Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

Finally, someone discussing the topic and not people!

thank!
Lema anapo zungumzia maswala ya posho kuongezwa kwenye vikao vya chama ni kwa maslahi ya walio wachangia ku-organise hicho kikao?

hiyo haiwezi kumpa mtu hitimisho kuwa viongozi wa CDM hutumia muda na resource nyingi kuchumia matumbo yao. tujadili liliopo badala ya kugeneralise mambo. kwa asiyejua anaweza kudhani viongozi hao no corrupt kiasi hicho. you may rephrase your haste conclusion.

if only they could aply this wisdom to all affair, and display some understanding wanapoambiwa hivo! Na mbona double standarda? Mengine yanazungumziwa bila uchunguzi ila yanao waponza lazima yachunguzwe.

natamani ungeweka mfano bidada, at most two conrete examples with evidence.

Inawasumbua zaidi wanachadema kuliko hao watabiri wa nje. Chama cha demokrasia, inakuaje mawazo mbadala yanajafiliwa magazetini na mitandao ya jamii, kwa kutumia insinuations au majina bandia, wanashindwa kuyajadili vikaoni?

wanaopeleka huko ndo hao wanafiki na wasaliti. mambo ya chama hujadiliwa kwenye vikao halali. ndo maana wanafanya uchunguzi kabla ya kulizungumzia. mfano, hivi mwigamba alishindwa kutoa mawazo yake hayo ya kujenga chama vikaoni hadi awe nyuma ya fake ID kwenye mtandao?

Hili la posho linauma sana maana linaonesha watu wanataka posho ili wao KWANZA waanze kufaidi. Na wanao pokea, wanao kataa, wanao lead kwa example wanajulikana. Not everybody is expected kukataa posho kwa sasa ambapo bado ni kanuni la bunge, ila tunategemea kuwaona wakipinga raise.

hujajibu hoja: serikali ya nyinyiem imeshindwa kuwachunguza na kuwashughulikia mafisadi wa CDM?

. Never mind kaka. Elimu yangu ni ya kawaida sana, average tanzanian. Ndio maana naweza kujilinganisha na any illeterate. Kama yeye kaelewa kwanini mimi wa kawaida kabisa nisielewi?

asante mkuu. so do i

Nani anaedelea hiyo agenda tangu yeye kuachana na ubunge? The only example of collective strugle dates waaaay back wataendelezaje ajenda wakati CDM haijashika dola? sera hizi ni miongoni mwa zile zilizonadiwa ili CDM iingie mkataba na wanchi kuiongoza nchi. CCM ikashinda, na serikali inafuata sera zilizomo kwenye ilani ya ccm.

I can't stop doubting politicians. Sio ndugu zetu. Na political parties ni kundi la polititians. Nisipo doubt nitakua kondoo ninae pelekwa machinjioni. Kudoubt na kujiridhisha ni muhimu kwa manufaa ya nchi na kwa manufaa ya kudumisha siasa zenye kutetea maslahi ya wananchi.
"Chadema has the potential to be an alternative to ccm ila kwa tunayo yaona siku baada ya siku tunakua na doubt."
kwa uelewa wangu mdogo nilidhani you are among those who never doubted CDM before witnessing what happens recently.
 
I always keep my mind open, esp. With politicians. As I said wana agenda yao ambayo sometimes ni agenda ya wananchi but sometimes ni agenda yao binafsi au agenda ya kukipandisha chama chao to the expences of their partisans.
Kila mwana siasa ana sura hizo mbili. Kila chama kina sura hizo mbili. Chadema represented hipe, and to some extent it still does. But the dark side is overshadowing what they have realised so far.
Lazima wachukue hatua sasa. Waache hayo ya kusema "tunasafisha chama" bila kuwahusisha wana chama. What are the criteria? When does this start? Where does it end?
People will not wait for them to put their house in order. If they don't do it fast watu watatafuta a new alternative.
 
