Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

simon mato

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
926
Reaction score
485
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
 
Anajihujumu mweyewe kwa style zake na wateule wake.Acheni visingizio mbona marais wengine hawajawahi kulalamika kuhujumiwa na walipiga kazi vilivyo
Soma andiko vizuri naona haujaielewa
 
Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ,na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi.Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE,MALISA G,BENSAANANE,JULIUS MTATIRO,katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF,Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.
Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.
4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:

Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Kile kiganja kikishaandika "mene mene tekeli na peresi utawala wa magufuli" mtalalamika sana!! Hakuna uponyaji tena!!
 
Basi sawa kuna nafasi ya Mnikulu nadhani itakufaa kaa tayari kwa uteuzi muda wowote kuanzia sasa.
 
Naona umeweka namba ya simu ili upigiwe upewe hata ka cheo kidogo hahahahaha njaa mbaya sana
 
Na wewe nimeona kama unamuhujumu Magufuli Kwa utetezi thaifu kabisa tuambie na wewe umelipwa na Nani kuleta utetezi thaifu kiasi hiki?

Hivi wafanya biashara ndio walimwambia Rais awaambie wataishi kama Mashetani?

Upinzani ndio ulimwambia Rais azui mikutano mpaka 2020 ?

Rais anajihujumu mwenyewe na wafuasi wake ndio wanamuhujumu Kwa kutomwambia ukweli.
 
Kile kiganja kikishaandika "mene mene tekeli na peresi utawala wa magufuli" mtalalamika sana!! Hakuna uponyaji tena!!

Walio pamoja na Magufuli ni wengi kwa idadi na wana nguvu kubwa kuliko walio kinyume na Magufuli.Wampingao hawatafanikiwa ila wataona mambo yao yakiharibika siku baada ya siku maana wanashindana na mtu ambaye mamlaka zilizomuweka si za wanadamu.
 
Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ,na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi.Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE,MALISA G,BENSAANANE,JULIUS MTATIRO,katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF,Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.
Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.
4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:

Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.

Usijali kijana,juhudi zako nimeziona na namba ya simu uliyoitoa katika bandiko lako imeonekana vyema,ngoja nikutafutie walau kibarua cha kuosha vyombo ili nikusaidie kujikimu kimaisha,nitakupigia simu baadae.Yawezekana kupatwa kwa jua kuliiathiri akili yako na kuifanya iwe "akili kipete", unahitajika msaada wa haraka kuituliza akili yako na uoshaji wa vyombo utakufaa sana.
 
Kikubwa nmeona ulivyotumika km hao uliwataja wanatumika kikubwa mnachotakiwa kujua watafuta vyeo km ndugu zenu makonda na yule pole pole watu au naweza kusema watanzania sio wajinga na malofa km mnavyofikilia tunajua mbivu na mbichi na huo ubabe wa huyo Rais wenu upo mwisho wake unataka kutuaminisha kwamba huyo Rais wenu sio kibaraka wa wazungu CCM ni genge la wezi wapigaji hao jamaa wengine wachumia matumbo yao tu
 
Soma andiko vizuri naona haujaielewa
mkuu nimesoma tena mara mbili nilichoelewa mwanzo ndio kile kile.Nilichojifunza mara ya pili ni kwamba huelewi maana,misingi na kanuni za demokrasia na wanachojaribu kukipigania hao unawaita wahujumu kwa kupitia demokrasia,pia hao wafanyabiashara ndio wanaohujumiwa na serikali kutokana na dhana ya serikali ya awamu ya tano kuwaona wafanyabiashara na wajasiriamali kama wahalifu ilhali wao ndio walipa kodi na wawekezaji wakubwa katika uchumi.Serikali bado haijawa rafiki kwa mfanyabiashara na mjasiriamali na hili halitekelezwi kwa matamko au hisia bali kwa sera,sheria na mipango inayoonekana.Otherwise kila siku mtakimbilia vizingizio visivyo na mashiko
 
sasa namba ya simu ya nini?
we nae!!!😛😛😛😛
 
Mkuu Jana nlitoa uzi wa demokrasia kwa upana wake zaidi inaonekana haukuisoma kwa kuwa mode iliificha ila nitaandika tena ujifunze maana ya demokrasia naona hauijui kabisaaa
 
Back
Top Bottom