wanandoa badilikeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanandoa badilikeni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chauro, Oct 25, 2010.

 1. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  :crying:weekend hii niliamua kuzungukia viwanja mbalimbali kwa ajili yakuona yanayojiri mjini hapa lakini katika mambo yaliyonivuta ni jinsi watu niliwaona wametoka vijana ambao hawajaoa au ambao walikuwa wametoka kama groups walinifurahisha sana sasa ukija kwa wale waliokuwa mke na mume mara mume yuko busy na simu kageukia upande mwingine au wako kama wanasikiliza mahubiri hivi huwa mkiwa pamoja ndo kuweka heshima au kunakuwa hamna habari za kuelezana hembu nisaidieni kwa hili naamini kuna ambao wameshaona hili au wao wenyewe ndo wahanga
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mhhh....haya bwana.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  hehehehe hebu ingia huko ndani upate exprience na wewe
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  karibu tunavikwa medani niingie tena FL
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ngoja nikupe siri

  Mapenzi yanaishia pale altareni wakati ukikabidhiwa cheti cha ndoa.
  Mind you, cheti cha ndoa kina Nembo ya Taifa (BIBI NA BWANA) na wala si Msalaba, kwa maana kuwa kuanzia pale sheria iko kwenye mkondo!

  btw, ingia huko uyaone!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hivi unawezaje kujua kwa uhakika relationship status za watu kwa kuwaangalia tu?
   
 7. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndoa nyingi sana zinamatatizo na visababishi ni wanaume,hivi inakuwaje mwanaume anajua fika huyu ni mke wa mtu na wewe unamtokea?wewe unajua una mke iweje umtokee msichana tena kabinti kadogo? iweje wewe unagirl friend wako na bado unawatokea wengine? mimi bwana tatizo kubwa ni kina baba,hata wasichana wanao jiuuza,wanajiuza kwa sababu wanaume wapo wanao nunua
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapa naona pana kazi ina maana watu wanaoana kutimiza wajibu au ni kama fashion fulana ivi
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mtu mzima ukiwa makini hata kama utakosea kwenye couples mbili nyingine mbili utakuwa sawa we jaribu siku moja halafu utajipa majibu mwenyewe
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Ulitumia kigezo gani kuwatambua hawa ni wana ndoa au laa?

  Kumbe bado hujakua wewe. How old are little pupil?
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  asante mike lakini naomba kupingana na wewe kidogo sio wanaume tu ndo wana matatizo kuna kina mama nao we acha kabisa wako kama ulivoeleza hapa
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  umeoa/umeolewa??
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nimeoa....
   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  we bwana jibu swali niliwajuaje hayo mengine niachie mimi mi ni mtu mzima unajuaje kama nilikutana na couples kadhaa nazifahamu
   
 15. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  kweli wababa tatizo lakini nikisoma hapo juu
  tatizoooooooooo kubwa ni wadada/mama "kujirahisisha ovyo kwa wanaume"" mwanamke ukisema no asikwambie mtu ataishia kuchungulia bastola
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  chek kwenye trafiki jam;
  ukiona mwanume na mwanamke wamekaa tu kwenye gari bibi macho mbele bwana bize na mskan basi ujue ao wanandoa
  ukiona wanaongea ongea vicheeeko vingi basi ujue kampa lift kimada wake labda apo wanapongezana jinsi walivyopododoa jana
  ukiona stor nying bar mkono wa eva umeshikwa na adam mara kamlalia bega mara kamshka ndevu bas ujue ao wachumba au mtu na hawara yake
  ukiona bibie macho mbele bwana kashika gazet bar maongez mpk muhudumu aje that vp utaongeza basi ujue ao ni mtu na mume wake
  ukiona kwenye meza poch yake bwana kaishika ,miguu imewekwa juu ya mapaja ya bwana ujue uyu ana mke uyu ana mme bt wamemisi kufanya ayo manjonjo so wanafarijiana (ni wahanga wa mapenz mfu uko kwenye uhusiano wao)
  NI WACHACHE SANA WANAENDELEZA VICHEKO NA SHAMRA SHAMRA MAHABA AFTA MARRIAGE...............eeeh mola nsaidie mie manake dahhhhhh hatari!!!!!!
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua huyu ni mke na mume we angalia tu hata kwenye gari wakiwa wote Baba yuko busy na steering mama may be na simu then we angalia msichana na mwanaume asiye mume wake utakuta vicheko kibao wanasimuliana hili na lile. Unajua kwanini hili linatokea Mama au Baba anajua hana haraka ya kuongea na mwenzake nyumbani wataongea lakini ukikuta ni wa muda lazima wamalize kila kitu mle ndani ya gari so utagundua tuu kaka
   
 18. Zneba

  Zneba Senior Member

  #18
  Oct 25, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa umesema kweli kabisa rose sijui kwnin watu wakishaowana mapenzi yanapungua jamani me mpaka sometime naogopa hii kitu
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ulikuwa Uwanja wa fisi? Maana nacho ni kiwanja!
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  mmmmmh macho yako yanajua kukodoa eeeeeeeeeh!umeweza kuona yote hayo binti?
   
Loading...