mop
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 867
- 652
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.
Hii taarifa mbona umeitoa kishabiki sana,fafanua kisa ni nini,wapi na lini?