Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
JF imekua sasa jukwaa la ndondi ambapo viongozi wa chadema wanagombana kwa maneno, kwa kuchafuana, wakidhani ku-convince opinion ya mashabiki wao jukwaa la siasa ndio tayari wananchi na taifa wamewakubali.
Viongozi wa Chadema wanatumia muda mwingi na resource za Chama kuchumia matumbo yao, then wanatumia resource zaidi kuficha uovu wao na kuwalipa mashabiki wao wakaeneze sumu mitandaoni dhidi ya wanachadema wenzao huku wakidai kua "wanasafisha chama", ndio maana hawawezi kudumisha demokrasia. Kusafisha kwenyewe hawasemi kutachukua muda gani na what are the criteria to this witch hunt!
Kwa mtindi huu (sorry, i meant kwa mtindo huu) sioni Chadema ikichukua uongozi in the next 100 years. Tukumbushane tu mambo kadhaa...
1. Chadema na financial management: PAC walisema vyama vikaguliwe. Viongozi wa chama hicho wakasema PAC imekurupuka wao wamesha kaguliwa. Baada ya uchunguzi ikaonekana walisema uongo hadharani. No apology or excuse, bali personalisation of the issue. Sio PAC tena ni Zitto. Mwigamba alisema vikao havizingatii agenda na viongozi hawapewi nafasi ya kuzungumzia maswala ya hela za ruzuku wala general financial management. Kapigwa mangumi na kusimamishwa uongozi, hoja imezimwa. Wanasema uchunguzi unaendelea hawawezi kulizungumzia.
2. Chadema na mitandao ya jamii: bavicha waliwachafua viongozi wa chadema mtandaoni. Walio mchafua slaa walifutwa. Walio mpamba slaa wakawa promoted na ndio imekua kazi yao inayo waweka mujini hapa: social media manager. Ofisi: jf! Mwigamba aliingia jf na ushahidi ku-blow whistle (maana alijua hakuna njia nyingine) kasimamishwa bila hoja hilo kuzungumziwa kabisa! Yeriko alikuja bila ushahidi hajachukuliwa hatua. Leo lema naye kaja na maneno yamekaa kama kisomo cha khanga (au taarab tuseme). Cd ile ile ya zilizo pendwa, bila ushaidi na bila maamuzi.
3. Chadema na misingi yao: chama kinajiita cha demokrasia ila ukileta mawazo mbadala unaitwa msaliti. Ukiuliza kuhusu uchaguzi unaitwa masalia. Ukihoji matumizi ya pesa wanasema umepandikizwa. Hakuna mechanism za checks and balance. Wanao set agenda ya chama ni watu sio zaidi ya 5. Hawaheshimu uongozi wa ngazi za chini na wanadai wanataka serikali ya majimbo.
4. Chadema na sera za wananchi: pesa za ruzuku, leta! Pesa za M4C leta! Michango ya wanachama, leta! Michango ya watu binafsi, leta! Kujigawia viwanja, wamo! Kujinunulia majumba ndani na nje ya nchi, wamo! Sasa wanataka posho na mishahara waongezwe! Wako tayari kufanya alliance na ccm kwa kulinda maslahi yao linapokuja suala la ruzuku! Watafanya hivyo hivyo ili kujiongezea posho na atakae pinga ataitwa msaliti, watasema anakataa sababu anazo nyingi, bila ushahidi wowote. Wanatumia nafasi yao kama wabunge kujipromote wenyewe.
5. Role model wa chadema ni ccm: wanalazimisha wanachama kuamini kua ccm ikifanya jambo basi rukhsa kwa kila chama. Kwanini wasikaguliwe? Mbona ccm haijakaguliwa. Mbona viongozi wanatumua vibaya per diem? Mbona vasco de gama nae anatumia vibaya. Mbona viongozi hawawekezi nyumbani, wananunua majumba nje? Eti ccm nao wapo kama hao. So what? If you are a mere copy paste of ccm how are you an alternative???
6. Chadema na dharau kwa wanachama: hatuwezi kuitisha uchaguzi sababu tunataka kwanza kusafisha chama. Kwanini hamkusafisha kabla muda wa uchaguzi haujafika? Kalenda ya huo usafi ni lini hadi lini ili wanachama wajipange? Kuna viongozi wasaliti ila hatuwezi kuwataja: kwanini? Mnawaona wanachama wajinga and undeserving of knowledge? Kama mtu kama lema aliweza kuona na kuelewa basi hata mtoto wa primary ataelewa (nimetaja primary makusudi kabisa).
7. Chadema na sera za wananchi: mara ya mwisho hawa viongozi ambao sio wasaliti walileta agenda yenye sera za kitaifa ni lini? Agenda ambayo inamanufaa kwa nchi na sio kwa chama chao? Wabunge wao inabidi wapeleke hoja kama hoja binafsi na kulisimamia wenyewe maana imeshindikana kabisa kuomba support ya chama kwa mambo yasio ya manufaa ya chama, na chama ni cha familia mbili. Ya first lady na mume wake, na ya mkwe wa mwanzilishi. Bow or die. Kila ukiskia CHADEMA kwenye magazeti ni sababu wana zungumzia mambo yao ya ndani ya chama (most of the time schandals). Never about wananchi. Na ikitokea mmoja achukue agenda ya maji, au ya ardhi ya wananchi wake basi wananongonezana kua anatafuta sifa. Wanao beba agenda za kitaifa ndio kabisaaaa wanasema ni agenda ya ccm. Kumbe wanajua ccm ndio taifa?
Anyway, najua walio na macho hawaambiwi tazama. Chadema has the potential to be an alternative to ccm ila kwa tunayo yaona siku baada ya siku tunakua na doubt. Na wanao wasaliti wanachama si wengine bali ni baadhi ya viongozi. Bahati mbaya hawawezi kuondolewa maana wamesha sitisha uchaguzi na wamebadilisha na katiba!
God protect Tanzania from such leaders!