Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

lakini tukubali ukweli Lema ni mpambanaji hasa,hebu kwa miaka ya karibuni mlinganishe Zitto na Lema,nani anazunguka kukijenga chama! acha ushabiki....
tatizo hakubaliki beyond Arusha mjini, huwezi kumlinganisha Lema na Zito hata kwa mbali

 
Sikonge

Ndugu yangu mbona unarudi na tactics zile zile za kupotosha ideas and concepts?

Mi sijawahi kua member wa chadema na sijawahi sema kua mimi ni mwana chadema. Nataka kuona mabadiliko. Kila unaposoma post yangu kaa na hili kichani: sitetei mtu, sitetei chama. Natazama maslahi ya watanzania. iwe posho, ruzuku, utoroshaji wa ushuru etc, yote ni agenda zenye maslahi. Ukiona jina la zitto linajirudia ni sababu he leads those process. Siku mngine akilead nae atatajwa, full stop.

Mimi sio pro-Zitto ila nakubaliana na mengi sana anayo yafanya. He might not be perfect ila Kwa mtu wowote anae taka mabadiliko ni rahisi kumsupport, irrelevant of chama, social status, education, dini, kabila, na mengine yanayo tutenganisha. Hana siasa za fingerpointing, anapiganisha misingi mibovu na kubadili system, not people. Anafata misingi ya chama alicho jichagulia mwenyewe. (Mtu asipofata misingi ya chama chake atafataje misingi ya nchi?) Sijawahi mskia katika siasa za kuchafuana au za kuwekeana sumu.

Siasa ni struggle for power na kila mwanasiasa anataka madaraka. Either collectivelly (chama kipewe madaraka) or personally (yeye apewe madaraka). Kuna wanao tumia nguvu za uma kuonesha they deserve to be trusted. Kuna wanao tumia nguvu za chama chao. Kuna wanao tumia public image. Kuna wanao beba agenda za population, kuna wanao tumia agenda za wanasiasa wengine. Wapo watakao tupilia mbali personal valuea na party values na kujiunga na mafisadi ili ky-protect their pisition and income. Ndio unataka tuwajadili hawa?

Muhimu ni population kua makini na kuhakikisha wanampa support mwanasiasa anae ambatanisha personal motivation yake na maslahi ya wananchi. Wapo wengi ambao personal ambition haipo aligned na maslahi ya wananchi, na hawa ndio kikwazo cha mapinduzi.
Hutetei mtu? Kwa hiyo umeandikiwa hili bandiko lako. Wewe unamtetea Zitto. Maandishi yako yanajionyesha.
 
Dr. Slaa hakupi Usingizi...... Kila mtu analifahamu hilo. Bahati Mbaya Nyerere hawezi kuwa hapa kujitetea, umebaki kila siku kushambulia maiti......
Angekuwa ni kichwa kama unavyotaka kutuaminisha kwa eti alikuwa padre, si angebaki hukohuko. Wamemuona hafai ndio wakamtema.

Wewe itakuwa ni zao la Father Kit Cunningham.
 
Uchaguzi wa mwaka 2010 ndio ulioweka historia tanzania kwa chama cha upinzani kupata viti vingi vya ubunge.Hii ni kutokana na imani waliyokuwa nayo watanzania juu ya chadema na wagombea wao.Imani hii ilijengwa na THE BIG FIVE ie wabunge wa chadema waliotwaa ubunge 2005 ambao ni Zitto,slaa,wangwe,saidi arfi na ndesamburo.Hawa watu walifanya kazi kubwa sana, hoja zao za nguvu na za kizalendo ziliamsha hamasa na watu wakaipenda chadema.Mwaka 2010 tukapata magarasa kibao akina sugu,lema,mnyika,msigwa,mbowe nk ambao kazi yao kubwa ni vurugu bungeni,matusi bungeni na vitendo visivyokubalika machoni mwa watanzania.Ni kipindi hiki ambacho kuna watu kama lwakatare,ben saanane nk ambao kila uchwao wanaleta majanga ndani ya chadema na ndio watu wanaojipambanua kuwa eti makamanda,hao ni makamanda uchwara tu hawana athari yoyote.Haya magarasa ndio eti yanajiita makamanda,aibu kweli.Nawaomba mrejee chadema ya 2005-2010,hiyo ilikuwa chadema kweli na siyo hii ya magarasa na watu waliovimbiwa, ni majanga tupu
 
Leo mzee utanzisha mada kumi ila leo zitto kashapata dawa yake, lemaaaaaaa we ni kiboko ya wanafki
 
Naona niondoke humu niende kwenye kikao cha CHADEMA NI MSINGI. Najua hiyo ndiyo njia sahihi ya kuishughulikia CCM na kuwaletea watanzania ukombozi wa kweli. Humu JF tangu Lumumba wafungue idara ya maalum ya cyber attack kumepoteza sana hadhi.
 
Pilitoni, wewe hayo magarasa tuachie sisi tutadili nayo in due time.

