Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

dada wewe ni mwandishi mzuri sana, lakini linapofika jambo la Chadema sijuhi fahamu huwa inakutoka ama nini?
sasa kama huu uzi, sijuhi unaishauri Chadema, au unaionya? au unaicheka?, hebu jaribu kutuliza mihemko ya matukio yanayotokea , chukua muda wako na uandike kitu cheme maana na chenye kueleweka

Hajaandika barua ya mapenzi!!!!
Uandishi wa kizalendo hauwezi kiwa kama hadithi!!!!!
Tuliza fuvu na vilivyomo utaelewa na kama hutaelewa basi ujue wewe ni mchina umasaini!!!!
 
Mwali wewe ni pro Zitto, ndoto zako ni kumuona Zitto kawa Mwenyekiti wa Chadema kwa udi na uvumba na hata ikibidi kufukua Mzimu wa Nyerere na nani sijui ili wale wasaidie jamaa kuwa Mwenyekiti na hatimaye awe Rais/Rais? au kuiuwa Chadema? Sijui! Ila ni moja kati ya hayo. Katika hiyo vita ya kuwa Rais wa JMT/ kuiuwa Chadema au kuwa Mwenyekiti/Katibu Mkuu wa Chadema, adui Mkubwa hapo ni Mbowe na Slaa. Slaa hasa ndiyo anakuwa Mzizi mkubwa kwa sababu ni SMART sana na labda zaidi ya ambavyo mlitegemea na sababu ni ndogo sana - Jamaa ni Ex-Padre, kichwa sana.

Zitto ni mfano mwingine wa wazi kabisa wa Dr Dr Dr Dr ambaye alipandishwa kwa misifa kibao na kupakwa kila aina ya urembo hadi akarembeka na kila aliyejaribu kumgusa, alinyamazishwa kwa pesa au nguvu. Leo hii tumeyaona na wengi ndiyo wanajuta kuwa ni heri angelikuwa Mwaarabu Saalim A Saalim.

Mwali, ntasoma sana makala zako na nimesoma makala nyingi ila ukweli unabaki wazi kuwa wewe ni Pro-Zitto. Kibaya zaidi ni kuwa ndiyo kwanza unamchafulia badala ya kumjenga. Kila mtu sasa ataanza kuona kuwa Zitto yeye anasema hapana ila watu wake pembeni wanasema ndiyo. Kwanza haka ka mchezo ka Mult ID, hujui hata nani anaandika na labda ni yuleyule aandika na kujijibu. All in all, wewe si mshauri mzuri wa CHADEMA kwa hali ya sasa kwani umesimama sana upande wa Zitto/Nzoka/CCM/Denis Msaki.

Sikonge......

Karibu JF after a very long time!
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa majungu. Hakuna vita bila maadui, hakuna ushindi bila mapambano. CDM imeanzishiwa vita na nyinyiem. vijana wa lumumba hukesha humu wakitumia kodi zetu, you being one of them. halafu ishu ya uchaguzi inakukereni nini nyinyiem? mbona miaka ya nyuma hamkuwa na kiherehere hiki?
chama tawala hakina usaliti hata kidogo maana kila ahadi imetekelezwa......shame on you

Soma namba 5 kwenye post ya Mwali.

Kama hujamuelewa ngoja nikupe darsa dogo la muulizo;

Hivi, kama wewe ni upinzani halafu "role model" wako ni CCM huo upinzani wako uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mwali wewe ni pro Zitto, ndoto zako ni kumuona Zitto kawa Mwenyekiti wa Chadema kwa udi na uvumba na hata ikibidi kufukua Mzimu wa Nyerere na nani sijui ili wale wasaidie jamaa kuwa Mwenyekiti na hatimaye awe Rais/Rais? au kuiuwa Chadema? Sijui! Ila ni moja kati ya hayo. Katika hiyo vita ya kuwa Rais wa JMT/ kuiuwa Chadema au kuwa Mwenyekiti/Katibu Mkuu wa Chadema, adui Mkubwa hapo ni Mbowe na Slaa. Slaa hasa ndiyo anakuwa Mzizi mkubwa kwa sababu ni SMART sana na labda zaidi ya ambavyo mlitegemea na sababu ni ndogo sana - Jamaa ni Ex-Padre, kichwa sana.

Zitto ni mfano mwingine wa wazi kabisa wa Dr Dr Dr Dr ambaye alipandishwa kwa misifa kibao na kupakwa kila aina ya urembo hadi akarembeka na kila aliyejaribu kumgusa, alinyamazishwa kwa pesa au nguvu. Leo hii tumeyaona na wengi ndiyo wanajuta kuwa ni heri angelikuwa Mwaarabu Saalim A Saalim.

Mwali, ntasoma sana makala zako na nimesoma makala nyingi ila ukweli unabaki wazi kuwa wewe ni Pro-Zitto. Kibaya zaidi ni kuwa ndiyo kwanza unamchafulia badala ya kumjenga. Kila mtu sasa ataanza kuona kuwa Zitto yeye anasema hapana ila watu wake pembeni wanasema ndiyo. Kwanza haka ka mchezo ka Mult ID, hujui hata nani anaandika na labda ni yuleyule aandika na kujijibu. All in all, wewe si mshauri mzuri wa CHADEMA kwa hali ya sasa kwani umesimama sana upande wa Zitto/Nzoka/CCM/Denis Msaki.

Angekuwa ni kichwa kama unavyotaka kutuaminisha kwa eti alikuwa padre, si angebaki hukohuko. Wamemuona hafai ndio wakamtema.

Wewe itakuwa ni zao la Father Kit Cunningham.
 
Mbona haya yote yashaelezwa na Team Zitto humu jamvini takribani wiki nzima iliyopita . Mabadiliko hayawezi kuletwa na CDM yataletwa na sisi wananchi wenyewe pale watakapoamua na kuweka nia ya dhati kwenye fikra zetu kuhusu mabadiliko . Mabadiliko hayawezi kuletwa kwa kuendeleza mijadala ya Team Mbowe inafanya makosa gani ama Team Zitto inafanya mabaya gani . Tujikite kwenye yale mazuri walioyofanya/wanayofanya tusonge mbele .

Moja ya hutuba aliyoitoa Zittto hivi karibuni imenifurahisha sana ,amesisitiza vijana tuache kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii tukichafuana bali tujikite kuelekea kwenye ukombozi .
Mwakalinga Y. R
===>Mimi binafsi simuamini ZZK hata siku moja maana yeye ndio muumini mkubwa wa hii mitandao ya kijamii,na anaitumia vizuri kuuumiza wenzake,kuuua CDM na kujijenga yeye mwenyewe,
Mathalani soma hapa uone jinsi ZZK alivyokuwa Ndumila kuwili:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-zitto-kuhusu-lwakatare-maelezo-yangu-32.html
 
Last edited by a moderator:
kuna vitu Tanzania ni unbelievable kabisa..

ndo maana hata wana JF wengi wanashinda MMU na CHIT CHAT sio sababu hawana uelewa
bali 'WANACHOSHWA NA KILA KITU'

CCM wako na kuibia wananchi na kuuza nchi
ulitegema CHADEMA watoe vision na hope nao ni even worse now

hata mtu kama Lema nae anaachiwa kuleta vurugu on top ya vurugu
shame...and sad
Siasa zina mbinu nyingi sana.....si kama unavyodhani....
 
Chadema haiyumbishwi na wasaliti bali wasaliti wanayumbisha watanzania,

Seriously? That does not make sense. You cant and should not separate CDM and watanzania. The party slogan is "Peopleeeeeeeeee, Power".

Wembe tunaomnyolea ccm, ndio huohuo tutakao wanyolea wasaliti hawa

Nani anaamua nani ni mnyoaji? Last i checked, CCM still has an afro. I know statements like this makes CDM look cool, but they are damaging the seriousness of what CDM stands for. Its almost 2014, how about getting serious.
 
CHADEMA ndicho chama imara Tanzania. CHADEMA, mkilishinda hili mtaaminika sana tena sana. Ni lengo lilelile la CCM kuhakikisha hakuna chama kinakitoa madarakani. Kuna hela ya CCM inatumika kwa viongozi wa CHADEMA. Hili halitaisha leo, wataendelea sana baada ya kushindwa mengi ya nyuma.

Watu wanaifahamu CHADEMA bwana, kwa namna yeyote ipatikana the finest CHADEMA tutatembea na hiyo, acha kukumbatia majina makubwa mahalifu.

CHADEMA MILELE.
 
Mwali,

Umeandika bila kuleta ushahidi .Ni lini wabunge wa Chadema waliomba sapoti ya chama kwenye hoja zao wakanyimwa?Leta ushahidi

-Unasema maamuzi yanafanywa na watu ambao hawazidi 5?Huu ni uongo maana sekretarieti ambayo ni engine ya utendaji wa kila siku inashirikisha wakurugenzi 7 +Makatibu wa mabaraza +Manaibu katibu mkuu 2 na katibu mkuu ni Mwenyekiti

Pia kamati kuu hujadili na kupitisha ajenda za sekretarieti.Baraza kuu hupitisha bajeti ya chama.Hao hawazidi 5?Majungu

-Ni vijana gani waliofukuzwa kwa kosa la kumtukana Dr.Slaa na ni akina nani waliompamba wakawa promoted wataje kwa ushahidi ili tujitofautishe na wapiga ramli na udaku

-Matumizi ya ruzuku kama hayakua sawa viongozi wote wa juu ofisi ya Mwenyekiti na katibu mkuu na manaibu wake ndio walistahili kutoa majibu

-Hoja ya Kujinunulia nyumba ni muendelezo wa siasa ndogo za mitaroni.Sidhani kama ni sahihi kumzuia kiongozi kuwa na nyumba ikiwa ana source zake za income ambazo ni halali.Fikra gani hizi za husda?

