Yaani kuwa MC ni ujanja janja anaiba nini? Sababu wote watapandisha bei na mwisho wa siku Kodi ya ukumbi na ya MC atailipa mwenye sherehe. litendee haki fuvu hiloTatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria ya nchi bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa