KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
kuwa ZITTO ni tatizo?
May be matendo yake anayofanya kwa kificho ndo tatizo,
kuwa ZITTO ni tatizo?
ameni baba, ila yote haya yana mwisho simpend chief mnafiki mkuu kunasiku nilikutana naye mirambo50 kwenye ofisi ya rostam sijui alifata nini.
huu wimbo wa "KUELEKEZA NGUVU VIJIJINI' mbona unajirudia sana, sababu za mipango hiyo kukwamba ni nini, au ukihoji na hilo utaitwa MSALITI?
Chadema haiyumbishwi na wasaliti bali wasaliti wanayumbisha watanzania,
Wembe tunaomnyolea ccm, ndio huohuo tutakao wanyolea wasaliti hawa,
Watakaoua chama ni wasiotaka uchaguzi na mawazo tofauti ndani ya chama.
ameni baba, ila yote haya yana mwisho simpend chief mnafiki mkuu kunasiku nilikutana naye mirambo50 kwenye ofisi ya rostam sijui alifata nini.
Wewe ugonjwa wako ni kuamini tu wasaliti wanatumwa na CCM, hili ndilo jambo litakaloiua CHADEMA kilaini sana, mnaacha kuyafanyia kazi madai ya watu wanaopigania UWAZI ndani ya CHAMA mnaendeleza tabia ya kuwa VIBARAKA wa wachache ndani ya CHAMA na kuwabambika wenzetu waliowafikisha hapo mlipo majina ya USALITI, dhambi hiyo itawatafuna sana.
...nenda msalani kwanza kanawe ndo uje kuchangia hoja za watu wenye akili...CHADEMA kwa majungu! Mmejiandaa kuchukua nchi gani?
hakika hili kundi la MBOWE, SLAA, BEN SAANANE, LEMA na wenzao litaaibika sana, sijui ni kwa nini hawataki kusikia changamoto ndani ya CHAMA.
msipoangalia hata 2015 hamtafika.
Wewe ugonjwa wako ni kuamini tu wasaliti wanatumwa na CCM, hili ndilo jambo litakaloiua CHADEMA kilaini sana, mnaacha kuyafanyia kazi madai ya watu wanaopigania UWAZI ndani ya CHAMA mnaendeleza tabia ya kuwa VIBARAKA wa wachache ndani ya CHAMA na kuwabambika wenzetu waliowafikisha hapo mlipo majina ya USALITI, dhambi hiyo itawatafuna sana.
Kumbe mambo aliyoyasema Mwigamba ni kweli, maana kuna mahala amenukuliwa Lema akisema" Komputa yake mpakato(Laptop) ilikutwa na mambo megi mazito na kama yangeachwa yakasambaa chama kingekuwa na hali mbaya kuelekea 2015"
Sasa nataka kujua ni mambo gani hayo mabayo yangeleta hali mbaya?
Kwanini yasisemwe ili kuyasafisha sasa yasilete madhara miaka 10 ijayo?
Kwanini yafichwe kama chadema ni chama safi?
Ina maana kuna mabo mengi mabaya yamefanywa na kina Mbowe,Slaa na Lema zaidi ya haya yaliyofumuka?
Naomba majibu.
lakini tukubali ukweli Lema ni mpambanaji hasa,hebu kwa miaka ya karibuni mlinganishe Zitto na Lema,nani anazunguka kukijenga chama! acha ushabiki....
Asitafutwe Mchawi, CHADEMA inauwawa na kukosekana kwa UWAZI ndani ya Chama, Udikteta, Imani potofu kuwa chama ni cha kundi fulani pamoja na baadhi ya wanachama kupigwa upofu kuwa SLAA na MBOWE ni miungu watu na hawana makosa.