Kumbe mambo aliyoyasema Mwigamba ni kweli, maana kuna mahala amenukuliwa Lema akisema" Komputa yake mpakato(Laptop) ilikutwa na mambo megi mazito na kama yangeachwa yakasambaa chama kingekuwa na hali mbaya kuelekea 2015"
Sasa nataka kujua ni mambo gani hayo mabayo yangeleta hali mbaya?
Kwanini yasisemwe ili kuyasafisha sasa yasilete madhara miaka 10 ijayo?
Kwanini yafichwe kama chadema ni chama safi?
Ina maana kuna mabo mengi mabaya yamefanywa na kina Mbowe,Slaa na Lema zaidi ya haya yaliyofumuka?
Naomba majibu.
 
you are at the centre of the game awaiting for your political credit or loose
 
Kumbe mambo aliyoyasema Mwigamba ni kweli, maana kuna mahala amenukuliwa Lema akisema" Komputa yake mpakato(Laptop) ilikutwa na mambo megi mazito na kama yangeachwa yakasambaa chama kingekuwa na hali mbaya kuelekea 2015"
Sasa nataka kujua ni mambo gani hayo mabayo yangeleta hali mbaya?
Kwanini yasisemwe ili kuyasafisha sasa yasilete madhara miaka 10 ijayo?
Kwanini yafichwe kama chadema ni chama safi?
Ina maana kuna mabo mengi mabaya yamefanywa na kina Mbowe,Slaa na Lema zaidi ya haya yaliyofumuka?
Naomba majibu.

Ala ndio analysis yako hiyo kuwa na mambo mengi kwenye komputa mpakato ndio chama kimekufa let it all tuambie zaidi muheshimiwa
 
If you are a mere copy paste of ccm how are you an alternative???

Noted with Thanks...
Ndo maana intuition yangu inaniweka mbali na siasa nowadays... I see nothing new
 
Kimsingi hakuna chama kisafi wala hakuna msafi wa kumnyooshea mwenzake kidole...hata CCM ipo madarakani kwa kudra tu.

Yale yale. Mwali anasema,

5. Role model wa chadema ni ccm: wanalazimisha wanachama kuamini kua ccm ikifanya jambo basi rukhsa kwa kila chama. Kwanini wasikaguliwe? Mbona ccm haijakaguliwa. Mbona viongozi wanatumua vibaya per diem? Mbona vasco de gama nae anatumia vibaya. Mbona viongozi hawawekezi nyumbani, wananunua majumba nje? Eti ccm nao wapo kama hao. So what? If you are a mere copy paste of ccm how are you an alternative???

Dakika nne tu baadae unayarudia yale yale. Nna uhakika kwa dakika nne tu uwe umeisoma post ya Mwali na umeweza kuijibu ni muujiza au simply hujaisoma na umekurupuka.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Mtei ameshikilia madaraka kwenye mkoba wake na anagawa kinyume cha Katiba.

Mtu kama Lema from no where anaibuka na kupewa ujumbe wa kamati kuu na kuanza dharau kwa waliokijenga chama, kisa tu kaongea vizuri na Mtei!!!

lakini tukubali ukweli Lema ni mpambanaji hasa,hebu kwa miaka ya karibuni mlinganishe Zitto na Lema,nani anazunguka kukijenga chama! acha ushabiki....
 
