Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Jibu hoja Mkuu!. mambo ya kusaka ID za watu humu JF mwachie Lema!
sasa mkuu hapo unajichosha kushaur!!nan kakuambia mbowe huwa anashauriw na wanachama?baba mkwe mzee mtei ndo mwenye final say na chadema!ukiona mbowe amefnya lolote kwny chama ujue hilo litakuw limetoka kwa baba yake na lilian
katiba ya chadema ndivyo inavyobainisha hivyo?
usiwe mtumwa wa fikra
Sio siri tena kwamba Chama sasa kinakabiliwa na dhoruba kali la kisiasa na Viongozi CHADEMA wasipokuwa makini huenda Chama kikafika 2015 kikiwa hoi bin taabani na binafsi nitaumia sana kama haya ndio yatakuwa matunda ambayo CHADEMA tutayavuna baada ya juhudi na bidii ya miaka mingi ya kujijenga Chama chini ya mateso na maumivu makali ya kimwili na kisaikolojia yaliyosababishwa na udhalimu wa vyombo vya dola kwa wakati wote ambao CHADEMA imekuwa katika harakati za kujijenga na kujiimarisha miongoni mwa Watanzania.Naweza kusema kuwa ng'ombe mzima tumeshakula bado mkia tu!Siamini!Mgogoro ulioibuka katika Chama baina ya makada kadhaa maarufu wa CHADEMA hauna afya kabisa kwa Chama na ukiachwa uendelee hivi huenda ukakiacha Chama kikiwa vipande vipande kabla hata ya mwaka 2015,Tusingependa hali hii iikumbe CHADEMA yetu kwa kweli.Ili kukata mzizi wa fitina na ili kuuzima huu mgogoro unaozidi kushika kasi ndani ya Chama ni muhimu basi kwa CHADEMA kuitisha Kikao kisha Lema na Mwigamba waitwe wakathibitishe hizo tuhuma
Sio siri tena kwamba Chama sasa kinakabiliwa na dhoruba kali la kisiasa na Viongozi CHADEMA wasipokuwa makini huenda Chama kikafika 2015 kikiwa hoi bin taabani na binafsi nitaumia sana kama haya ndio yatakuwa matunda ambayo CHADEMA tutayavuna baada ya juhudi na bidii ya miaka mingi ya kujijenga Chama chini ya mateso na maumivu makali ya kimwili na kisaikolojia yaliyosababishwa na udhalimu wa vyombo vya dola kwa wakati wote ambao CHADEMA imekuwa katika harakati za kujijenga na kujiimarisha miongoni mwa Watanzania.Naweza kusema kuwa ng'ombe mzima tumeshakula bado mkia tu!Siamini!Mgogoro ulioibuka katika Chama baina ya makada kadhaa maarufu wa CHADEMA hauna afya kabisa kwa Chama na ukiachwa uendelee hivi huenda ukakiacha Chama kikiwa vipande vipande kabla hata ya mwaka 2015,Tusingependa hali hii iikumbe CHADEMA yetu kwa kweli.Ili kukata mzizi wa fitina na ili kuuzima huu mgogoro unaozidi kushika kasi ndani ya Chama ni muhimu basi kwa CHADEMA kuitisha Kikao kisha Lema na Mwigamba waitwe wakathibitishe hizo tuhuma
Mkuu The Boss, nimependa objectivity yako hapo kwenye bold!kuna vitu Tanzania ni unbelievable kabisa..
ndo maana hata wana JF wengi wanashinda MMU na CHIT CHAT sio sababu hawana uelewa
bali 'WANACHOSHWA NA KILA KITU'
CCM wako na kuibia wananchi na kuuza nchi
ulitegema CHADEMA watoe vision na hope nao ni even worse now
hata mtu kama Lema nae anaachiwa kuleta vurugu on top ya vurugu
shame...and sad
Mkuu Mwali, nimekusoma kwa makini, huku nikitafakari na kujiuliza, hivi kweli viongozi wa Chadema huwa wanasoma mawazo kama haya?!.JF imekua sasa jukwaa la ndondi ambapo viongozi wa chadema wanagombana kwa maneno, kwa kuchafuana, wakidhani ku-convince opinion ya mashabiki wao jukwaa la siasa ndio tayari wananchi na taifa wamewakubali.
Viongozi wa Chadema wanatumia muda mwingi na resource za Chama kuchumia matumbo yao, then wanatumia resource zaidi kuficha uovu wao na kuwalipa mashabiki wao wakaeneze sumu mitandaoni dhidi ya wanachadema wenzao huku wakidai kua "wanasafisha chama", ndio maana hawawezi kudumisha demokrasia. Kusafisha kwenyewe hawasemi kutachukua muda gani na what are the criteria to this witch hunt!
Kwa mtindi huu (sorry, i meant kwa mtindo huu) sioni Chadema ikichukua uongozi in the next 100 years.
