Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
ha haaa haaaaa amechelewa mkuu chance ndo znaishia aseewatoto wa mjini wanakwambia ukizubaa utaachwa feri. Hiyo ndiyo dizaini ya kupiga mizinga.

Delete your account... Go to Hell...kwasababu una harufu ya Ushetani.Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ,na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;
1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi.Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.
Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?
Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.
2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.
Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE,MALISA G,BENSAANANE,JULIUS MTATIRO,katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF,Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.
Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.
3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.
Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.
4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.
Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.
Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:
Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.
SIMON MATO-0762189733.
Mwambie mkulu aende kwanza kagera alafu akisha rudi ndipo uanze kumpamba kwani ni aibu na kituko cha karne kutokea Mkuu wa nchi kuto kuonekana kwenye majanga yanayo wakumba wananchi wakeNdugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

Asubiri na michango naona kaweka na namba ya simu kabisa.Sidhani kama nafasi za uDC bado zipo.
Anajihujumu mweyewe kwa style zake na wateule wake.Acheni visingizio mbona marais wengine hawajawahi kulalamika kuhujumiwa na walipiga kazi vilivyo
Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

mkuu nimesoma tena mara mbili nilichoelewa mwanzo ndio kile kile.Nilichojifunza mara ya pili ni kwamba huelewi maana,misingi na kanuni za demokrasia na wanachojaribu kukipigania hao unawaita wahujumu kwa kupitia demokrasia,pia hao wafanyabiashara ndio wanaohujumiwa na serikali kutokana na dhana ya serikali ya awamu ya tano kuwaona wafanyabiashara na wajasiriamali kama wahalifu ilhali wao ndio walipa kodi na wawekezaji wakubwa katika uchumi.Serikali bado haijawa rafiki kwa mfanyabiashara na mjasiriamali na hili halitekelezwi kwa matamko au hisia bali kwa sera,sheria na mipango inayoonekana.Otherwise kila siku mtakimbilia vizingizio visivyo na mashiko
Kuwa makini na kutoa namba zako hadharani, lakini kwa suala ulilo liandika hapa siyo mbaya wawezapigiwa simu kukamata Ukurugenzi wa HalmashauriSafari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:
Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.
SIMON MATO-0762189733.
Asante sanaaa mkuu kwa kuongezea hili ata na Mimi andiko langu limesema " WAFANYABIASHARA WASIOPENDA KULIPA KODI" lakini hapa imegeuzwa sanaa etii MAGUFULI ana ugomvi na wafanyabiashara kwanini waogope kumalizia " WASIOLIPA KODI"? hapa ndipo napatwa na ukakasi Mkubwa juu ya vijana hawa ambao hawana upeo wa kufikiria kwa undani, demokrasia yenyewe wanayoidai hawajui ata maana yake lakini wanaweka propaganda nyingi lakini kwenye ukweli lazima tuseme na hatutamuogopa mtu ata kidogo!!!Rais Magufuli hana ugomvi na wafanya biashara halali. Rais Magufuli ana ugomvi na wale wanaoidanganya Serikali kwa kupitia kwa marafiki zao wenye madaraka serikalini. Kwa mufano Jamaa kwa sababu ya power na connection aliyokuwa nayo, anachukuwa mkopo kutoka kwenye mufuko wa Akiba ya Wafanyakazi (NSSF) mabillion, anatumia pesa hizo hizo kununua share kwenye jumba la serikali, anapata share kwa mukataba ambao ni mbovu ambao haumusaidii Mtanzania wa kawaida ambaye kodi zake zimetumiwa. Huyu jamaa overnight anakuwa tajiri mfanyabiashara mukubwa na ndiye anapiga kelele kuhusu demokrasia. Deni alilokopa halipi, kodi halipi na jumba ni mali yake sasa hii ni demokrasia ama ni wizi wa kimacho macho?
Nawewe kuwa makini kwa kuheshimu maamuzi ya MTU siyo Mara ya kwanza kuweka namba yangu kwenye andiko langu kwani Mimi sijui faida na hasara Mimi niliyeiweka? Najua ila hayo niachie Mimi muhusika usiyafutilie kwa undani yakeKuwa makini na kutoa namba zako hadharani, lakini kwa suala ulilo liandika hapa siyo mbaya wawezapigiwa simu kukamata Ukurugenzi wa Halmashauri
Okey!!Nawewe kuwa makini kwa kuheshimu maamuzi ya MTU siyo Mara ya kwanza kuweka namba yangu kwenye andiko langu kwani Mimi sijui faida na hasara Mimi niliyeiweka? Najua ila hayo niachie Mimi muhusika usiyafutilie kwa undani yake
Machadema hamsifii mtu mpaka aondoke. Mmesahau matusi yote mliyowatukana viongozi hao kweli!?JKN. Mwinyi, Mkapa hata JK alijitahidi kiasi!!!!!
yani kipofu anapojaraibu kukuvusha mto wenye mamba na wewe unakwenda tu..!!!sasa kununua bajaji kunahusiana vipi na janga la tetemekoHalafu ngojea niwajibu humuhumu nimekaa kimya mda mrefu kuhusu mlivokuwa mkipotosha umma hapa mtandaoni hivi nyie CHADEMA vipi maafa yaliyotokea bukoba kwanini muigeuze swala la kisiasa??? Mbna mna siasa za kimiujiza!!!
Mbowe akichangia au mbatia kuna haja gani ya kututangazia huku mtandaoni? Si ni watanzania au mnataka kutuaminisha kuwa siyo mtanzania? Juzi tuu hapa RAIS MAGUFULI alimnunulia mlemavu bajaji anafanyia kazi yake kumuingizia kipato hapo hamjachangia siku ya Eid akawapa waislamu chakula na kuwanunulia vitu haikuwa agenda ya kisiasa kwa kuwa ni MAGUFULI na siyo mbowe wala lowasa.
Wabunge waliochangia ni wote hawakujali itikadi za vyama lakini hiyo haitoshi mnaendelea kuupotosha umma kuwa CHADEMA tuu ndo inaonekana inawajali wale wananchi huu uchonganishi kati ya wananchi na serikali yapo majanga mengi yametokea lakini serikali imesaidia kwa kadri ya uwezo wake lakini nyie mmefunikwa macho hamuwezi mkaona zaidi ya msaada wa mbowe na mbatia na fisadi lowasa!!!
Wekeni basi na akiba ya maneno khaaaa hata aibu Hamna!!! Halafu niwafundishe mambo ya serikali yanapelekwa kisayansi siyo kiuchwara na kukurupuka kama DJ mbowe na genge lake wanafanya tafiti wanajua chanzo wanakuja kwenye impact iliyotokea ndipo wanajua kutreat or to solve the problem lakini nyie ni propaganda tuuuuh!!!!
Nawashangaa sanaa vijana wezangu tubadilike ata dunia imebadilika twende na nyakati tupunguze propaganda najiuliza RAIS MAGUFULI angeenda Bukoba mngeongea mengi sasa hivi ametulia mnaeneza propaganda nyingi oooh hawajali wananchi wake nani kakwambia??? Hawajali acheni hizi siasa za kuigiza hatutafika!!!