Wote tunajua kuwa mapambano yoyote ya kujikomboa huwa hayakosi vikwazo, au wapinzani wa Mapambano hayo wawe wa kutoka ndani au nje ya kundi linalopambana! Wakitoka ndani ya kundi ndo wanaitwa wasaliti. Lakini katika Historia wasaliti hawajawahi kuzuia dhamira ya mapambano isitimie kwa wakati! Chadema ilipofikia na mapambano yalipofikia haina haja ya kuhofia wasaliti, inayo nguvu na uwezo wa absorb shock zitakazoletwa na msaliti wa aina yoyote! Ziko namna za kudeal na wasaliti kwa calculations ili kupunguza risk na impact yake kwenye Chama, lazima ujue hao unaowaita wasaliti nimwatumishi wa kambi nyingine iliyokinyume na Chadema either kwa kujua au kwa kutokujua, kwahiyo Chama lazima kiwe na busara ya kudeal nao. Lazima ujue msaliti huwa anasura mbili sura inayoonekana nje siyo ya kisaliti anaonesha sura malaika lakini ndani ni umbwa mwitu, na hivyo baadhi ya watu hao huwa ni watu wenye ushawishi kwenye jamii lakini ndani yao ni wasaliti wakubwa, kwahiyo lazima chama kiwe na busara namna ya kudeal na wasaliti, wasaliti hawataisha kwenye taasisi yoyote, na pengine siyo wote watakaondolewa au hata kugundulika na wasaliti wengine hawatakiwi kuondolewa kwenye chama kabisa kwasababu kuwabakiza na kuwanyima mazingira ya kuondoka ni mkakati pia wa ushindi kwa dhamira ya ukombozi. Na Hapa nitaomba with all due respect nitofautiane na Kiongozi wangu Mh. Godbless Lema, Chadema haiwezi kuacha ku-pursue cause ya mabadiliko na ikaazisha vita ya wenyewe kwa wenyewe eti ya kupambana na wasaliti, hatuna sababu ya kufanya hivyo wala si busara kufanya hivyo! Wasaliti hawajaizui Chadema kujenga Chama na kuendelea kujiimarisha vijijini na mijini, katika kipindi chote baada ya uchaguzi mkuu 2010 Chadema imepiga hatua kubwa na imejenga imani kubwa sana kwa wananchi siyo kwamba wasaliti hawakuwepo, wasaliti wanapaswa kuwepo washuhudie dhamira ya ukombozi ikitimie mbele yao, hatuna sababu ya kuanzisha vita na wasaliti, wakati nguvu hiyo tunaweza kuitumia kuingiza maelefu ya wanachama wapya wanaoisubiri chadema vijijini na hawajafikiwa! Mimi naamini Godbless Lema ni mtu ambaye ni positive thinker sana ila kwa hili la wasaliti approach yake ni destructive kwa mustakabali wa Chama na itatuchelewesha kutimiza dhamira yetu ya Ukombozi. Na yeye kama mjumbe wa kamati kuu amepotoka kuongelea maswala nyeti ya Chama kwenye mitandao! Nashauri atumie vikao husika ambavyo yeye ni mjumbe kutoa maoni yake. Mwisho nitoe wito kwa wapenzi na wanachama wa Chadema na wapenda mabadiliko wote kuwa Chadema iko imara, Chadema haina hofu na wasaliti, Chadema imejipanga kuchukua dola 2014/2015!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
 
frema120 nikweli hakuna mtu anapenda kuishi na msaliti, lakini usipokuwa makini kazi ya msaliti moja wako ni kukuondoa kwenye dhamira, kwahiyo mnaweza mkajikuta mnatimiza malengo yao badala ya lengo la chama! Wito wangu tusiwe paranoid na wasaliti tukasahau jukumu letu la ukombozi!
 
Last edited by a moderator:
umenena mkuu nafikiri wazo lako litawafikia viongozi wetu, tuwapuuze hawa watu tuendelee na safari ya ukombozi
 
Siku hazigandi yote haya yatamea vema na kila mtu atashuhudia kwa macho na masikio yake.
 
Katika siasa kuna kitu kinaitwa Itikadi. Itikadi ni Imani inayowaunganisha Wanachama. Itikadi au Imani huwa inaambatana na kubeba tabia fulani mahsusi kwa wenye imani husika hii ni pamoja na mavazi, namna ya kuongea maneno, n.k. Ndio maana ni rahisi sana kumjua Mkatoliti, Msabato, Mlokole, Msuni, Mshiha, Muanswar kwa just kuangalia tabia zake na mwenendo wake tu.

NCCR-Mageuzi ilikufa kwa sababu ya tabia mbili mbaya kubwa kwanza kujipendekeza kwa mwenyekiti (Wakati huo Lytonga Mrema) pili kumwita Marando Shushu ili kumfitinisha na Wanachama wake pamoja na Watanzania kwa ujumla wakati ule.

Baada ya NCCR kufa wahafidhina walewale waliokubuhu kwa fitina walihamia CHADEMA ambapo leo tuna watu kama akina Godbless Lema, Joseph Selasini, Tundu Lissu, Peter Msigwa, Suzan Kiwanga, na wengineo.