Anyway, najua walio na macho hawaambiwi tazama. Chadema has the potential to be an alternative to ccm ila kwa tunayo yaona siku baada ya siku tunakua na doubt. Na wanao wasaliti wanachama si wengine bali ni baadhi ya viongozi. Bahati mbaya hawawezi kuondolewa maana wamesha sitisha uchaguzi na wamebadilisha na katiba!
God protect Tanzania from such leaders!
Mkuu Mwita Maranya, kwenye hili, nimejitolea kusaidia kidogo, bila kumtaja jina, Mwali ni She!.
Nichukue tu hiyo mistari michache ya mwisho. Wewe ni nani mpaka uwaondoe HOFU wana-CDM? wenye chama huwa wanakuja na majina yao halisi humu. Tunawajua akina SLAA, BEN SAANAE, MWIGAMBA na weingine, iweje uje kututoa hofu na Id feki. Ukumbuke kuwa wengi kutofikiwa na CDM viijijini ni sababu mojawapo ya hao unaowaita wasaliti kutaka wafikiwe kwa hali mali na ndipo hubadilishiwa kibao na kuitwa wasaliti. Watafikiwaje wakati kuna watu wanataka kutengeneza mfumo wa fedha kwa tsh. mil 18 badala ya mil.2? watafikiwaje wakati machapisho ya kadi za chama yanafanywa na kampuni ya Mwenyekiti huko china, kwani kadi haziwezi kuchapishwa Tanzania? Kama mnataka CHADEMA isife ni lazima kwanza mtambue madai ya akina MWIGAMBA na wenzake kuwa ni ya msingi badala ya kuwaita wasaliti.
Haya ndio yale nilikua nazungumzia:
Kwa vile chama tawala kina usaliti, basi chadema can be excuse. Haya ndio mawazo ya mashabiki wengi sababu viongozi wenu wanajitetea hivo na nyinyi mnaridhiana nao.
Kama chama tawala kina madudu lazima upinzani uwe msafi ili tuwaamini. Mkiingia kwa mtindo ule ule wa kukataa mawazo mbadala na kutumia vibaya pesa za uma sasa ni mbadala gani huo?
Jamaa ni zaidi ya tatizo ,ila uzuri kila anachokifanya against wapigania haki anaangukia pua . Tuachane na mabaya yake coz tumeshayajadili mpaka kero ,tusonge mbele tutafika .Mwakalinga Y. R
===>Mimi binafsi simuamini ZZK hata siku moja maana yeye ndio muumini mkubwa wa hii mitandao ya kijamii,na anaitumia vizuri kuuumiza wenzake,kuuua CDM na kujijenga yeye mwenyewe,
Mathalani soma hapa uone jinsi ZZK alivyokuwa Ndumila kuwili:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-zitto-kuhusu-lwakatare-maelezo-yangu-32.html
TECH WIZ,
Lema kusema juu ya usaliti na kuonya ni kosa?Amekiuka ibara ya ngapi ya katiba ya CHADEMA?
Hilo la Mwigamba ikitangazwa hatua za kinidhamu zitafuata baada ya uchunguzi kukamilika ikiwa ataonekana kuwa na makosa
lema huwezi kumlinganisha na mwigamba weye; mlipeni ataenda nccr au cccmTatizo Mtei ameshikilia madaraka kwenye mkoba wake na anagawa kinyume cha Katiba.
Mtu kama Lema from no where anaibuka na kupewa ujumbe wa kamati kuu na kuanza dharau kwa waliokijenga chama, kisa tu kaongea vizuri na Mtei!!!
​ccm ndio role model yenu?Kimsingi hakuna chama kisafi wala hakuna msafi wa kumnyooshea mwenzake kidole...hata CCM ipo madarakani kwa kudra tu.
​kitu imetulia wewe tu!dada wewe ni mwandishi mzuri sana, lakini linapofika jambo la Chadema sijuhi fahamu huwa inakutoka ama nini?
sasa kama huu uzi, sijuhi unaishauri Chadema, au unaionya? au unaicheka?, hebu jaribu kutuliza mihemko ya matukio yanayotokea , chukua muda wako na uandike kitu cheme maana na chenye kueleweka
Mkuu Mwali, nimekusoma kwa makini, huku nikitafakari na kujiuliza, hivi kweli viongozi wa Chadema huwa wanasoma mawazo kama haya?!.
Pasco.
Uchaguzi ni mwaka 2014 kikatiba. Kiherehere cha uchaguzi sasa hivi wa nini? Ni wana CDM watakaoamua kama ni muafaka kwa chama chao kufanya uchaguzi mwaka huu, 2014 au la. Wataamua kinachofaa kwa chama na mustakabali wa taifa.What made people believe in Chadema was the genuine reapect of democratic rules they set up from the begining. I really admired them when they went on primary elections.
Unfortunately as time goes, democratic values are progressively replaced by selfishness. Chadema is so intrinsically tangled into undemocratic scandals at this point that the mere mention of a democratical process threatens its leaders. Financial accountability, democratical elections, representing the people's agenda etc. Even pointing out these dark spots is in itself an anti-Chadema behavior.