Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.

Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.

Aisee nchi inaelekea kubaya yaani hawaogopi hata bunduki, haya bashite na baba yako wanyonge hao wameanza kuchukua hatua na kujitambua
 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .

Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
Waombe nn sasa, kama ww ni polisi kumlinda raia na mali zake sio favor ya kuomba ni Obligation kisheria

Police force and Auxiliary act Cap 322, Section(5)(1)
Mnatumia kodi zetu na mnalipwa kutimiza jukumu hilo

Ni umasikini wa mafunzo na fikra kudhani kuwa unapomlinda mwananchi unampa favor na anastahili kuiomba.
 
Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
 
i second you mkuu!
 
Naungana nawewe mkuu, sio jambo dogo kutumia busara kama alivyofanya huyo polisi kwenye kadhia kama hiyo, inawezekana angefyatua risasi hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
Mkuu
tatizo la wabongo wanashindwaga kuelewa kuwa sio kila askari ni mbaya...
kama ingekua kuchukia askari tungechukia sisi ambao Tangu najitambua nyumbani kwetu sio wanajeshi,sio polisi wanatimba almost daily...
saa zingine wanakufanyia uonevu ,lakini naamini sio wote wabaya.

Hata hao wanaojiona wazuri wanaubaya wao .kuna wabakaji humo,walawiti wauaji nk

Hapo ndio wajifunze kuwa kuna askari sio wakorofi,pia askari nao ni watu miongoni mwetu, hii chuki tunajipandikiza wenyewe kwa kukosa maarifa
 
Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
Busara??? Mwenzake alimnyooshea Nape na mwingine alizirusha juu kwa Malima wako wapi hao?? Hii inaonyesha nchi isiyojali utawala wa sheria na katiba tutegemee kuona vingi zaidi ya hivyo
 
Hii nzuri tu.
Kuna wakati polisi wanaudhi wananchi, hizi ndo incertives wanapokea kutokana na matendo yao.
 
Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.

Kabisa! hakika huyu ni polisi aliyetukuka!
 
Katika muda mfupi na kwa maneno machache umeandika mambo makubwa na ya msingi sana kwa ajili ya amani, maendeleo na utulivu wa nchi.

Askari huyu aliongozwa na utashi wa hali ya juu sana. Nasikitika kwamba Watawala wa enzi hizi watamchukia sana huyu na kumuona hafai ktk jeshi la sasa kwa sababu kwa aina ya falsafa ya uongozaji inayoonekana kutumika sana kwa sasa alitakiwa kuwaua watu wale!

Kwa hali ilivyo sasa kwa wananchi huko uraiani huyu askari angefyatua hata risasi moja tu hewani huenda nduguze saa hizi wangekuwa wanaomboleza msiba wake huko kwao.

Nadikitika kuwa askari wetu wanajua sana misingi ya kazi zao lkn wakibwa zao huwatuma kutenda hayo.
 
Back
Top Bottom