Nina swali kwako na pro-Zitto wenzako, Je! ni kwanini ninyi msichukue Zitto kwenye mojawapo wa vyama vyenu awe m/kiti wenu? CHADEMA hawamtaki.
 
I always keep my mind open, esp. With politicians. As I said wana agenda yao ambayo sometimes ni agenda ya wananchi but sometimes ni agenda yao binafsi au agenda ya kukipandisha chama chao to the expences of their partisans.
Kila mwana siasa ana sura hizo mbili. Kila chama kina sura hizo mbili. Chadema represented hipe, and to some extent it still does. But the dark side is overshadowing what they have realised so far.
Lazima wachukue hatua sasa. Waache hayo ya kusema "tunasafisha chama" bila kuwahusisha wana chama. What are the criteria? When does this start? Where does it end?
People will not wait for them to put their house in order. If they don't do it fast watu watatafuta a new alternative.

I got you, your majest, Mwali
 
FaizaFoxy, soma bandiko la 48 na 59 ktk thread hii. Inaweza kuelewa kuwa binadamu tuna kasi na uwezo tofauti ktk kuelewa mambo
 
Siasa ni kitu kibaya huu ni upepo unaovuma kwa vyama vyote! Ngoja tuone unavyo vuma!
 
Japo sijapitia mawazo ya kila mmoja, kwa kifupi mimi kama mwanachadema( kwa wana chadma wenye uwezo mdogo wakufikiri watasema mi ni gamba) la hasha. Kweli niseme viongozi wetu wajuu wa Chadema tukubali kujisahihisha. Bado inanipa wasiwasi wa kushika dola kama bado kuna manung'uniko kwa viongozi wa ngazi za chini kama vile wilaya na majimbo. Malalamiko haya yanatokana na hoja ya kwa nini viongozi wajuu walipwe mishahara lakini hawa wachini wasilipwe hata posho na kuendelea kuhubiliwa injili ya Chama bado kichanga. Sungura kama ni mdogo bac agawanwe kadri alivyo. Napata wasiwasi kwenye chaguzi kuwa uchochoro huu magamba wanaweza kuutumia wakaendelea kutunyonya. Viongozi wajuu CDM someni sasa alama za nyakati. Kazi kubwa mliyokwisha kuifanya inaweza ikayayuka na wote tukaanza kushikana uchawi. Wape viongozi wachini posho wachape kazi na wasifanye kazi kwa ahadi ya madaraka hatutakuwa na tofauti na magamba. Mashairi ya vijana ni taifa la kesho yamepitwa na wakati yaani kuwambia wengine waache shughuli zakutafutia familia zao wakafanye kazi za chama siyo busara hata kidogo. MUNGU ibariki CDM mungu ibariki TZ. Amin.
 
Dakika nne tu baadae unayarudia yale yale. Nna uhakika kwa dakika nne tu uwe umeisoma post ya Mwali na umeweza kuijibu ni muujiza au simply hujaisoma na umekurupuka.

Nimesoma yote dada Mwali(ambaye ni mfuasi wa sera na itikadi za CCM) aliyoyaandika nami nimemjibu kama mfuasi wa itikadi za kati nisiyeegemea upande wowote.

Nadhani wewe ndiye uliyekurupuka kujibu niliyoyaandika ukidhani labda mimi watu8 ni mfuasi au mkereketwa wa sera na itikadi za Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Personalizing issue. Tunapi ongea maswala ya watanzania au tunapogusa maswala ya mismanagement lazima urudishe mambo to the most narrowed issue: jina la mtu. Kama sio Zitto ni slaa. Kama sio lema mbowe etc. Huwezi kabisa kujadili ideas, concepts and systems. Lazima urudi to the basics.
Nakushauri ukasome Alegory of the ship by Plato (being ruled by the lesser)

Sina Muda wa Kusoma hiyo kitu kwa Sababu haitanisaidia kitu na pia nina Mambo ya Msingi ya kujisomea
Hujajibu Hoja yangu ya Msingi, je ni kwanini pale Maslahi ya Naibu K/Mkuu yanapoguswaga wewe Mwali Hukurupuka sana.
Au unataka nikukumbushe incidence chache tu ukiacha hii ???
Unakumbuka ulivyokurupuka Baada ya CHADEMA kuizima hoja Dhaifu ya kutokukaguliwa Mahesabu, unakumbuka Thread uliyoianzisha hapa JF ???
CHADEMA ita Prone Mamluki wote ndani ya Chama, hata mpige kelele vipi tutawa Flush wote Kabisa.
Shukuruni sana Huruma za Dr Slaa na Mbowe, Otherwise wote mngekuwa mmeshapotea kabisa kwenye ramani ya Siasa
Ukiwa msaliti Ndani ya CHADEMA utapigwa tu, ni suala la Muda tu, Mark my words, Bora Mkimbuilie CCM mapema Kabisa.
 
Back
Top Bottom