Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

yani kipofu anapojaraibu kukuvusha mto wenye mamba na wewe unakwenda tu..!!!sasa kununua bajaji kunahusiana vipi na janga la tetemeko
Acha kukwepa hoja ya msingi na kuanza kucreat vitu ambavyo kimsingi unaacha ukweli ulioelezewa vizuri humo !!! Soma vizuri na uelewe ndipo uje kwanza kubishana ukiwa na hoja
 
mimi siko kubishana nikukuweka sawa uache mbwembwe eti magufuli anahujumiwa ili iweje!!acheni porojo kama hamna post zamsingi mkae kimya kunahoja hapo yakukimbia au pumba tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wahanga wa tetemeko la ardhi uko Kagera wamelala nje siku 3 amna msaada wowote wa serikali,ata mahema ya kujisitiri wameshindwa kuwapelekea.
Halafu mtu anakuja kusema Rais anahujumiwa?
Wasubiri matajiri wachange hela, watapata misaada
 
mimi siko kubishana nikukuweka sawa uache mbwembwe eti magufuli anahujumiwa ili iweje!!acheni porojo kama hamna post zamsingi mkae kimya kunahoja hapo yakukimbia au pumba tu
Uwezi kunilazimisha nifikiri kama kichwa chako kimeishwa hoja za msingi na sasa unalazimisha bila kuangalia uhalisia wa mambo haya kwa nyanja tofauti tofauti!!!
 
hoja za msingi kama zipi hizo kama utumbo ulioutapakaza hapa jukwaani mdo hoja za msingi??!!
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.
Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?
Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.
3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:
Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
ETI WEWE NDIYO MJANJA NDANI YA VIILAZA TEAM, UMELETA UDAKU HUU MAANA HUU NI UDAKU HAUNA LOGICS???????????
Yaani umerukaruka TU kama chura hujaelezea ni wakina nani wanamkwamisha Rais yaani kwa ufupi ni PUMBA tu umeandika hakuna eveidence wala concrete reason,no logics and so on......na ndiyo ukadai malipo kwa ulichoandika kweli????na kupongezana au???????Very shame for sure ni vema ukamgeukia Muumba wako na Kuungama dhambi zako ikiwamo ya kuwafikisha Watz. hapa tulipo ambapo hawawezi kupata huduma za Msingi toka nchi ipate uhur zaidi ya miaka 55 ya uhuru hata kula mlo mmoja TU ni msamiati then unaleta POLITICAL PROPAGANDA HAPA kuchumia TUMBO lako.
Na Mungu azidi kuwalaani ni kuwanyima akili na maarifa watu wa aina yako hadi utoboe ardhi hii.
Umeleta suspects History ninaweza kusema na milio tu
 
Povu jingi kuikataa ukweli wa Angus la nchi. Pole nchi inakwenda Ali jojo
 
Naona nawewe unaweka propaganda nyingi hili waliokutuma wafurahi kuwa umefanya kazi! Kuwa makini sanaaa elewa na badilika kutokana na nyakati mkuu
 
Lete taarifa kijana zenye Logics na facts na siyo pp maana mimi huwa nawapa nyeupe bila kujali itikadi wala dini au chochote cha mtu.
 
Walio pamoja na Magufuli ni wengi kwa idadi na wana nguvu kubwa kuliko walio kinyume na Magufuli.Wampingao hawatafanikiwa ila wataona mambo yao yakiharibika siku baada ya siku maana wanashindana na mtu ambaye mamlaka zilizomuweka si za wanadamu.
Amen na watashindwa tu mungu ana nguvu kuliko shetani
 
Nazani tunapoelekea ni kuzidi kutupotosha sie Watanzania. Habari yako haipo kiuhalisia kabisa. Huko ufilipino ulipochukulia mfano ni umesema uwongo. Watu wana mpinga Raisi na sera yake ya madawa ya kulevya sababu ukimkamata mtu na madawa ni umuue kwanza hakuna kuhoji. Hiyo ni kutoa haki ya kuishi ya mtu. Polisi sio mahakama iamue kuua kabla hakujapatikana ukweli. Langu hilo tu.
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.

Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.
Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?
Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.
3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:
Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Ndugu simoni ukiendekeza njaa utakuwa mtumwa wa fikra siku zote. Hata ufahamu wa kufikiri upungua na kuwa zuzu na zezeta. Rais wako ni lini amehujumiwa? Na nani aliyemhujumu? Rais wako unayejipendekeza kwake na njaa zako anajihujumu mwenyewe, acheni visingizio vya kipuuzi eti mzalendo.

Na wewe ni mzalendo? Umelifanyia nini taifa hili mpaka kujiita we mzalendo? Na umetumia kigezo gani kujiona wewe ni mzalendo? Au baada ya kuandika pumba zako za kusifia dictator wako kwamba anahujumiwa ndio uzalendo? Tanzania does not need a dictator, but a leader with strict discipline, a person who shows no partiality to any one(rich & poor). Now he just destroy our country , banned the basic rights of expressing opinion(He doesn't tolerate the opposition and oppositions opinion ). Uchumi unayumba, biashara zinakufa, ajira hakuna alafu wewe unakuja na takataka zako hapa pumbavu kabisa.
 
Sijaelewa ulichoandika kwa kuwa Rais magufuli katiba imempa nguvu kubwa sasa inakuwaje ahujumiwe?.anajihujumu mwenyewe yeye ni mkuu wa nchi,amiri jeshi mkuu na mwenyewe kasema Tanzania ni nchi tajiri sasa iweje akina mtatiro,yeriko,malisa watu ambao hawana jeshi wamhujumu mtu mwenye jeshi.muache kumtetea mwambie atekeleze ahadi za kutoa ajira,kuboresha huduma za afya maana kuna baadh ya hospitali baadhi ya chanjo kama ya tetenus,anti rabies ziliadimika,alete viwanda n.k HUU SI WAKATI WA NGONJERA ATEKELEZE AHADI
 
Ndugu simoni ukiendekeza njaa utakuwa mtumwa wa fikra siku zote. Hata ufahamu wa kufikiri upungua na kuwa zuzu na zezeta. Rais wako ni lini amehujumiwa? Na nani aliyemhujumu? Rais wako unayejipendekeza kwake na njaa zako anajihujumu mwenyewe, acheni visingizio vya kipuuzi eti mzalendo.

Na wewe ni mzalendo? Umelifanyia nini taifa hili mpaka kujiita we mzalendo? Na umetumia kigezo gani kujiona wewe ni mzalendo? Au baada ya kuandika pumba zako za kusifia dictator wako kwamba anahujumiwa ndio uzalendo? Tanzania does not need a dictator, but a leader with strict discipline, a person who shows no partiality to any one(rich & poor). Now he just destroy our country , banned the basic rights of expressing opinion(He doesn't tolerate the opposition and oppositions opinion ). Uchumi unayumba, biashara zinakufa, ajira hakuna alafu wewe unakuja na takataka zako hapa pumbavu kabisa.
Umetumia data zipi na lini kuja kuniambia uchumi unayumba??? Anyway Rejea taarifa ya gavana wa Bot profesa. Nduru utapata maelezo ya kutosha ndipo uje uendelee kupiga gita humu kuliko kuamini kuwa mbowe aliuza swali bungeni eti uchumi unayumba basi nawewe umekariri mpaka leo?? Kuhusu neno mzalendo ata mwenyekiti wako kuwa ni mzalendo kumbe ndo halipi ata kodi ni bora ata Mara mia ambaye ninalipa kodi na kufanya harakati zinazowafundisha vijana kujua dhana ya uchumi wa kati
 
Mleta mada ameamua kuja na staili hii ili kujitafutia ajira na si vinginevyo.
 
Duh,naona akili yako imetumiwa vibaya,kubali challenge za upinzani zifanyie kazi kimyakimya,unapokataa kukosolewa hivi utajua wapi umekosea? Usipende kusifiwa tu ,hata kukosolewa kubali,na ushauri sikiliza,hata viongozi wa dini hutaki kuwasikiliza wake wa shetani ndio uwasikilize?Akili za kuambiwa changijanya na zako.Hivi tu wafanyakazi wanakusikilizia mwezi Huu,kama hakuna nyongeza ndio moto utazidi kuwaka
 
Back
Top Bottom