-Suala la uchaguzi katiba ipo clear sijui hizi gutte politics zitasaidia nini hasa

Tujadili issues tuachane na petty politics
 
Mara nyingi lema tupo naye field vijijini tunapiga kazi, zitto je? yupo na mafisadi anakula bata na mdio maana maccm yanampenda.

Chama kina ratiba na watu wa kutekeleza!!!

Wekeni majukumu aliyopangiwa akakataa kuyafanya!!!!!

Muanikeni tumjue badala ya kumchafua tu bila sababu!!!!!

Maneno hata keki inaandikwa nini tofauti yenu na keki???!!
 
chadema inaliwa taratibu na dhambi ya ukabila basi

Utatuambia nini na wewe wakati kachama kenu ka udp kamewafia mikononi mkishuhudia? Halmashauri ya bariadi imerudi ccm aibu gani hii?. Mbaya zaidi Cheyo anategemea kuliuza jimbo lake kwa ccm. Kisa amekosa mrithi hivyo anatafuta maandalizi ya kuzeekea.shame on u,tumeshapiga hodi huko. Muda si mrefu tutakuwa kanadi na itilima yote.bila kusahau ntuzu na dutwa. CHADEMA 4 LIFE PILITON.
 
Samawani wanaJF,
Kuna mdau mmoja amenitonya kuwa Mwali si mwanamke kama anavyojitambulisha na kuaminisha wengi hapa JF.
Kwamba the so called Mwali ni dume lililojivika kilemba. Naombeni msaada wa kutatua utata.

Btw, Selemani ni nani huko Bumbuli na ofisi ndogo ya ccm makao makuu lumumba?
 
Last edited by a moderator:
Sikonge
Sikonge
All in all, wewe si mshauri mzuri wa CHADEMA kwa hali ya sasa kwani umesimama sana upande wa Zitto/Nzoka/CCM/Denis Msaki
===>Hapa umesema,na hawa uliowataja hapa ndio wanaomtumia ZZK, na kama ikitokea tu siku moja ZZK akaacha kutumiwa na hao wadau hapo juu CDM itakuwa salama sana.
 
Last edited by a moderator:
usishangae kuona watu tunaiponda chadema tumechoshwa na siasa za majungu kila siku mara zitto mara mwigamba kuna un umhim gani wa kuwa na chama chenye majungu:target:
 
Sio siri tena kwamba Chama sasa kinakabiliwa na dhoruba kali la kisiasa na Viongozi CHADEMA wasipokuwa makini huenda Chama kikafika 2015 kikiwa hoi bin taabani.

Binafsi nitaumia sana kama haya ndio yatakuwa matunda ambayo CHADEMA tutayavuna baada ya juhudi na bidii ya miaka mingi ya kujijenga Chama chini ya mateso na maumivu makali ya kimwili na kisaikolojia yaliyosababishwa na udhalimu wa vyombo vya dola kwa wakati wote ambao CHADEMA imekuwa katika harakati za kujijenga na kujiimarisha miongoni mwa Watanzania.

Naweza kusema kuwa ng'ombe mzima tumeshakula bado mkia tu!Siamini!Mgogoro ulioibuka katika Chama baina ya makada kadhaa maarufu wa CHADEMA hauna afya kabisa kwa Chama na ukiachwa uendelee hivi huenda ukakiacha Chama kikiwa vipande vipande kabla hata ya mwaka 2015,Tusingependa hali hii iikumbe CHADEMA yetu kwa kweli.

Ili kukata mzizi wa fitina na ili kuuzima huu mgogoro unaozidi kushika kasi ndani ya Chama ni muhimu basi kwa CHADEMA kuitisha Kikao kisha Lema na Mwigamba waitwe wakathibitishe hizo tuhuma
 
Utatuambia nini na wewe wakati kachama kenu ka udp kamewafia mikononi mkishuhudia? Halmashauri ya bariadi imerudi ccm aibu gani hii?. Mbaya zaidi Cheyo anategemea kuliuza jimbo lake kwa ccm. Kisa amekosa mrithi hivyo anatafuta maandalizi ya kuzeekea.shame on u,tumeshapiga hodi huko. Muda si mrefu tutakuwa kanadi na itilima yote.bila kusahau ntuzu na dutwa. CHADEMA 4 LIFE PILITON.

hahaahaaaaaaaaaaaaa
 
sasa mkuu hapo unajichosha kushaur!!nan kakuambia mbowe huwa anashauriw na wanachama?baba mkwe mzee mtei ndo mwenye final say na chadema!ukiona mbowe amefnya lolote kwny chama ujue hilo litakuw limetoka kwa baba yake na lilian
 
Back
Top Bottom