mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Hahah wanaume wa mkoani noma sana aisee.Hamna cha wanaume wa mkoan bali mleta mada katoa kwa ushabiki na kuto pata ukweli wa habar hiyo na haikuwa pikipiki ya askar Bali ni waporaji wa boda boda ndo wenye hiyo pikipiki na walipigwa sana nusura ya kufa ndipo wakatokea askar na kuwaokoa