Nimefuatilia migogoro mingi inayoanza kufukuta ndani ya CHADEMA kwa sasa na nimegundua waasis wake ni watu walewale waliosimamia migogoro ndani ya NCCR na TLP.

Mfano, katika swala la Mwigamba huko Arusha aliyeanzisha hoja ni Lema hoja ikaungwa mkono na Selasini kisa alisemwa ni M/Kiti. Sasa wanasimamia kuchochoa mgogoro kati ya M/Kiti wa CHADEMA na Naibu Katibu Mkuu wake wakimaliza kama Chama bado kitakuwa hai watakuja kuchochea kati ya M/Kiti na Katibu Mkuu wake. Maana itikadi yao ya utotoni kwenye siasa ni fitina, majungu na kujipendekeza kwa njia ya migogoro.

Mtu hata akisilimu imani yake ya utoto hawezi kuiacha yote kabisa hata awe muislam au Mkristo. Tuwe makini na watu hawa maana ndani ya CHADEMA wameshabahatika kupata madaraka na fedha kwa hiyo hawamwogopi wala kumheshimu yoyote.
 
Watakaoua chama ni wasiotaka uchaguzi na mawazo tofauti ndani ya chama.
 
Huu ni ubaguzi.Kila mwanachama ana haki ya kutoa maoni bila kujali historical background yake kisiasa
 
Mkuu nimekupata na nakubaliana nawe. Barabara mrefu hakosi kona. CDM take care.
 
Tusonge mbele na tutashinda vita hii.Traitor atapimiwa kipimo kile kile tunachowapimia CCM
 
Katika siasa kuna kitu kinaitwa Itikadi. Itikadi ni Imani inayowaunganisha Wanachama. Itikadi au Imani huwa inaambatana na kubeba tabia fulani mahsusi kwa wenye imani husika hii ni pamoja na mavazi, namna ya kuongea maneno, n.k. Ndio maana ni rahisi sana kumjua Mkatoliti, Msabato, Mlokole, Msuni, Mshiha, Muanswar kwa just kuangalia tabia zake na mwenendo wake tu.

NCCR-Mageuzi ilikufa kwa sababu ya tabia mbili mbaya kubwa kwanza kujipendekeza kwa mwenyekiti (Wakati huo Lytonga Mrema) pili kumwita Marando Shushu ili kumfitinisha na Wanachama wake pamoja na Watanzania kwa ujumla wakati ule.

Baada ya NCCR kufa wahafidhina walewale waliokubuhu kwa fitina walihamia CHADEMA ambapo leo tuna watu kama akina Godbless Lema, Joseph Selasini, Tundu Lissu, Peter Msigwa, Suzan Kiwanga, na wengineo.

Nimefuatilia migogoro mingi inayoanza kufukuta ndani ya CHADEMA kwa sasa na nimegundua waasis wake ni watu walewale waliosimamia migogoro ndani ya NCCR na TLP.

Mfano, katika swala la Mwigamba huko Arusha aliyeanzisha hoja ni Lema hoja ikaungwa mkono na Selasini kisa alisemwa ni M/Kiti. Sasa wanasimamia kuchochoa mgogoro kati ya M/Kiti wa CHADEMA na Naibu Katibu Mkuu wake wakimaliza kama Chama bado kitakuwa hai watakuja kuchochea kati ya M/Kiti na Katibu Mkuu wake. Maana itikadi yao ya utotoni kwenye siasa ni fitina, majungu na kujipendekeza kwa njia ya migogoro.

Mtu hata akisilimu imani yake ya utoto hawezi kuiacha yote kabisa hata awe muislam au Mkristo. Tuwe makini na watu hawa maana ndani ya CHADEMA wameshabahatika kupata madaraka na fedha kwa hiyo hawamwogopi wala kumheshimu yoyote.

Asitafutwe Mchawi, CHADEMA inauwawa na kukosekana kwa UWAZI ndani ya Chama, Udikteta, Imani potofu kuwa chama ni cha kundi fulani pamoja na baadhi ya wanachama kupigwa upofu kuwa SLAA na MBOWE ni miungu watu na hawana makosa.
 
Back
Top Bottom