Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Mamlaka yote ya maamuzi ndani ya chadema yako kwenye mkoba wa Mzee Mtei.

Yeye ndio anachagua nani ampe cheo. Mtu yeyote anayeongea kitu tofauti na anavyotaka Mtei huitwa msaliti kwa sababu lengo la kumpa cheo hicho ni kulinda matakwa ya mtei.
 
This blue-on-blue Chadema thing inundating the political airwaves is so unhealthy for democracy and the well being of this Nation. I sometime wish I had that magic wand just to shake the in-fighting away. It's a worrying prospect to imagine what and where the Nation would be without strong opposition parties like Chadema.
 
dada wewe ni mwandishi mzuri sana, lakini linapofika jambo la Chadema sijuhi fahamu huwa inakutoka ama nini?
sasa kama huu uzi, sijuhi unaishauri Chadema, au unaionya? au unaicheka?, hebu jaribu kutuliza mihemko ya matukio yanayotokea , chukua muda wako na uandike kitu cheme maana na chenye kueleweka

Nainyoa na naicheka! Naamini chadema haiwezi kubadilishwa na wanao ipaka mafuta. Wakifanya vizuri nitawapongeza ila kwa njia hii wanao ichukua ya kuchafuana wenyewe kwa wenyewe kuliko hata ccm inavyo wachafua wanaelekea kubaya.
Chadema wamekua chama reactuinary. Wengine waanzishe agenda wao wanabaki kujitetea. Chama cha upi zani should set and leaf the agenda kwa maslahi ya wananchi. Ila hiki chama kimekua ndio chama cha mipasho.
 
This blue-on-blue Chadema thing inundating the political airwaves is so unhealthy for democracy and the well being of this Nation. I sometime wish I had that magic wand just to shake the in-fighting away. It's a worrying prospect to imagine what and where the Nation would be without strong opposition parties like Chadema.

What made people believe in Chadema was the genuine reapect of democratic rules they set up from the begining. I really admired them when they went on primary elections.
Unfortunately as time goes, democratic values are progressively replaced by selfishness. Chadema is so intrinsically tangled into undemocratic scandals at this point that the mere mention of a democratical process threatens its leaders. Financial accountability, democratical elections, representing the people's agenda etc. Even pointing out these dark spots is in itself an anti-Chadema behavior.
 
Mm naomba kama watu wamekosa cha kuandika wakae kimya maana sasa mmezidi au ndo wale mnaotumwa ktk harakati za kudhoofisha cdm,
mbona hayo mapungufu uliotaja na mengine meng yapo ccm na ni mazito kuliko hata ya cdm ila huyasemi ukizingatia ndo yametufikisha hapa kuganga umaskini kila cku.
Ni bora tungeunganisha nguvu kuyasemea ya chama tawala maana ndo yanayoyumbisha nchi kila kukicha.
Ya cdm ni mapito/changamoto za kawaida hata kwenye ffamilia zipo hasa ukizngatia ya cdm yanatengenezwa na wasioitakia mema 2015.

Ya chama tawala yapo wazi na yanasemwa kila siku humu. Nina imani sana na wana jf linapo kuja swala la kukosoa ccm. Bahati mbaya sioni mabadiliki upande wa ccm.
Swali ni: chadema ikifanya makosa tukae kimya tu? Lazima tuseme maana at least chadema bado chama kibichi kikipinda tunaweza kukinyo'osha. Lazima tuseme.
 
halafu ishu kama ni 'kufanya fitna tu za siasa'
zipo mbinu smart na kisomi za fitna
but sio watu kama Lema wanavyofanya...
ni kama CHADEMA na Yanga na Simba hawana tofauti
fitina za kitoto za kishamba na ambazo huoni 'shule wala political talent ya mtu'
ila unaona tamaa na fear za kushangaza

mtu smart huwezi kwenda hadharani kutetea posho na kumpinga anaepinga posho..
this is absurd to say the least

Wanajiita wanasiasa siasa yenyewe inaishia ndani kwa ndani ya chadema.
Mara ya mwisho Lema alienda bungeni na kubadilisha sheria kwa manufaa ya wananchi ni lini? Haya, hata kama hakuibadilisha, hata kusimamia tu hoja bu geni, mara ya mwisho lini?
Bora hata mbunge kama Mnyika angeomba posho maana jina lake lipo katika top ten wachangiaji bungeni na agenda yake kuhusu maji au kupinga sim card tax inaeleweka.
Hili la posho illustrates the mindset of some of this party's leaders. Bahati sio msimamo wa chama.
 
