITAKIWI, NI WALE WALIOKUWA WANAIBA FEDHA ZA UMMA HAKUNA WAKUWAKEMEA SASA JASHO LINAWATOKA NA KUMUUITA RAIS MAGUFULI DICTATOR WANAMUDANGANYA NANI, RAIS MAGUFULI NI MPENDA HAKI KWA WATANZANIA WOTE. HAKUNA TOFAUTI KATI YA WATOTO WANGU NA WA RAIS NYERERE, KWA KUWA WATOTO WAKE NA WANGU WOTE WALISOMA SHULE MOJA, WALIENDA HOSPITALI MOJA HUYU NDIYE ALIKUWA RAIS WA WATU NA NDIYO MUFANO WA RAIS MAGUFULI. MUNGU AMUKINGE RAIS WETU KWA WALE WASIOPENDA HAKI.
magufuli ana mazuri yake mengi japo kwenye kukandamiza demokrasia ndipo kachemsha sana , kutumia Pesa nyingi kuwazima wapinzani ndilo tatizo lakini huko kwingine anafanya vizuri likiwemo jambo la kuhamia Dodoma kuliokoa jiji la Dsm na misafara na foleni nk
 
Kuna mtu mmoja anajiita Mwenyekiti wa Ccm Jf wewe ni katibu au nani?
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Wote wanaotaka kumkwamisha Rais wetu mpendwa watashindwa ktk jina la CCM!!
 
Jamaa kaweka na number zake za simu! Du ni noma!

Njaa kila kona!

Subiri kupigiwa simu kutoka THQ (Tanzania Head Quarters!!
 
Back
Top Bottom