Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Nafasi za ukurugenzi nadhani zimejaa,labda uatapewa u V.EO.Hebu tupia C.V yako kwanza.

Sihitaji kupewa Nafasi yeyote kusema ukweli NA kuwatetea walio wengi. Nchi hii Tanzania udhurumaji ulikuwa mwingi wa kuudhi.
 
Mkuu Jana nlitoa uzi wa demokrasia kwa upana wake zaidi inaonekana haukuisoma kwa kuwa mode iliificha ila nitaandika tena ujifunze maana ya demokrasia naona hauijui kabisaaa

Uandishi wako tu unaonesha wewe bado ni mwanafunzi uliyeko shuleni ambako bado unajifunza.

Sasa ni ajabu sana mwanafunzi kutaka kugeuka kuwa mwalimu wa walimu wake kuhusu demokrasia!.

I suggest you keep these as your own personal opinions!!
 
Jamaa kaweka na number zake za simu! Du ni noma!

Njaa kila kona!

Subiri kupigiwa simu kutoka THQ (Tanzania Head Quarters!!


Unamawazo ya kifisadi. Unafikilia mtu akisema ukweli yanayomuuzi unafikilia anatufuta chochote. Towa hayo mawazo ya kifisadi KWENYE ubongo wako. Aliyoelezea yote NI ya ukweli WATU kama nyinyi mliozowea kupindua ukweli ukawa uwongo mumeirudisha nchi hii nyuma. Taifa lisilokuwa NA haki NI taifa bovu.
 
Mtoa post ajira ni ngumu.Muulize Sefue,mpaka leo anatafutiwa kazi,na hajapata.Tupe CV yako usikute ni HKL ambazo mheshimiwa hazitaki kbs.
 
Uandishi wako tu unaonesha wewe bado ni mwanafunzi uliyeko shuleni ambako bado unajifunza.

Sasa ni ajabu sana mwanafunzi kutaka kugeuka kuwa mwalimu wa walimu wake kuhusu demokrasia!.

I suggest you keep these as your own opinions!!
Kwa kuwa akili yako imeishia kufiria na ukaishia hapo haina haja ya kubishana nawewe nina uhakika 100% hujui maana ya demokrasia? Ila umeshaanza kuleta propaganda humu
 
Mtoa post ajira ni ngumu.Muulize Sefue,mpaka leo anatafutiwa kazi,na hajapata.Tupe CV yako usikute ni HKL ambazo mheshimiwa hazitaki kbs.

Do not argue with the fool people will not tell the difference
 
USIJALI PENYE UWONGO UKWELI UNAJITENGA. WANAOSEMA WENGIWAO HAWAELEWI UCHUMI UNACHUMWAJE. MALI TULIYONAYO NI YA SISI WOTE NA SIYO YA WATU WACHACHE. WANAOPIGA KELELE HAPA KUHUSU RAIS MAGUFULI SIYO WALIOKUWA WAKIKALA KWENYE SAKAFU MUHIMBILI, SIO WALE 650 WALIOHAMISHWA MAGOMENI NA KUVUNJIWA NYUMBA ZAO, SIO WALE WALIKUWA WAKIWEKWA NDANI NA WATU KWA KUWA WANA PESA, SIO WALE WATOTO WAO WALIKUWA WAKIKAA CHINI, NI WALE WALIKUWA WAKIUGUWA WANAENDA APPOLO HOSPITAL INDIA, NA KODI YA MASIKINI INALIPA, NI WALE WALIOKUWA WAKIVUNJA SHERIA NA HAWASHITAKIWI, NI WALE WALIOKUWA WANAIBA FEDHA ZA UMMA HAKUNA WAKUWAKEMEA SASA JASHO LINAWATOKA NA KUMUUITA RAIS MAGUFULI DICTATOR WANAMUDANGANYA NANI, RAIS MAGUFULI NI MPENDA HAKI KWA WATANZANIA WOTE. HAKUNA TOFAUTI KATI YA WATOTO WANGU NA WA RAIS NYERERE, KWA KUWA WATOTO WAKE NA WANGU WOTE WALISOMA SHULE MOJA, WALIENDA HOSPITALI MOJA HUYU NDIYE ALIKUWA RAIS WA WATU NA NDIYO MUFANO WA RAIS MAGUFULI. MUNGU AMUKINGE RAIS WETU KWA WALE WASIOPENDA HAKI.
Usijalii kila haina ya upotoshaji utaoletwa au kutolewa na hawa vijana wababaishaji tutaupinga na kuukataa hadharani! Tuendelee kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kutufikisha kwenye uchumi wa kati na zaidi tutaenda kutoa elimu kwa umma na kuwahabarisha kwa mambo mema ambayo hii serikali inayafanya
 
Soma andiko vizuri naona haujaielewa

Wee hizi akili za mtu anaetumia KY... ww ni mtu wa KY...!! AKILI ZA KY utazijua tu..!!