Mwali wewe ni pro Zitto, ndoto zako ni kumuona Zitto kawa Mwenyekiti wa Chadema kwa udi na uvumba na hata ikibidi kufukua Mzimu wa Nyerere na nani sijui ili wale wasaidie jamaa kuwa Mwenyekiti na hatimaye awe Rais/Rais? au kuiuwa Chadema? Sijui! Ila ni moja kati ya hayo. Katika hiyo vita ya kuwa Rais wa JMT/ kuiuwa Chadema au kuwa Mwenyekiti/Katibu Mkuu wa Chadema, adui Mkubwa hapo ni Mbowe na Slaa. Slaa hasa ndiyo anakuwa Mzizi mkubwa kwa sababu ni SMART sana na labda zaidi ya ambavyo mlitegemea na sababu ni ndogo sana - Jamaa ni Ex-Padre, kichwa sana.

Zitto ni mfano mwingine wa wazi kabisa wa Dr Dr Dr Dr ambaye alipandishwa kwa misifa kibao na kupakwa kila aina ya urembo hadi akarembeka na kila aliyejaribu kumgusa, alinyamazishwa kwa pesa au nguvu. Leo hii tumeyaona na wengi ndiyo wanajuta kuwa ni heri angelikuwa Mwaarabu Saalim A Saalim.

Mwali, ntasoma sana makala zako na nimesoma makala nyingi ila ukweli unabaki wazi kuwa wewe ni Pro-Zitto. Kibaya zaidi ni kuwa ndiyo kwanza unamchafulia badala ya kumjenga. Kila mtu sasa ataanza kuona kuwa Zitto yeye anasema hapana ila watu wake pembeni wanasema ndiyo. Kwanza haka ka mchezo ka Mult ID, hujui hata nani anaandika na labda ni yuleyule aandika na kujijibu. All in all, wewe si mshauri mzuri wa CHADEMA kwa hali ya sasa kwani umesimama sana upande wa Zitto/Nzoka/CCM/Denis Msaki.
 
Wanajiita wanasiasa siasa yenyewe inaishia ndani kwa ndani ya chadema.
Mara ya mwisho Lema alienda bungeni na kubadilisha sheria kwa manufaa ya wananchi ni lini? Haya, hata kama hakuibadilisha, hata kusimamia tu hoja bu geni, mara ya mwisho lini?
Bora hata mbunge kama Mnyika angeomba posho maana jina lake lipo katika top ten wachangiaji bungeni na agenda yake kuhusu maji au kupinga sim card tax inaeleweka.
Hili la posho illustrates the mindset of some of this party's leaders. Bahati sio msimamo wa chama.


Lema bila vurugu hawezi 'kuonekana'
kwenye vurugu ndio 'anaonekana'
so zikikosekana vurugu inabidi azianzishe i guess
 
Chadema chama changu pendwa kimeanza kupoteza mwelekeo, kila kiongozi anajifanya ni mzalendo kwenye chama kuliko mwenzake! Majungu,unafiki,usaliti, na uzandiki vitakisambaratisha chama hiki! Ni muhimu chama hiki kikatumia vikao kuliko media katika kukosoana!
 
Mamlaka yote ya maamuzi ndani ya chadema yako kwenye mkoba wa Mzee Mtei.

Yeye ndio anachagua nani ampe cheo. Mtu yeyote anayeongea kitu tofauti na anavyotaka Mtei huitwa msaliti kwa sababu lengo la kumpa cheo hicho ni kulinda matakwa ya mtei.
Huwa nawatahadharisha sana vijana, watulize akili na kutafakari, haya mambo ya kufata fata mkumbo ndio wanajikuta washaangukia mikononi mwa MTEI, huku wakijinasibu kuwa wao ni wanachama wa CHADEMA.
 
Huwa nawatahadharisha sana vijana, watulize akili na kutafakari, haya mambo ya kufata fata mkumbo ndio wanajikuta washaangukia mikononi mwa MTEI, huku wakijinasibu kuwa wao ni wanachama wa CHADEMA.
Tatizo la vijana wa chadema wamejitoa ufahamu wameshindwa kabisa kupigania kupinga haya mambo ya ubaguzi ndani ya chadema badala yake wanacheza ngoma ya ubaguzi inayopigwa na wazee waliojipanga kukaa kwenye uongozi milele.
 
