Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Kama Nina njaaa basi mwenyekiti naye ana njaa aliyeuza chama kipindi kigumu kama kile ela kala pekeyake mpaka Leo hakuna aliyehoji ila sisi wazalendo wa kweli lazima tuhoji kwann ndo hapo utakuja na majibu mepesi kwenye masuala magumu kama haya

Ungejikita kwenye ufafanuzi wa ile mikataba ya madini sisi kama nchi nadhani ungekuwa umetusaidia sana. Sasa wewe kuniletea mambo ya Mbowe kumuuzia chama sijui Lowassa hilo halina madhara kwetu kama nchi, tena ukizingatia kama ni kuuza kamuuzia mtanzania mwenzake hata kama ni fisadi hilo watajuana wenyewe. Hapa naona umeamua kutuleta siasa za kitoto kwa ajili ya kutaka kuganja njaa yako. Usidhani kila mtu hapa ni mwanachama wa cdm kisa anakupa ukweli wako. Kujipendekeza kwa mwanaume ni mambo ya aibu kwako wewe na familia yako.
 
Watu wamemsoma Magufuli kwamba ukitoka hadharani ukamtetea kwa kupayuka uzushi kama hivi unajiweka kwenye nafasi ya kupewa cheo cha kuteuliwa. Tunarudi kulekule kwenye mfumo wa maisha wa kusaka tonge kwa njia za kisanii kama hizi.
 
Hakika akili yako finyu kama mawazo yako hayo ya mgando umeshindwa kujenga hoja unakuja kukejeli na kudhihaki unahitaji kuombewa kabisaa
 
Naona umeweka namba ya simu ili upigiwe upewe hata ka cheo kidogo hahahahaha njaa mbaya sana
Mambo ya kushangaza sana haya ndio katupa chambo chake hivyo ana ngoja samaki ameze, kajikomba weee.
 
labda ungerudi kusikiliza hotuba ya Makufuli aliyoitoa Pemba na Unguja ungejua vizuri ni nani anaepandikiza chuki kati ya watanzania
 
Hakika akili yako finyu kama mawazo yako hayo ya mgando umeshindwa kujenga hoja unakuja kukejeli na kudhihaki unahitaji kuombewa kabisaa
Ingekuwa Vyema sana unge tangulia kujiombea wewe ili ufanikiwe hilo hitaji lako badala ya kunadi njaa yako,nini lengo lako mpaka una anika anika simu yako humu kama anaye tafuta mchumba nani ana shida na namba ya mtu JF watu wana akili humu umebainika kaa kimya wacha kulalama,Wewe subiri tu upigiwe.
 
Shida iko wapi mtu kujisikia kuweka namba simu yake?mtu kama hana ujanja ujanja anaweza kua hulu kwa lolote,na kama amelenga kitu kingine pia ni matakwa yake
 
Ndugu wanajamvi,

Sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi. Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye.

Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE, MALISA G, BEN SAANANE, JULIUS MTATIRO, katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF, Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.
Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.

Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wakati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Kulalama ni Ishara mbaya kwa utawala unaomilki Dora
Ni dalili mbaya sana kwa utawala unaoheshimu katiba mwaka mmoja tu unaanza kuwatuhumu Raia wako Kwamba wana kuhujumu.
 
Shida iko wapi mtu kujisikia kuweka namba simu yake?mtu kama hana ujanja ujanja anaweza kua hulu kwa lolote,na kama amelenga kitu kingine pia ni matakwa yake
Na wewe sijui mkimbizi wa wapi kiswahili chenyewe cha kupapasa,unaona sawa mtu kutupotezea muda kutusomesha utumbo kwa kuanika heading yenye mvuto?
 
Kulalama ni Ishara mbaya kwa utawala unaomilki Dora
Ni dalili mbaya sana kwa utawala unaoheshimu katiba mwaka mmoja tu unaanza kuwatuhumu Raia wako Kwamba wana kuhujumu.
Vijana wa CDM siku zote ushindi wenu ni matusi kejeli dhihaka hamjawahi kushinda kwa hoja kwenye masuala mazito kama haya "never and ever" hamtashinda milele msipobadilika
 
Acha kuweweseka wewe jibu hoja zangu unaogopa nini ??? Wewe si bingwa wa kujibu hoja leo unashindwa nini mpaka unaomba msaada! Naamini umepata ujumbe kwenye hii andiko itakusaidia kuacha kukurupuka
Unapata ujasiri kuwa nakuogopa bwana mdogo?

Unajua maana ya Rais wa NCHI?
 
Ungejikita kwenye ufafanuzi wa ile mikataba ya madini sisi kama nchi nadhani ungekuwa umetusaidia sana. Sasa wewe kuniletea mambo ya Mbowe kumuuzia chama sijui Lowassa hilo halina madhara kwetu kama nchi, tena ukizingatia kama ni kuuza kamuuzia mtanzania mwenzake hata kama ni fisadi hilo watajuana wenyewe. Hapa naona umeamua kutuleta siasa za kitoto kwa ajili ya kutaka kuganja njaa yako. Usidhani kila mtu hapa ni mwanachama wa cdm kisa anakupa ukweli wako. Kujipendekeza kwa mwanaume ni mambo ya aibu kwako wewe na familia yako.
Jipime acha siasa ya kukariri kijana nakutabiria anguko mapema usipobadilika
 
Back
Top Bottom