Tena omba radhi... haraka sana.. ni jana tu wafanyabishara wakubwa karibu wote walikuwa na Waziri Mkuu na kuchangia mamilioni ya pesa kusaidia Serikali kwa wahanga wa tetemeko Bukoba... mamilioni walitoa...!! unatia hasira sana, sbb imagine wafanyabiashara jana tu wame
toa millions, leo unaandika huu upuuzi hapa.. inatia hasira..!!

Hizi akili za kufukunyuliwa na KY ni mbaya sana.. na ukome..!! nyambaf..
 
Jamaa kaweka na number zake za simu! Du ni noma!

Njaa kila kona!

Subiri kupigiwa simu kutoka THQ (Tanzania Head Quarters!!
Jina lako yenyewe ni "jambazi" unategemea kuna mtu ataamini uliyoyaandika humu ?? Kwanza TCRA inabidi ikufanyie uchunguzi wa kina hatuwezi tukamaa na majambazi humu mtandaoni
 
Kwa kuwa akili yako imeishia kufiria na ukaishia hapo haina haja ya kubishana nawewe nina uhakika 100% hujui maana ya demokrasia? Ila umeshaanza kuleta propaganda humu

Tangu lini mwendawazimu akajijua kuwa ni mwendawazimu?

Siku zote huwaona wote wenye akili timamu wanaoushangaa uwendawazimu wake kama wao ndiyo wendawazimu!!

Dawa yake ni moja tu. To help cast all demons possessing him/her!!

That person, is you!!

Pole sana..n
 
Wee hizi akili za mtu anaetumia KY... ww ni mtu wa KY...!! AKILI ZA KY utazijua tu..!!

Tena omba radhi... haraka sana.. ni jana tu wafanyabishara wakubwa karibu wote walikuwa na Waziri Mkuu na kuchangia mamilioni ya pesa kusaidia Serikali kwa wahanga wa tetemeko Bukoba... mamilioni walitoa...!! unatia hasira sana, sbb imagine wafanyabiashara jana tu wame
toa millions, leo unaandika huu upuuzi hapa.. inatia hasira..!!

Hizi akili za kufukunyuliwa na KY ni mbaya sana.. na ukome..!! nyambaf..
Mbona mnaogopa kumalizia neno WASIOLIPA KODI mnatamka tuu wafanyabiashara ila hamuimalizii kuitama mnaogopa nini?
 
Nadhani utakuwa umetumwa wewe.Hivi sisi wa upinzani kuna kiwanda maguguli amekijenga na tumeenda kikibomoa eti?Acha siasa uchwara kama umeshindwa kuleta maada nzuri ni bora ukae kimya
 
sasa namba ya simu ya nini?
we nae!!!😛😛😛😛
Huu ni mwaka Wa saba sasa mleta mada anasugua makalio kwenye mawe,bila Kazi sasa ameona ni bora akajaribu njia hiyo labda atatoboa
 
Vijana wengi walijenga matumaini ndani ya ushindi wa Ukawa. Sasa wanayoyatoa hapa ni machungu ya kuukosa ushindi. Ukweli ni kwamba Ukawa ungefua dafu ya kutekeleza haya anayoyafanya huyu baba aliyeko Ikulu. Watu wanaponda hata mazuri anayoyafanya. Tuseme tu machungu yataisha na wakati. Ukweli kamwe hauwezi kupinda hata ukipindishwa. Siamini kwa mfano tu kama kuna mahakama ingeanzishwa ndani ya nchi kushughulikia mafisadi kama Ukawa wangechukua hatamu. Wala kubaini wafanyakazi hew, wanafunzi hewa, wizi kwenye taasisi kama vile bandarini nk. Tukubali uchaguzi amekwisha tuipe nafasi ingawa kwa uchungu serikali ifanye yake. Si itapita tu. Mda wa Ukawa utakuja watapata nafasi ya wao pia kutekeleza yao. Tuipe muda ccm na serikali yake hakuna namna.
 
Umesahau kutaja watu na vyombo vya habari vinavoua upinzani, mbona mlituaminisha serekali ya Magufuli haiwezi shindwa kitu? Au unamjaribu mkulu? Sasa kama mmeshayajua hayo makundi mnashindwa nini kuyashuhulikia? Mimi bado nasubiri kuishi kama MALAIKA ati
 
Mleta Mada Mbuda Kweli. Parahisi Pa Kutaja Ni Kwenye Siasa Sio? Mbona Hujataja Wafanyabiashara Na Media. Watu Kama Nyie Sijui Wafanyweje
 
Back
Top Bottom