Chadema chama changu pendwa kimeanza kupoteza mwelekeo, kila kiongozi anajifanya ni mzalendo kwenye chama kuliko mwenzake! Majungu,unafiki,usaliti, na uzandiki vitakisambaratisha chama hiki! Ni muhimu chama hiki kikatumia vikao kuliko media katika kukosoana!

Kilichopoteza mwelekeo na mvuto ni chama Cha kutetea waua tembo,vipi kuhusu vipande 700 vya meno ya tembo
 
Kinacho iandama Chadema ni kupambana na mafisadi,wauwa tembo,majizi ya EPA,majizi ya Richmond,tumeshuhudia meno 700 ya tembo,muhusika katajwa?

Hapana CHADEMA inachafuliwa na vijana wasiojitambua waliomo ndani ya chama, kwa sasa chama kinatakiwa kujinyumbulisha upya na kuwa makini na watu wanaopimana mbavu ndani ya chama, uliyosema ni visingizio tu
 
Sikonge

Ndugu yangu mbona unarudi na tactics zile zile za kupotosha ideas and concepts?

Mi sijawahi kua member wa chadema na sijawahi sema kua mimi ni mwana chadema. Nataka kuona mabadiliko. Kila unaposoma post yangu kaa na hili kichani: sitetei mtu, sitetei chama. Natazama maslahi ya watanzania. iwe posho, ruzuku, utoroshaji wa ushuru etc, yote ni agenda zenye maslahi. Ukiona jina la zitto linajirudia ni sababu he leads those process. Siku mngine akilead nae atatajwa, full stop.

Mimi sio pro-Zitto ila nakubaliana na mengi sana anayo yafanya. He might not be perfect ila Kwa mtu wowote anae taka mabadiliko ni rahisi kumsupport, irrelevant of chama, social status, education, dini, kabila, na mengine yanayo tutenganisha. Hana siasa za fingerpointing, anapiganisha misingi mibovu na kubadili system, not people. Anafata misingi ya chama alicho jichagulia mwenyewe. (Mtu asipofata misingi ya chama chake atafataje misingi ya nchi?) Sijawahi mskia katika siasa za kuchafuana au za kuwekeana sumu.

Siasa ni struggle for power na kila mwanasiasa anataka madaraka. Either collectivelly (chama kipewe madaraka) or personally (yeye apewe madaraka). Kuna wanao tumia nguvu za uma kuonesha they deserve to be trusted. Kuna wanao tumia nguvu za chama chao. Kuna wanao tumia public image. Kuna wanao beba agenda za population, kuna wanao tumia agenda za wanasiasa wengine. Wapo watakao tupilia mbali personal valuea na party values na kujiunga na mafisadi ili ky-protect their pisition and income. Ndio unataka tuwajadili hawa?

Muhimu ni population kua makini na kuhakikisha wanampa support mwanasiasa anae ambatanisha personal motivation yake na maslahi ya wananchi. Wapo wengi ambao personal ambition haipo aligned na maslahi ya wananchi, na hawa ndio kikwazo cha mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:
Acha uzushi wewe!!!! Ndani ya CHADEMA hakuna makundi kama yaliyomo ndani ya chama chenu cha wauza unga.
Na haya je?
1. Kundi la walisha watu sumu wakiongozwa na lwakatare,ben sa8
2. Kundi la wamwagia watu tindikali under henry kileo
3. Kundi la walipua mabomu chini ya lema
..kundi la slaa
...kundi la mbowe
...kundi la zito aka prezo
 
Mbowe anampa Kiburi LEMA..
Mlikuja na mbinu za ukabila zikagota! Mkabuni ile ya ukanda, ikayeyuka! Mkaparamia udini, haukulipa! Mkaibua ugaidi, ukawarudi wenyewe! Sasa mnapiga mayowe ya demokrasia! Mbinu hii nayo imeanza kuwarudi!! Sasa mnatapatapa mithili ya vifaranga wanaopigwa na mvua kali wakati mama yao akiliwa na kimbulu! Je baadaye mtakuja na mbinu gani tena?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom