Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Jipime acha siasa ya kukariri kijana nakutabiria anguko mapema usipobadilika

Dogo mimi niko kwenye siasa muda mrefu sana na sina siasa za kujikomba, sijawahi kuweka namba hapa jukwaani ili nitoke kimaisha kwani nina elimu ya kunitosha na nimejiajiri na mambo yangu yako vyema. Sasa wewe kuleta siasa za kujipendekeza ili ukidhi njaa utangoja sana.
 
Viongozi wetu Tanzania ni muhimu sana waongee na President Hage Geingob of Namibia. He is so human, loving, simple, someone you can have a cup of tea with. He is such a leader. He talks of rule of law. He talks of accountabilty and transparency. He talks of leadership as being about building processes, systems and institutions. He talks about leading by example not by police. For an African he is really talking like just man. He talks of democracy. He says it is easy to destroy but difficult to build.
 
Dogo mimi niko kwenye siasa muda mrefu sana na sina siasa za kujikomba, sijawahi kuweka namba hapa jukwaani ili nitoke kimaisha kwani nina elimu ya kunitosha na nimejiajiri na mambo yangu yako vyema. Sasa wewe kuleta siasa za kujipendekeza ili ukidhi njaa utangoja sana.
Unaweza ukawa na elimu ya kutosha lakini elimu yako isikutoshe katika kuweka mambo sawa kwa ukweli na uhalisia ndani yake!!! kuhusu ajira yako usipende kututangazia humu kuna hadi mawaziri lakini hawajatoka hadharani kujitangaza sembuse wewe kapuku unayetumwa na genge la mafisadi
 
waliosababisha tetemeko wanamhujumu mkulu......sijui yupo kwa mgangaa au TB Joshua?
 
Wee hizi akili za mtu anaetumia KY... ww ni mtu wa KY...!! AKILI ZA KY utazijua tu..!!

Tena omba radhi... haraka sana.. ni jana tu wafanyabishara wakubwa karibu wote walikuwa na Waziri Mkuu na kuchangia mamilioni ya pesa kusaidia Serikali kwa wahanga wa tetemeko Bukoba... mamilioni walitoa...!! unatia hasira sana, sbb imagine wafanyabiashara jana tu wame
toa millions, leo unaandika huu upuuzi hapa.. inatia hasira..!!

Hizi akili za kufukunyuliwa na KY ni mbaya sana.. na ukome..!! nyambaf..

HAKUNA MTU ANA UGOMVI NA WAFANYA BIASHRA HALALI WANAOFANYA BIASHARA ZAO KWA HAKI NA WANALIPA KODI. RAIS MAGUFULI NA WANANCHI WA TANZANIA WANAOPENDA HAKI WATAPAMBANA NA WANAOTEGEMEA KULIIBIA TAIFA KUJITAJIRISHA KWA PESA ZA WATANZANIA. WATU WALIOTOWA MISAADA SIO WAFANYABIASHARA PEKEE NI WATU WENGI WENYE UCHUNGU NA NDUGU ZAO. SERIKALI YA MAGUFULI INAWAPENDA WAFANYA BIASHARA, WA HAKI WENYE KULIPA KODI, SIO WALE HAWATAKI KUTOWA LISITI, . NA WANAJULIKANA, UTAJIRI WAO HAUNA HISTORIA YA KUFANYA BIASHARA KWA MUDA MREFU, WALA KUFANYA KAZI NA HATA RECORD YA KULIPA KODI HAWANA, HAWA NI WAFANYA BIASHARA SUNGURA WENYE KUTUMIA NJIA ZA UJANJA KUWAIBIA WANANCHI. SERIKALI YA TANO HAINA UTANI, INACHUNGA MALI KWA NIABA YA WATANZANIA. SERIKALI HII YA TANO NI SERIKALI YA WATU, HATUTAKI WAFANYA BIASHARA HEWA, NI KUFANYA KAZI TUU HAKUNA SHORT CUT, ASIYEFANYA KAZI AKINGOJEA DEAL ASILE.
 
Hii ya leo haina "ushahidi" wowote. Mwandishi ni CCM kilaza anapotosha kumtetea raisi kilaza mwanzake. Hamuoni Raisi anavyoitetea misimamo yake halafu unasema watu wanamhujumu. Yeye raisi ndiye mwenye kujihujumu kwa ukaidi wake usio kuwa na muelekeo.
 
Ninaamini najadiliana na wewe kwenye hoja hii and no body else.
Kumbuka kuwa jibu likisadifu swali mambo huwa shwari na swali likisadifu swali mambo huwa shari.
Wazee wa kubadili gia angani! Ha ha ha ha! Taja Elimu ya BOSI wako!!!
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.

Umeshajaza form ya kuwania UKUU wa WILAYA?
 
umesau wale wa human rights wale wanajiita watetezi wa haki za binadamu ananiel nkya et al kumbe ni chadema in blood watetezi wa ubwanyenye.
 
Wewe ni mtu mzima usijiaibishe tangu lini ukuu wa wilaya ukawaniwa? Mwambie aliyekutuma kuwa huu mwamba hauwezi milele

Nimetumwa na Maneno yako uliyoayaandika maana hayana kichwa,mikono wala miguu.
 
umesau wale wa human rights wale wanajiita watetezi wa haki za binadamu ananiel nkya et al kumbe ni chadema in blood.
Si ndiyo kwenye andiko nimeoanisha pale taasisi zisizo za kiserikali ndio hao hao miongoni mwao
 
Duterte anafanya kitu kinaitwa extra judicial killings nadhani huwezi kuelewa kwa sababu unaongea vitu usivyovijua.historia ya duterte na mauaji ya wauza unga bila kesi inaanzia kipindi anashikilia umeya ea davao
 
Anajihujumu mweyewe kwa style zake na wateule wake.Acheni visingizio mbona marais wengine hawajawahi kulalamika kuhujumiwa na walipiga kazi vilivyo
Jenga tabia ya kusoma na kuelewa kabla ya comment yako. Maana yaonyesha hukuelewa jambo lilowekwa hadharani.
 
Walio pamoja na Magufuli ni wengi kwa idadi na wana nguvu kubwa kuliko walio kinyume na Magufuli.Wampingao hawatafanikiwa ila wataona mambo yao yakiharibika siku baada ya siku maana wanashindana na mtu ambaye mamlaka zilizomuweka si za wanadamu.
wanaompinga Magufuli wanaongezeka kadiri siku zinavyokwenda na hatimae 2020 atakua hana chake
 
Wewe ni mtu mzima usijiaibishe tangu lini ukuu wa wilaya ukawaniwa? Mwambie aliyekutuma kuwa huu mwamba hauwezi milele

Simon mato,
Pole sana kijana mwenye njaa na uroho wa madaraka. For GTs,this is purely Lumumba product!
Njaa kitu kibaya sana ikimkuta mtu ambaye ana mtindio wa ubongo yuko tayari kugeuzwa hata asusa kwa kuzalilisha utu wake ili tu apata mlo wa siku! How can you dare speak these rubbish and nonsense publicly?
Yaani wewe ulitakiwa kwa sasa uwe Segerea unanyea kwene ndoo!Hivi ukiambiwa ulete ushahidi wa huu uchuro wako hapa utaweza? Kwanini wewe usiitwe ndo mchochezi???Halafu hii AVATAR yako inatoa picha gani hapa jamvini? A cat soldier in combat with a gun? Can you pse tell us?
Pambaf kabisa, koma ukomae mwana wa haramu wewe!
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Kwasababu ni akili zako zimekushawishi kuandika hayo sio mbaya.Usiku mwema
 
Simon mato,
Pole sana kijana mwenye njaa na uroho wa madaraka. For GTs,this is purely Lumumba product!
Njaa kitu kibaya sana ikimkuta mtu ambaye ana mtindio wa ubongo yuko tayari kugeuzwa hata asusa kwa kuzalilisha utu wake ili tu apata mlo wa siku! How can you dare speak these rubbish and nonsense publicly?
Yaani wewe ulitakiwa kwa sasa uwe Segerea unanyea kwene ndoo!Hivi ukiambiwa ulete ushahidi wa huu uchuro wako hapa utaweza? Kwanini wewe usiitwe ndo mchochezi???Halafu hii AVATAR yako inatoa picha gani hapa jamvini? A cat soldier in combat with a gun? Can you pse tell us?
Pambaf kabisa, koma ukomae mwana wa haramu wewe!
Mmmmmh!! Nakupuuza kama nilivowapuuza wengine
 
Back
Top Bottom